Kama CUF kumejaa wasomi Wapemba wasingepata mateso haya | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kama CUF kumejaa wasomi Wapemba wasingepata mateso haya

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Ng'wanangwa, Sep 30, 2011.

 1. Ng'wanangwa

  Ng'wanangwa JF-Expert Member

  #1
  Sep 30, 2011
  Joined: Aug 28, 2010
  Messages: 10,180
  Likes Received: 897
  Trophy Points: 280
  nilimsikia dogo mahona akijifariji kwamba CUF imejaa wasomi. labda hakuwahi kufika Pemba:
  1. pemba hawana barabara, ni vichochoro na vichaka tu from mkoani to chake.
  2. wapemba ndo binadamu wanaoongoza kwa kupanda meli chakavu kuliko binadamu yeyote hapa duniani.
  3. wapemba waliobahatika kusoma wanajisikia fahari kuishi unguja na kuacha ndugu zao wakilia na kusaga meno huko pemba.
  sasa kama wasomi wako cuf, na cuf imekuwa ikipewa ridhaa ya kuongoza pemba miaka na miaka kupitia bunge, madai haya ya mahona yana mashiko?
   
 2. M

  Mike 1234 JF-Expert Member

  #2
  Sep 30, 2011
  Joined: Feb 23, 2009
  Messages: 1,634
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  wasiasa siku zote huwa ni waropokaji,si shangai kwa kusema hivyo maana wanasiasa wakisema 100 ujue ni moja hivyo kusema kuna wasomi wengi ina maana amechukua watu 1000*
   
 3. kingxvi

  kingxvi JF-Expert Member

  #3
  Sep 30, 2011
  Joined: Feb 11, 2011
  Messages: 883
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  hebu npe kiwango cha elimu yako ili nkutathimini vizuri
   
 4. Ritz

  Ritz JF-Expert Member

  #4
  Sep 30, 2011
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 42,252
  Likes Received: 4,674
  Trophy Points: 280
  Hivi wasomi wa Tanzania bara wamelisaidiaje taifa letu huku bara!
  Kwenye nchi 20 duniani kwa umasikini wa kutupwa Tanzania tumo, tena kuna nchi zingine zimeingia kwenye kundi la umasikini kutokana vita.
  Wasomi wa Tanzania bara ni sawa sawa na punda kabeba mizigo ya vitabu. Ukiangalia mikataba yetu walioingia hawa wasome wetu tunaojitapa nao utashangaa sana hata mwanafunzi wa darasa la tatu hawezi kuwa mjinga kiasi hicho.
  Ebu angalia mikataba ya Madini, labda uniambie wasomi wa Tanzania bara wanasifika kwa Ufisadi
   
 5. Ng'wanangwa

  Ng'wanangwa JF-Expert Member

  #5
  Sep 30, 2011
  Joined: Aug 28, 2010
  Messages: 10,180
  Likes Received: 897
  Trophy Points: 280
  kumbe na wewe samtaim huwa unashirikisha ubongo kufikiri.

  bravo.

  hata hivyo mada yangu haihusu comparison ya wasomi wa Pemba na Bara.
   
 6. zumbemkuu

  zumbemkuu JF Bronze Member

  #6
  Sep 30, 2011
  Joined: Sep 11, 2010
  Messages: 9,004
  Likes Received: 590
  Trophy Points: 280
  CCM hao mkuu ndo wametufikisha hapo ulipo, tuwakatae CCM kwa nguvu zote, ni mafisadi sana, tuiunge mkono CDM.
   
 7. zumbemkuu

  zumbemkuu JF Bronze Member

  #7
  Sep 30, 2011
  Joined: Sep 11, 2010
  Messages: 9,004
  Likes Received: 590
  Trophy Points: 280
  jamaa wakati mwingine anashirikisha ubongo wake.
   
 8. Kimilidzo

  Kimilidzo JF-Expert Member

  #8
  Sep 30, 2011
  Joined: Jan 3, 2011
  Messages: 1,346
  Likes Received: 38
  Trophy Points: 135
  Hivi kumbe wewe mwendawazimu unayajua haya!!!
  Sasa mbona unatetea hao wasomi waliosababisha huu umaskini ambao wote wako CCM na wewe umepewa hela na Nape kuitetea hiy CCM yenu inayoelekea kaburini.
   
 9. Ibrah

  Ibrah JF-Expert Member

  #9
  Sep 30, 2011
  Joined: Mar 22, 2007
  Messages: 2,721
  Likes Received: 36
  Trophy Points: 145
  Ritz you right, Pemba ni semu tu ya Tanzania inayotoa sura halisi ya Taifa letu. Umasikini na hali ngumu ya maisha uko sehemu nyingi tu nchini, si CUF wala CDM wa kulaumiwa bali Chama Tawala ambacho kimekuwa na muda mrefu wa amani na utulivu lkn kimeshindwa kuwaletea WaTZ neema wanayotughilibu nayo.

