Elections 2010 Vituo vya kupigia kura Igunga

Nikupateje

JF-Expert Member
Dec 22, 2009
1,326
974
Tuanze sasa kujadili mambo ya siku ya uchaguzi Igunga.

Ni nani mwenye majina halisi ya vituo vyote vya kupigia kura. Nimeangalia kwenye website ya Tume ya Uchaguzi sioni badala yake naona jumla ya kura zilizopatikana kwa wagombea wa last October.

Hii itatusaidia maana najua wapo wengi kama mimi wanaonataka kufuatilia kura za kila kituo, sihitaji kujumlishiwa na Tume ya Uchaguzi..
 

mmbangifingi

JF-Expert Member
Mar 9, 2011
2,839
554
Mkuu uko sahihi ni vema kufahamu vituo vyote kwa ufuatiliaji,walioko Igunga/wanaofahamu ni vema watujuze
 

Fasta fasta

JF-Expert Member
Feb 15, 2011
1,014
613
Tuanze sasa kujadili mambo ya siku ya uchaguzi Igunga.

Ni nani mwenye majina halisi ya vituo vyote vya kupigia kura. Nimeangalia kwenye website ya Tume ya Uchaguzi sioni badala yake naona jumla ya kura zilizopatikana kwa wagombea wa last October.

Hii itatusaidia maana najua wapo wengi kama mimi wanaonataka kufuatilia kura za kila kituo, sihitaji kujumlishiwa na Tume ya Uchaguzi..

Mkuu hapo umenena. Hili ni jambo nzuri sana kama wataweza kuandaa hiyo website ili matokeo yajumlishwe na watanzania.
 

dotto

JF-Expert Member
Sep 29, 2010
1,725
252
Sio Vituo tu bali na majina mbona hayajawekwa hadharani. hapo ndo kunaa mchezo mchafu unasubiriwa. Vituo feki mpaka jeshini na orodha ya wapigakura wa Sikonge kuwa Igunga and Viceversa.
 

kiloni

JF-Expert Member
Oct 28, 2010
575
75
Kata 26 vijiji 98 vituo vya kupigia kura viko 427 majina sijui.
unafahamu na vile vya kubumba ili kuchakachua kura? unafahamu yale maboksi yaliyojazwa kura za ushindi wa magamba yako wapi?
Vijulikane vyote?!!!
 

Feedback

JF-Expert Member
Mar 14, 2011
7,990
4,502
unafahamu na vile vya kubumba ili kuchakachua kura? unafahamu yale maboksi yaliyojazwa kura za ushindi wa magamba yako wapi?
Vijulikane vyote?!!!
Safari hii itakuwa ngumu sana kuongeza vituo kama walishindwa kuongeza kwenye uchaguzi mkuu angalau JK apate 70% wakati vituo vingine huko Lindi na Mtwara vilikuwa na wasimamizi wa CCM pekee wataweza kwenye jimbo moja ambalo kila jicho linaangalia.
 

Eng. Y. Bihagaze

JF-Expert Member
Sep 8, 2011
1,489
907
Tuanze sasa kujadili mambo ya siku ya uchaguzi Igunga.

Ni nani mwenye majina halisi ya vituo vyote vya kupigia kura. Nimeangalia kwenye website ya Tume ya Uchaguzi sioni badala yake naona jumla ya kura zilizopatikana kwa wagombea wa last October.

Hii itatusaidia maana najua wapo wengi kama mimi wanaonataka kufuatilia kura za kila kituo, sihitaji kujumlishiwa na Tume ya Uchaguzi..

nOT ONLY THAT, IKIWEZEKANA MWANA JF MMOJA AKAWEPO KWENYE KILA Kituo, AKATUJUZA LIVE.. UNAJUA JF LITAKUWA JUKWAA HESHMA.. EMBU MWAMBIENI INVISIBLE ABOUT THAT
 

Uwezo Tunao

JF-Expert Member
Nov 14, 2010
6,942
1,187
JAMII FORUM SASA KUSOGEZA HUDUMA ZA KUELIMISHA WAPIGA KURA WALAZWAHOI KOTE NCHINI KUWA KARIBU ZAIDI KATIKA KILA KITUO CHA KUPIGIA KURA LAKINI TUKIANZA NA IGUNGA

Ni wazo zuri Mkuu wana-jukwaa sasa kusogeza tochi kwa karibu zaidi kumulika kila kata na kila kituo kitakachotumika kupigia kura Igunga.

