Proudly 2 be Tanzania.


Ufisadi

Ufisadi

New Member
Joined
Aug 21, 2011
Messages
3
Likes
0
Points
3
Ufisadi

Ufisadi

New Member
Joined Aug 21, 2011
3 0 3
Ni miaka 50 ya uhuru ya Tanzania maji,umeme,ufisadi,mikopo kwa wanafunzi...e.t.c hvyo vyoyote vina2utafuna watu bdo wanaishi within $1 per day!! Miaka 50 ya uhuru ni ya kifisadi na kwa wale mafisadi coz watasherekea nd blow the 50 candles on the national cake dat they have been eating...kweli kwa haya nitasema kwamba am proudly a Tanzania wakati maisha yenyewe ya kubahatisha! Vijana 2uamkeni ssi ndiyo nguvu kazi ya hii inchi....#mtanzania asilia.
 

Forum statistics

Threads 1,237,170
Members 475,465
Posts 29,280,195