Kesho tarehe 27/08/2011, Ramadhan 27, Star Tv itarusha moja kwa moja kutoka MovenPick Hotel mdahalo kuhusu " ITIKADI ZA VYAMA VYA SIASA NA TANZANIA TUNAYOITAKA"
Mdahalo huo utahusisha...
hizi ni habari za jikoni kabisa. kutoka kwa mtu wa mitaa ya Igunga. sasa hivi anahudhuria mkutano wa Kamanda Mbowe.
jamaa anadai CCM wanaweza kushinda ila kwa mbinu.
Anasema Chadema kinajaa...
TANZANIA INFLATION RATEThe inflation rate in Tanzania was last reported at 13 percent in July of 2011. This page includes a chart with historical data for Tanzania's Inflation Rate. Inflation rate...
Zaidi ya miaka 100 iliyopita, mwanaharakati wa siasa za mapambano, Karl Marx, alidai kwamba, dini ni bangi inayolevya na kupumbaza watu, wasiweze kujua adui wao wala kupigania haki zao.
Kwa...
Katika kitu ambacho hakukishitukia mapema Bwana Pombe Magufuli ni kuingizwa mtegoni na magamba katika kampeni za uchaguzi zinazoendelea Igunga kuanza kuropoka kama Mukama.
Bwana Pombe ameingia...
Hili swali huwa najiuliza kil siku, kwa nini CCM huwa inataka kushinda kwa haramu katika chaguzi wakati kila mtu anajua kwamba imeshapoteza umaarufu mkubwa kwa wananchi? Na inazidi kupoteza kwa...
BY LYDIA SHEKIGHENDA
30th September 2011
Two gas processing plants generating 3900MW also expected to be constructed Government contemplating steps to take after court ruling on award to...
Friday, Sept 30th 2011
Grumeti Reserves Ltd is owned by an American tycoon Paul Tudor Jones
Councillors from Serengeti district have agreed to sign a co-operation deal with Grumeti Reserves Ltd...
Wakuu,
Mbunge wa ccm Estha Bulaya amewaangukia polisi kwa kile kinachodaiwa kuwa aliwatukana askari wa jeshi hilo, siku ya tukio la kurushiana risasi lililohusisha vyama vya ccm na Chadema. Hayo...
Nimefuatilia kampeni za uchaguzi mdogo Igunga, mi sidhani kama ni sahihi kwa viongozi kama mawaziri kushiriki kampeni, sababu waziri ni wa watanzania wote bila kujali vyama, nimewaona Wasira...
Nilikua ninafuatilia mahojiana ya Flora nducha na stephen Chuwa wa radio one ambayo yapo kwenye michuzi habari zilizopita kama sikosei ilikua kwenye 25/09/2011. Naomba muangalie hiyo interview na...
Habari tulizo zipata kutoka kwa familia ya mzee joseph kimario(mume wa bi kimario) ambaye ni dc wa igunga mkoani tabora zimeeleza kwamba mkuu wa wilaya amebatizwa ktk kanisa katoriki mbezi beach...
Nimeangalia TBC1 taarifa ya saa 2 usiku huu Dr.W.Slaa akihutubia kwenye mku5 wa kampeni polisi wakiwa hawana namba vifuani mwao. Je tukichukua hatua mkononi watajiteteaje?
Kwa yanayojitokeza Igunga na coverage za media za Tanzania, kweli sasa naanza kuamini kuwa CUF si chama cha Tanzania tena bali ni chama cha visiwani, whatever happen to CUF, ngangari!
Kuna jambo limekuwa linanitatiza kila siku. Ilikuwaje Chadema iliweza kuipiku CUF katika kukubalika huku Bara? Sote twajua baada ya NCCR kupotea CUF ndiyo ilikuwa moto wa kuotea mbali katika...
Wewe kama waziri wa ujenzi umesimama mbele ya wana Igunga kumnadi mgombea wa ubunge kwa tiketi ya CCM, na kuahidi kutenga bajeti maalum kwa ajili ya ujenzi wa daraja la Mbutu iwapo watamchagua Dr...
Wakuu salaam sana! Taratibu zilionyesha kuwa kila mwisho wa mwezi JK analihutubia Taifa. Miezi kadhaa cjaona hicho kitu, what went wrong? Was it JUST KIDDING(JK) as I saw from his FB pages?
Wakuu yawezekana kuwa hii thread siyo ya hapa ila kwa ridhaa ya wanajanvi naomba tukairuhusu tu.
Kumekuwepo mchezo mbaya hapa Tanzania wanapolitik kuingilia madai halali ya walimu.Inaleta wasi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.