Wala si jambo la siri kwamba JF tunayo rasilmali hadimu sana nchini inayotupa UWEZO ZAIDI kuwa chachu wa aina ya mabadiliko tunayoyataka.

Rasilmali hadimu tulizonazo ni kama vile: (1) tunayo teknolojia ya kisasa ya kasi na wigo mpana zaidi kimawasiliano, (2) pia tunao rasilmali watu ambao wako kila mahali duniani tena kwa kujitolea wenyewe, (3) tunatoa huduma za kukidhi matakwa ya mtu mmoja mmoja (personalised services) bila kuathiri itikadi yake (U-CCM au U-CHADEMA wake, U-Islamu au U-Kristo wake), (4) Uwezo wa kuelimisha jamii kuhusu haki za uraia na nafasi yao katika swala zima ya upigaji kura, uhesabuji, wajibu wao kuhakikisha usalama na usahihi wa kura zao wakati wote na wajibu wa Tume ya Uchaguzi kwa wapiga kura nchini.

Hivyo basi, kuwa na rasilmali ni jambo moja kuzitumia kwa usahihi na kuleta tija kwa SAUTI DHAIFU katika jamii ni jambo lingine kabisa!!!!!!!! Kwa misingi hiyo hapo juu, mimi kama mwanachama wa JF natambua wazi kwamba ni jukumu la Jukwaa letu sasa kusogeza huduma zake kwa karibu zaidi na wananchi pale Igunga kadiri kampeni zinavyopata moto zaidi kila kukicha.

Kwa kuanzia tu juhudi hizi, nadhani ni vema sasa tukaanza kwanza kwa kuorodhesha hapa majina na namba za vituo vyote vinavyotarajiwa kupigia kura Igunga. Ni vema pia tukafahamu kata zote 26 za Igunga na uongozi wa kila kimojawapo na jinsi gani wanavyoshiriki kuhakikisha kwa uchaguzi mdogo Igunga safaari hii NI DEMOKRASIA TU KWEUPE BILA HADAA WALA UCHAKACHUAJI. Hili ni jukumu letu tena sana tu. JF isiwe ni kwa ajili tu ya kukingia malipo ya matangazo kutoka TIGO wala wapi bila kwanza kujikita zaidi kuwa MTAMBO WA MABADILIKO kwa neema ya Walazwahoi wote nchini.

Naamini kabisa kwamba katika kutekeleza haya wanachama wetu kama vile Kapten Chiligati ambaye ni mhudhuriaji mzuri kwenye vikao vyetu vingi hapa JF, Nape Nnaye, Dokta wa Ukweli, Mwita Maranya Crashwise, Regia, Julius Mtatiro, Kitila Mkumbo na Ridhiwa Kikwete wakatusaidia kufikisha hapa jukwani taarifa hizo muhimu ili kazi za kuelimisha wananchi kuhusu haki za kwenye uchaguzi huu na ufwtiliaji wa kila hatu ya mchakato mzima wa kupatikana mbunge wa Igunga kidemokrasia na kwa uwazi zaidi uwe mrahisi zaidi.

Lakini ikumbukwe kwamba hao wanachama wa JF wala hatuwataji kwa kazi hizo kutokana na vyeo vyao huko mitaani bali ni kwamba tunafanya hivo kutokana na uanachama wao tu hapa.

Mwisho, safari hii uchaguzi wowote ukichakachuliwa nchini kwa sababu tu ya umbumbumbu ya wapiga kura, ukosefu wa taarifa sahihi na za haraka, ufuatiliaji wa mchakato mzima usiokua na maswali basi lawaama zinapotokea nasi JF tuwe tayari kuwa sehemu ya lawama hizo kwa kutokutimiza wajibu wetu kwa WALAZWAHOI wakati Uwezo Tuna.

Mheshimiwa MOD, naomba kuwashilisha hoja kwa wana-jamvi kuchambua zaidi juu ya kitu gani kifanyika kufanya chaguzi zetu kufanyika BILA UCHAKACHUAJI kama ilivyotokea hapo mwaka jana.Tuanze sasa kujadili mambo ya siku ya uchaguzi Igunga.

