Elections 2010 Jamani Eeeh IGUNGA ndio hii

MaxShimba

JF-Expert Member
Apr 11, 2008
35,772
4,054
[h=3]HELKOPTA YA KAMPENI ZA CCM YATUA IGUNGA, MAGUFULI, JANUARI WATIA TIMU[/h]
Waziri wa Ujenzi John Magufuli akisalimia mamia ya wananchi waliofika kwenye Uwanja wa Sabasaba mjini Igunga kupokea ndege ya kampeni za CCM.Wengine ni Nchemba na Katibu wa NEC, Oganaizesheni Asha Abdallah Juma
Mratibu wa Kampeni za CCM, Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM, Mwigulu Nchemba akimlaki Januari Makamba baada ya helkopta aliyokuja nayo kutua kwenye Uwanja wa Sabasaba mjini Igunga. Kushoto ni Katibu Msaidizi Mkuu Itikadi na Uenezi, Sixtus Mapunda.
Magufuli akitete jambo na mgombe ubunge jimbo la Igunga kwa tiketi ya CCM, Dk. Dalaly Kafumu (kulia) kabla ya kuhutubia wakati waliofika katika mapokezi ya helkopta ya kampeni za CCM kwenye Uwanja wa Sabasaba mjini Igunga leo. Kushoto ni Katibu wa NEC Uchumi na Fedha Mwigulu Nchemba.
Januari Makamba akisalimia mamia ya wananchi waliofika katika mapokezi ya helkopta ya kampeni za CCM ilipowasili leo asubuhi kwenye Uwanja wa Sabasaba mjini.

Mamia ya watu katika uwanja wa sabasaba mjini Igunga katika mapokezi ya helkopta ya CCM

Magufuli akimnadi mgombea wa CCM Dk. Dalaly kushoto katika mkutano wa kampeni uliofanyika katika mapokezi helkopta ya kampeni za CCM.
 

The big dishes are sample of political parties (CCM, Chadema and CUF) with different aims and flavour to Igunga Citizen. (Picture was taken recently in Stockholm, Open Market).
 
John-Heche.jpg
John Heche
 
Igunga yenywe ilivyo chakaa !

mkuu yaani we acha tu, the whole process is madness. Pesa inayotafunwa ingepelekwa kwenye miradi ya maendeleo igunga, it could make a big difference kuliko kuwa hata na mbunge!
 
CDM juu juu Jukuliko, CUF Mhuu, Mhuuu, Mhuuu, wachaaaa, CCM hoi hoi hoi zaidi. Sera na uwajibikaji ndio tafsiri ya wimbo huo miaka hii.IGUNGA amkeni mkilala hamtaamushwa tena. nafasi ni hii. Tusubili matokeo.
 
Back
Top Bottom