Upendeleo wa wazi TBC Habari

Chiluba

Member
Nov 8, 2007
51
7
Naangalia taarifa ya habari ya saa 2 usiku kupitia TBC TV..

Kilichonisikitisha ni namna wanavyotangaza kuhusiana na uchaguzi mdogo wa igunga..wameonesha viongozi wa CDM wakipelekwa mahakamani na kupatiwa mzamana, sina tatizo na hili..

Pili wakaonesha campaign zinavyoendelea Igunga na hapa ndipo kwenye tatizo kwa sababu muwakilishi wa TBC aliyepo igunga ameonesha na kuzungumzia kampaini za CCM kwa kirefu kama dk nne hivi pasipo kuonesha wala kuzungumzia kampaini za vyama vingine kabisaaa....

Kwa mtazamo wangu kwa kuwa hili ni chombo cha umma kinatakiwa at least kuonekana kinabalance taarifa zake...
 
Mbopo

JF-Expert Member
Jan 29, 2008
2,532
409
Nimeiangalia habari ile na nikagundua kwamba habari za Chadema zimerushwa kwa muda wa dakika saba wakati ile ya CCM imechukua dakika tano.

Sijui malalamiko haya yanatoka wapi kwa sababu wote wamerushwa tena Chadema wamepewa coverage kubwa katika yale yaliyotokea na wanayoyajua, kuendesha kesi.

Unataka kizungumzwe nini wakati yaliyotokea kwa leo kuhusiana na Chadema ni kwenda kujibu tuhuma zao dhidi ya udhalilishaji.
 
MwanaCBE

JF-Expert Member
Sep 23, 2009
1,773
800
Pale TBC1 zimekusanywa mbwa koko tu hakuna cha maana siku hizi. 2015 tutawashikisha adabu wote kwa dhambi yao ya kugezwa wake wa CCM.
 
mchemsho

JF-Expert Member
Jun 8, 2011
3,212
852
Wanataka kuigeuza gazeti la uhuru au redio uhuru, muda mwingi kuimba mapambio ya kuipamba CCM, tido mhando alijaribu kuiendesha tbc kwa hadhi ya Tv ya taifa wakamtimua..
 
rweyy

Senior Member
Aug 5, 2011
193
82
vyama vingine leo havija fanya kapeni lazima wafanye hivyo la sivyo watapitia njia aliyotokea Tido
 
Jasusi

JF-Expert Member
May 5, 2006
11,531
5,357
Nimeiangalia habari ile na nikagundua kwamba habari za Chadema zimerushwa kwa muda wa dakika saba wakati ile ya CCM imechukua dakika tano. Sijui malalamiko haya yanatoka wapi kwa sababu wote wamerushwa tena Chadema wamepewa coverage kubwa katika yale yaliyotokea na wanayoyajua, kuendesha kesi. Unataka kizungumzwe nini wakati yaliyotokea kwa leo kuhusiana na Chadema ni kwenda kujibu tuhuma zao dhidi ya udhalilishaji.
Muktadha, ndugu yangu, muktadha. Unaweza kuwapa CCM dakika tano za kuwafagilia na Chadema dakika 7 za kuwaponda. Muktadha!
 
mikatabafeki

JF-Expert Member
Dec 29, 2010
12,790
4,621
Nimeiangalia habari ile na nikagundua kwamba habari za Chadema zimerushwa kwa muda wa dakika saba wakati ile ya CCM imechukua dakika tano. Sijui malalamiko haya yanatoka wapi kwa sababu wote wamerushwa tena Chadema wamepewa coverage kubwa katika yale yaliyotokea na wanayoyajua, kuendesha kesi. Unataka kizungumzwe nini wakati yaliyotokea kwa leo kuhusiana na Chadema ni kwenda kujibu tuhuma zao dhidi ya udhalilishaji.
ushabiki sio mzuri hasa unapolipwa kwa kujibu hoja za makavirondo wenzio mitandaoni
 
Mwera

JF-Expert Member
Oct 26, 2010
964
88
Nimeiangalia habari ile na nikagundua kwamba habari za Chadema zimerushwa kwa muda wa dakika saba wakati ile ya CCM imechukua dakika tano. Sijui malalamiko haya yanatoka wapi kwa sababu wote wamerushwa tena Chadema wamepewa coverage kubwa katika yale yaliyotokea na wanayoyajua, kuendesha kesi. Unataka kizungumzwe nini wakati yaliyotokea kwa leo kuhusiana na Chadema ni kwenda kujibu tuhuma zao dhidi ya udhalilishaji.
<br />
<br />
mbopo umesahau ni udhalilishaji na kujaribu kubaka,yule mbunge mwanaume wa chadema alisema anataka kuzaa nayule mama mkuu wawilaya inamana walimteka wakambake?kazi ipo igunga tutasikia mengi mwaka huu.
 
Crashwise

JF-Expert Member
Oct 23, 2007
22,228
8,722
&lt;br /&gt;<br />
&lt;br /&gt;<br />
mbopo umesahau ni udhalilishaji na kujaribu kubaka,yule mbunge mwanaume wa chadema alisema anataka kuzaa nayule mama mkuu wawilaya inamana walimteka wakambake?kazi ipo igunga tutasikia mengi mwaka huu.
nini kilizuia asibakwe..
 
Shine

JF-Expert Member
Feb 5, 2011
11,483
1,358
Lenye mwanzo halikosi kuwa na mwisho na huu ndo mwisho wa ccm
 
luckman

JF-Expert Member
Oct 11, 2010
1,211
371
we mbopo kweli, kwetu mbopo maana yake mlopokoji, DAKIKA SABA TAARIFA GANI HIYO YA DK SABA UNAUMWA, SIJAWAHI ONA TAARIFA TBC YOYOTE HATA KAMA NI RAIS UNLESS KIPINDI MAALUM, DK SABA HABARI ZA CHADEMA? UNAUMWA WE MLOPOKAJI TU NA MAGAMBA YAKO! Ni kweli taarifa ya tbc imecover sana habari za ssm na magamba yao, wamemwonesha eti kafumu kabebwa NA MAGAMBA WENZAKE WALIONUNULIWA NA WAMEVAA JEZI ZAO ZA JEMBE NA NYUNDO! MWISHO WAKE UPO NDUGU ZANGU HATA MSIKONDE!!!!!!!!!!!!!
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

0 Reactions
Reply
Top Bottom