Ni nani mwenye majina halisi ya vituo vyote vya kupigia kura. Nimeangalia kwenye website ya Tume ya Uchaguzi sioni badala yake naona jumla ya kura zilizopatikana kwa wagombea wa last October.

Hii itatusaidia maana najua wapo wengi kama mimi wanaonataka kufuatilia kura za kila kituo, sihitaji kujumlishiwa na Tume ya Uchaguzi..
 

Uwezo Tunao

JF-Expert Member
Nov 14, 2010
6,942
1,187
Mkuu FEEDBACK, wewe siku zote huwa ni mtu wa data zaidi hebu kazichnganue zaidi hizo taarifa hapo chini kwa faida ya Wana-Jamvi na utekelezaji wa mkakati wetu mpya KUZUIYA dalili zozote za uchakachuaji kura katika chaguzi zetu nchini. Tusiendelee tu kupiga gumzo humu wakati waajibu huo hatujautekeleza ipasavyo.

Kata 26 vijiji 98 vituo vya kupigia kura viko 427 majina sijui.
 

ZenaTulivu

Senior Member
Jan 1, 2011
137
4
Sisi hatuhusiki na wagombea makafir Igunga. BAKWATA na CCM mtusamehe sana kulazimisha ushiriki katika mambo ya siasa hatupendezwi kutumika kuwaweka madarakani watu walio Waislamu safi.
 

oba

JF-Expert Member
Oct 31, 2010
309
65
Safari hii itakuwa ngumu sana kuongeza vituo kama walishindwa kuongeza kwenye uchaguzi mkuu angalau JK apate 70% wakati vituo vingine huko Lindi na Mtwara vilikuwa na wasimamizi wa CCM pekee wataweza kwenye jimbo moja ambalo kila jicho linaangalia.
Those magambas are capable of any thing if given chance, watch carefully usije kujuta!
 

Uwezo Tunao

JF-Expert Member
Nov 14, 2010
6,942
1,187
Kamati ya Ufundi, Sheria na Uchaguzi CHADEMA, hili tunaomba turushiwe vituo vyote vya upigaji kura Igunga hapa hewani ili iwe rahisi kwa JF kuwapangia kazi watu wawili hadi waanne katika kituo kimoja kuisimamia taarifa zake zote tangu sasa hadi kura kutangazwa Igunga.

Mwita Maranya au Zitto tusaidiane katika hili.


Safari hii itakuwa ngumu sana kuongeza vituo kama walishindwa kuongeza kwenye uchaguzi mkuu angalau JK apate 70% wakati vituo vingine huko Lindi na Mtwara vilikuwa na wasimamizi wa CCM pekee wataweza kwenye jimbo moja ambalo kila jicho linaangalia.
 

Uwezo Tunao

JF-Expert Member
Nov 14, 2010
6,942
1,187
Mbona kila kitu nyie huwa mnajadili kwa kuegemea kwanza udini?????

Sisi hatuhusiki na wagombea makafir Igunga. BAKWATA na CCM mtusamehe sana kulazimisha ushiriki katika mambo ya siasa hatupendezwi kutumika kuwaweka madarakani watu walio Waislamu safi.
 

Nikupateje

JF-Expert Member
Dec 22, 2009
1,326
974
Tukiishia kupiga porojo kama vile hatujui kujiandaa yatakuwa yaleyale ya last October. Kama vituo viko 247 bsi naomba tusaidiane kuvijaza majina yake hapo chini:

