Mimi, kama 'President Elect', niko tayari kuvaa gwanda endapo CHADEMA kitafanikiwa kushinda uchaguzi mdogo, jimbo la Igunga.
Hii ni changamoto kwa CHADEMA na wapambe wao hapa JF, ambao macho na...
Katika magazeti yanayoongoza kwa uwongo TZ ni Uhuru likifuatiwa kwa karibu na Habari Leo. Leo nimecheka sana gazeti la Uhuru linasema Costa 4 zilikamatwa na zilikuwa zimebeba wanachama 1,200 wa...
Ippmedia imetoa picha ya wananchi wa KIJIJI MWAMASHIMBA waliofurika kisawasawa katika mikutano ya CUF na CDM jana, na kwa sababu tumekuwa tukitumia picha kama kielelezo kimoja wapo cha ushindi...
Daa kumbe sakata la Dowans kulipwa bado linaendelea? nimesikia tu kwa mbali kwny taarifa ya habari ITV saa mbili hiii!! Wadau vp hii imekaaje?
Mahakama kuu ya Tanzania kupitia Jaji Emilian Mushi...
Wadau
naomba kujua hivi ni chombo gani cha habari hapo kesho kitakachorusha live bila chenga uchaguzi wa igunga,kuanzia upigaji kura na matokeo bila upendeleo.
nasikia kule kuna utitiri wa...
CDM ushindi unanukia Igunga, CCM sasa mbinu zao zote za kuchakachua matokeo zimeshajulikana, na wakijaribu mbinu yoyote ile tutawaCTV.
Peeeeopleeeeeees.............
Ukiangalia mambo critically, kuna watu ndani ya CCM wangependa CCM ishindwe Igunga ili wawashe moto kuwashutumu akina NAPE kwa kukisambaratisha chama kwa hoja yao ya kujivua gamba. natabiri ikiwa...
Katika hali ambayo haikutegemewa upendo wa siasa
umekiama chama cha dem na maendeleo katika kampeni zake
huko igunga baada ya CUF kuongeza nguvu na ccm kuja na plan
mpya ya Piga tatu kwa pamoja(...
Dar drops 13 place in business ranking Send to a friend Friday, 10 September 2010 08:43 digg
By Samuel Kamndaya and Florence Mugarula Tanzania has performed dismally in this year global ranking...
Wa Jikoni anatonya kwamba 'e CCM yajaga gete'.
Hawana pa kutokea.
Baadhi ya dondoo muhimu:
Wamama (ambao CCM ndo ina amini ni majuha na mtaji wao) wana msemo wao "Tunakula CCM, tunalala...
Kila taifa lina misingi yake. Misingi ambayo husimama kama maono ya aina ya taifa gani watu wanalitaka kujenga na wananchi wake hujitahidi kuifikia hiyo. Kwa mfano Wamarekani wanachukulia Tangazo...
Mlichagua, mkadharaulika. Siasa uchwara kutoka katika chama uchwara zimewaumiza. Kura yako kesho ndio faraja ama mateso kwako ndani ya miaka mitano ijayo. Kila la heri, wapiga kura wa igunga. Ombi...
Polisi juzi walinukuliwa na gazeti la Mwananchi kukiri kwamba hawakuwa na taarifa kuhusu kufanyika kwa mkutano ambao ulipelekea kukamatwa kwa wafuasi wa CHADEMA, tunajua ni kosa kufanya mkutano...
Akiongea baada ya kuulizwa na waandishi wa habari mbunge wa ubungo John mnyika amekiri kuwasili kwa vijana hao akidai kuwa wamekuja ili kulinda kura wakiwa katika coaster 10, tunaomba jeshi la...
Wakuu: Mnaona jinsi CCM wanatumia ufisadi na mafisadi kama mtaji wa kisiasa? Nani kasema Rostam Azizi ameachana na kampeni za hapo Igunga? Yumo hadi shingoni.
Zile helikopta mbili za CCM ni yeye...
WEEKEND EDITION, SEPTEMBER 31-32, 2011
Tanzania and Illusions of Economic Sovereignty
by ROBERT GORDON
In 1968, Julius Nyerere, the first President of the emerging Tanzanian state, wrote a...
Chama cha Demokrasia na maendeleo kinaweza kushinda hadi 74% kwa mujibu wa utafiti uliofanywa kwa muda wa wiki tatu na wanazuoni na baadhi ya waandishi wa habari Tz daima imeripoti leo. Utafiti...
The Citizen (Dar es Salaam)
Peter Nyanje
29 September 2011
In a retreat of the Nation Media Group (NMG) editors in Arusha late last year, a presenter asked us if we trust politicians, and I...
Matokeo ndani ya saa 24
Kwa upande wake, NEC imesema itafanya kila linalowezekana kukata mzizi wa fitina kwa kumtangaza mshindi usiku wa kuamkia Jumatatu, Oktoba 3, mwaka huu.Profesa Chaliga...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.