  Rukwa, Tabora, Kigoma na Kagera mbona nao wamekaa bila hizo barabara kwa miaka mingi tu? Kuna watu wamezaliwa miaka 40 iliyopita hapa TZ hawajawahi kuona taa ya umeme, bomba la maji wala barabara ya lami.
   
 10. M

  Molemo JF-Expert Member

  #10
  Sep 30, 2011
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 13,287
  Likes Received: 580
  Trophy Points: 280
  mkuu ukipumzisha akili kwanza unapata hasara gani?
   
 11. Bright Smart

  Bright Smart JF-Expert Member

  #11
  Sep 30, 2011
  Joined: May 4, 2011
  Messages: 644
  Likes Received: 35
  Trophy Points: 45
  ha ha haaa eti "chama ambacho mwenyekiti wake ni Proffessor, katibu wake ni Dr. tofauti na vyama vingine" kwahiyo akiondolewa mwenyekiti na katibu wanaobaki vp!!!??, mnh hivi lakini si na yule naniliii yule naniiii naniliii yule mwenyekiti wa kile chama cha jembe na nyundo yule na yeye si naskia ni doctor siku hizi!!!!! teh teh teh!!! mi naskia tu sina uhakika..
   
 12. Kimilidzo

  Kimilidzo JF-Expert Member

  #12
  Sep 30, 2011
  Joined: Jan 3, 2011
  Messages: 1,346
  Likes Received: 38
  Trophy Points: 135
  Kinachowaponza hawa jamaa wa pemba ni ubaguzi wa kikabila. CUF inaongoza kwa miaka 20 sasa kule pemba na haijaleta maendeleo yoyote. Wameshindwa hata kukarabati meli za kwenda pemba. Sasa meli tu zinawashinda wakati wana rami ya Mungu (BAHARI) Je wangekuwa nchi kavu kama huku kwetu lami wangeiweza???
  Acheni kuwa na fikra mgando na kung'ang'ania chama hicho hicho kwa miaka 20 huku mkiendelea kufa majini na mnanyimwa hata haki ya kuambiwa ukweli kuwa wangapi wamekufa. Amkeni na chagueni vyama vingine
   
 13. MANI

  MANI Platinum Member

  #13
  Sep 30, 2011
  Joined: Feb 22, 2010
  Messages: 6,413
  Likes Received: 1,873
  Trophy Points: 280
  Mkuu ukweli anaujua lakini sasa pe diem ya nepi ndio inmpa mtazamo tofauti !
   
 14. S

  SEAL Team 6 JF-Expert Member

  #14
  Sep 30, 2011
  Joined: Jun 10, 2011
  Messages: 655
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hao unaowasema ni wasomi wa chama cha Magamba, ndiyo maana CDM wanazunguka nchi nzima kuleta ukombozi kwa Watanzania ili na wewe uwe na maisha mazuri, nakushukuru umeanza kuelewa ubaya wa CCM endelea kuunga mkono People's Power.
   
 15. KIHENGE

  KIHENGE JF-Expert Member

  #15
  Sep 30, 2011
  Joined: Sep 20, 2011
  Messages: 339
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  um
  eona njaa inavyotusumbua eeeeh!
   
 16. Amakando

  Amakando Senior Member

  #16
  Sep 30, 2011
  Joined: May 9, 2011
  Messages: 158
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Hapo sawa Ritz
   
 17. Amakando

  Amakando Senior Member

  #17
  Sep 30, 2011
  Joined: May 9, 2011
  Messages: 158
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Hapo sawa abisa Ritz
   
 18. kweleakwelea

  kweleakwelea JF-Expert Member

  #18
  Sep 30, 2011
  Joined: Nov 29, 2010
  Messages: 2,422
  Likes Received: 437
  Trophy Points: 180
  kwa mara ya kwanza inaonekana TAA IMEANZA KUWAKA KWAKO MCHANA!!!!! endelea na tafakuri hatua ya pili......hebu fanya TAKE HOME assignemnt two.

  ASSIGNMENT 2: JE ni kwanini wasomi wa Tanzania wanashindwa kudeliver?

  i. Influence au maagizo ya Chama tawala (CCM)

  ii. Weakness - udhaifu wa chama tawala (CCM)

  iii. Both ar correct
   
 19. T

  Topical JF-Expert Member

  #19
  Sep 30, 2011
  Joined: Dec 3, 2010
  Messages: 5,176
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Unatakiwa ungalie pia kuwa hao wasomi wa Tanzania

  Wanaofanya kazi za kitaalamu (techn/experst)

  Bahati asilimia 90% ni wakristo waliotoka seminary...wameendekeza udini na kuhudumia kanisa na siyo kuhudumia wananchi
   
Loading...