Kituo-001=
Kituo-002=
Kituo-003=
Kituo-004=
Kituo-005=
Kituo-006=
Kituo-007=
Kituo-008=
Kituo-009=
Kituo-010=
Kituo-011=
Kituo-012=
Kituo-013=
Kituo-014=
Kituo-015=
Kituo-016=
Kituo-017=
Kituo-018=
Kituo-019=
Kituo-020=
Kituo-021=
Kituo-022=
Kituo-023=
Kituo-024=
Kituo-025=
Kituo-026=
Kituo-027=
Kituo-028=
Kituo-029=
Kituo-030=
Kituo-031=
Kituo-032=
Kituo-033=
Kituo-034=
Kituo-035=
Kituo-036=
Kituo-037=
Kituo-038=
Kituo-039=
Kituo-040=
Kituo-041=
Kituo-042=
Kituo-043=
Kituo-044=
Kituo-045=
Kituo-046=
Kituo-047=
Kituo-048=
Kituo-049=
Kituo-050=
Kituo-051=
Kituo-052=
Kituo-053=
Kituo-054=
Kituo-055=
Kituo-056=
Kituo-057=
Kituo-058=
Kituo-059=
Kituo-060=
Kituo-061=
Kituo-062=
Kituo-063=
Kituo-064=
Kituo-065=
Kituo-066=
Kituo-067=
Kituo-068=
Kituo-069=
Kituo-070=
Kituo-071=
Kituo-072=
Kituo-073=
Kituo-074=
Kituo-075=
Kituo-076=
Kituo-077=
Kituo-078=
Kituo-079=
Kituo-080=
Kituo-081=
Kituo-082=
Kituo-083=
Kituo-084=
Kituo-085=
Kituo-086=
Kituo-087=
Kituo-088=
Kituo-089=
Kituo-090=
Kituo-091=
Kituo-092=
Kituo-093=
Kituo-094=
Kituo-095=
Kituo-096=
Kituo-097=
Kituo-098=
Kituo-099=
Kituo-0100=
Kituo-0101=
Kituo-0102=
Kituo-0103=
Kituo-0104=
Kituo-0105=
Kituo-0106=
Kituo-0107=
Kituo-0108=
Kituo-0109=
Kituo-0110=
Kituo-0111=
Kituo-0112=
Kituo-0113=
Kituo-0114=
Kituo-0115=
Kituo-0116=
Kituo-0117=
Kituo-0118=
Kituo-0119=
Kituo-0120=
Kituo-0121=
Kituo-0122=
Kituo-0123=
Kituo-0124=
Kituo-0125=
Kituo-0126=
Kituo-0127=
Kituo-0128=
Kituo-0129=
Kituo-0130=
Kituo-0131=
Kituo-0132=
Kituo-0133=
Kituo-0134=
Kituo-0135=
Kituo-0136=
Kituo-0137=
Kituo-0138=
Kituo-0139=
Kituo-0140=
Kituo-0141=
Kituo-0142=
Kituo-0143=
Kituo-0144=
Kituo-0145=
Kituo-0146=
Kituo-0147=
Kituo-0148=
Kituo-0149=
Kituo-0150=
Kituo-0151=
Kituo-0152=
Kituo-0153=
Kituo-0154=
Kituo-0155=
Kituo-0156=
Kituo-0157=
Kituo-0158=
Kituo-0159=
Kituo-0160=
Kituo-0161=
Kituo-0162=
Kituo-0163=
Kituo-0164=
Kituo-0165=
Kituo-0166=
Kituo-0167=
Kituo-0168=
Kituo-0169=
Kituo-0170=
Kituo-0171=
Kituo-0172=
Kituo-0173=
Kituo-0174=
Kituo-0175=
Kituo-0176=
Kituo-0177=
Kituo-0178=
Kituo-0179=
Kituo-0180=
Kituo-0181=
Kituo-0182=
Kituo-0183=
Kituo-0184=
Kituo-0185=
Kituo-0186=
Kituo-0187=
Kituo-0188=
Kituo-0189=
Kituo-0190=
Kituo-0191=
Kituo-0192=
Kituo-0193=
Kituo-0194=
Kituo-0195=
Kituo-0196=
Kituo-0197=
Kituo-0198=
Kituo-0199=
Kituo-0200=
Kituo-0201=
Kituo-0202=
Kituo-0203=
Kituo-0204=
Kituo-0205=
Kituo-0206=
Kituo-0207=
Kituo-0208=
Kituo-0209=
Kituo-0210=
Kituo-0211=
Kituo-0212=
Kituo-0213=
Kituo-0214=
Kituo-0215=
Kituo-0216=
Kituo-0217=
Kituo-0218=
Kituo-0219=
Kituo-0220=
Kituo-0221=
