Bunge kwa hili mnatuchakachua live kabisaaa

gango2

JF-Expert Member
Aug 31, 2011
1,886
2,000
Naanza kwa kumnukuu spika 'sasa nitawahoji wanaosema ndio......., wanaosema sio........., haya waliosema ndio wamepita walisema sio wameshindwa hoja imepita asilimia 100 kwa mia' haaaa aaahh...kwahili naona tunachemsha, mbona sijawahi kusikia akisema walosema SIO wamepita hata kama walosema sio wapo wengi?? JE MNAFIKIRI SYSTEM HII YA KUPITISHA HOJA TENA ZA MSINGI BUNGENI NI SAHIHI???
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom