Mtazamaji
JF-Expert Member
- Feb 29, 2008
- 5,938
- 1,429
Wakuu
hili jambo limeongelewa sana lakini napenda kulileta jamvini kw auchambuzi , maswali na ufafanuzi zaidi
Je
Nawasilisha kwa mjadala
hili jambo limeongelewa sana lakini napenda kulileta jamvini kw auchambuzi , maswali na ufafanuzi zaidi
Je
- Sababu hasa za maaamuzi ya serikali kuhamia Dodoma zilikuwa ni za kisiasa tu au ulikuwa ni ushauri wa kisiasa na kitaaalam.
- Sababu zipi specifically za kitaalam na may be za kisiasa seriakli ililizingatia mpaka kufikia uamuzi mzito na wa gharama wa kuhamia Dodoma?
- Je status na Mpango wa serikali ikoje sasa hivi una muda una wizara kama tano hivi zilikiwisha hamia dodoma. Je bado zipo huko?
- CDM, CUF, NCCR misimamo yao ikoje kuhusu jambo hili
- kama wananchi mishahara yao iliweza kukatwa kuijenga dodoma na miundombinu yake kisasa Kwa nini mpango huo usitumike kukatwa mshahara kila mwaka wa ajili ya kuimarisha miudombinu ya mkoa fulani uliochaguliwa kwa mwaka wa fedha fulani? . My be tutaanza na Kigoma. then mtwara, then singida, then kagera, then rukwa, kilimanjaro then shinyanga etc.
Nawasilisha kwa mjadala