Kituo-0222=
Kituo-0223=
Kituo-0224=
Kituo-0225=
Kituo-0226=
Kituo-0227=
Kituo-0228=
Kituo-0229=
Kituo-0230=
Kituo-0231=
Kituo-0232=
Kituo-0233=
Kituo-0234=
Kituo-0235=
Kituo-0236=
Kituo-0237=
Kituo-0238=
Kituo-0239=
Kituo-0240=
Kituo-0241=
Kituo-0242=
Kituo-0243=
Kituo-0244=
Kituo-0245=
Kituo-0246=
Kituo-0247=
Kituo-0248=
Kituo-0249=
Kituo-0250=
Kituo-0251=
Kituo-0252=
Kituo-0253=
Kituo-0254=
Kituo-0255=
Kituo-0256=
Kituo-0257=
Kituo-0258=
Kituo-0259=
Kituo-0260=
Kituo-0261=
Kituo-0262=
Kituo-0263=
Kituo-0264=
Kituo-0265=
Kituo-0266=
Kituo-0267=
Kituo-0268=
Kituo-0269=
Kituo-0270=
Kituo-0271=
Kituo-0272=
Kituo-0273=
Kituo-0274=
Kituo-0275=
Kituo-0276=
Kituo-0277=
Kituo-0278=
Kituo-0279=
Kituo-0280=
Kituo-0281=
Kituo-0282=
Kituo-0283=
Kituo-0284=
Kituo-0285=
Kituo-0286=
Kituo-0287=
Kituo-0288=
Kituo-0289=
Kituo-0290=
Kituo-0291=
Kituo-0292=
Kituo-0293=
Kituo-0294=
Kituo-0295=
Kituo-0296=
Kituo-0297=
Kituo-0298=
Kituo-0299=
Kituo-0300=
Kituo-0301=
Kituo-0302=
Kituo-0303=
Kituo-0304=
Kituo-0305=
Kituo-0306=
Kituo-0307=
Kituo-0308=
Kituo-0309=
Kituo-0310=
Kituo-0311=
Kituo-0312=
Kituo-0313=
Kituo-0314=
Kituo-0315=
Kituo-0316=
Kituo-0317=
Kituo-0318=
Kituo-0319=
Kituo-0320=
Kituo-0321=
Kituo-0322=
Kituo-0323=
Kituo-0324=
Kituo-0325=
Kituo-0326=
Kituo-0327=
Kituo-0328=
Kituo-0329=
Kituo-0330=
Kituo-0331=
Kituo-0332=
Kituo-0333=
Kituo-0334=
Kituo-0335=
Kituo-0336=
Kituo-0337=
Kituo-0338=
Kituo-0339=
Kituo-0340=
Kituo-0341=
Kituo-0342=
Kituo-0343=
Kituo-0344=
Kituo-0345=
Kituo-0346=
Kituo-0347=
Kituo-0348=
Kituo-0349=
Kituo-0350=
Kituo-0351=
Kituo-0352=
Kituo-0353=
Kituo-0354=
Kituo-0355=
Kituo-0356=
Kituo-0357=
Kituo-0358=
Kituo-0359=
Kituo-0360=
Kituo-0361=
Kituo-0362=
Kituo-0363=
Kituo-0364=
Kituo-0365=
Kituo-0366=
Kituo-0367=
Kituo-0368=
Kituo-0369=
Kituo-0370=
Kituo-0371=
Kituo-0372=
Kituo-0373=
Kituo-0374=
Kituo-0375=
Kituo-0376=
Kituo-0377=
Kituo-0378=
Kituo-0379=
Kituo-0380=
Kituo-0381=
Kituo-0382=
Kituo-0383=
Kituo-0384=
Kituo-0385=
Kituo-0386=
Kituo-0387=
Kituo-0388=
Kituo-0389=
Kituo-0390=
Kituo-0391=
Kituo-0392=
Kituo-0393=
Kituo-0394=
Kituo-0395=
Kituo-0396=
Kituo-0397=
Kituo-0398=
Kituo-0399=
Kituo-0400=
Kituo-0401=
Kituo-0402=
Kituo-0403=
Kituo-0404=
Kituo-0405=
Kituo-0406=
Kituo-0407=
Kituo-0408=
Kituo-0409=
Kituo-0410=
Kituo-0411=
Kituo-0412=
Kituo-0413=
Kituo-0414=
Kituo-0415=
Kituo-0416=
Kituo-0417=
Kituo-0418=
Kituo-0419=
Kituo-0420=
Kituo-0421=
Kituo-0422=
Kituo-0423=
Kituo-0424=
Kituo-0425=
Kituo-0426=
Kituo-0427=
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

3 Reactions
Reply
Top Bottom