Elections 2010 Kuna Haja gani ya kunyimana hewa Igunga?

NIMIMI

Senior Member
Apr 2, 2011
170
16
Wadau kila nikitafakari nakosa muelekeo hasa kwa chama Tawala ambacho kimetawala Jimbo la Igunga tangu kupata Uhuru yaani 50 miaka, hawakupaswa kuhangaika kutumia Vyombo vya Angani, kuwahonga Ugali, wali maharage wanaIgunga ili wapewe kura za kumwezesha mgombea wao kuingia madarakani kupitia CcM Endapo wangekuwa wamewafanyia maendeleo ya kuonekana kwa wana IGUNGA kwani wananchi walikuwa wakukikubali kwa matunda iliyoonesha kwao. Hivyo walipaswa waachie nafasi kwa vyama vingine ili vishike hatamu kuliko kung'ang'ania ikiwa hatuoni maendeleo yeyote kwa wananchi zaidi ya Siasa UCHWARA na kuwanyima hewa wananchi kuwatimulia vumbi. It's my take, what's yours?
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

0 Reactions
Reply
Top Bottom