Imekaaje hii? Rais kukabidhiwa mkoba wa pesa ikulu


MamaParoko

MamaParoko

JF-Expert Member
Joined
Jan 14, 2008
Messages
465
Likes
1
Points
0
MamaParoko

MamaParoko

JF-Expert Member
Joined Jan 14, 2008
465 1 0
Mwakilishi wa Televisheni ya Emmanuel ya The Synagogue Church Of All Nations, Martha Harvey akimkabidhi Rais Jakaya Kikwete mkoba wenye Sh milioni 25 kwa ajili ya waathirika wa ajali ya meli ya mv Spice Islanders iliyozama na kusababisha vifo vya mamia ya watu hivi karibuni. Mchango huo uliokabidhiwa Ikulu, Dar es Salaam, ulitolewa na Kiongozi wa Kanisa hilo, Nabii Themitope Balogun Joshua, ambaye anaishi makao makuu ya kanisa hilo Lagos, Nigeria. (Picha na habarileo).My Take:

Kuna kitu hakipo sawa, rais kukabidhiwa mkoba wa mahela ikulu!
Hii imakaaje wadau?
 
Power G

Power G

JF-Expert Member
Joined
Apr 20, 2011
Messages
3,912
Likes
93
Points
145
Power G

Power G

JF-Expert Member
Joined Apr 20, 2011
3,912 93 145
Zile suti 5 mbona hakupiga picha akikabidhiwa? Au kwa kuwa zenyewe zilikuwa ni rushwa!
 
MamaParoko

MamaParoko

JF-Expert Member
Joined
Jan 14, 2008
Messages
465
Likes
1
Points
0
MamaParoko

MamaParoko

JF-Expert Member
Joined Jan 14, 2008
465 1 0
swali: kwanini rahisi akabidhiwe fedha in cash ikulu?

MODE PLEASE DO THE NEEDFUL NILIKUWA SIJAONA POST INGINE KUHUSIANA NA SUALA HILI!
 
Makindi N

Makindi N

JF-Expert Member
Joined
Mar 14, 2008
Messages
1,068
Likes
17
Points
135
Makindi N

Makindi N

JF-Expert Member
Joined Mar 14, 2008
1,068 17 135
Serikali ya JK iko too curative than preventive....... Kitu ambacho ni kibaya sana.

Anyway, EL alishaenda kusali kwa TB Joshua na yule mama alieibua sakata la Katibu Mkuu wa Nishati nae alienda kusali aliporudi akasema amehakikishiwa na TB Joshua kwamba Rais ajaye ni EL. Huwezi jua labda EL anamtumia Joshua kutimiza hiyo ndoto. Huenda pia ni yeye EL alietoa hizo fedha.... Kila kitu kinawezekana. Kwa majanga yote Africa na huko Nigeria sijawahi sikia atoe msaada km huo.... Kuelekea 2015 tutaona na kushuhudia mengi tu.
 
N

Nguto

JF-Expert Member
Joined
Apr 11, 2011
Messages
2,740
Likes
670
Points
280
N

Nguto

JF-Expert Member
Joined Apr 11, 2011
2,740 670 280
Binafsi sioni tatizo. Kapelekewa sasa angekataa msaada? Swali ni kama zitawafikia walengwa. Kama hazitawafikia ndio tulaumu.
 
makwimoge

makwimoge

JF-Expert Member
Joined
Apr 14, 2011
Messages
298
Likes
2
Points
35
Age
38
makwimoge

makwimoge

JF-Expert Member
Joined Apr 14, 2011
298 2 35
Hakuna lolote la maana hapo zaidi ya kutaka kujijenga upya kwa Lowasa
 
Kimbunga

Kimbunga

Platinum Member
Joined
Oct 4, 2007
Messages
13,389
Likes
2,290
Points
280
Kimbunga

Kimbunga

Platinum Member
Joined Oct 4, 2007
13,389 2,290 280
Mwenye kanisa hili si ndiye aliyemtakasa Mh. Edward Ngoyai Lowasa au?
 
MPIGA ZEZE

MPIGA ZEZE

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2011
Messages
2,242
Likes
801
Points
280
MPIGA ZEZE

MPIGA ZEZE

JF-Expert Member
Joined May 16, 2011
2,242 801 280
Kwa hakika Bongo haitakuja kuisha kufanya mambo kibongobongo; milioni 25 CASH???!!! Kwani Kanisa halina account benki? Je Ikulu, yaani yule mzee (jina limenitoka) Katibu Mkuu Kiongozi, haikutaarifiwa hizo pesa zitaletwa kwa njia gani ambapo wangeweza kumshauri mama wa watu kukabidhi cheki badala ya mkoba!!! bongobongo tu!! Je hizi ni PESA SAFI??????????????????????????????????????:disapointed:
 
nachid

nachid

JF-Expert Member
Joined
Apr 14, 2011
Messages
917
Likes
61
Points
45
nachid

nachid

JF-Expert Member
Joined Apr 14, 2011
917 61 45
hizi ni pesa chafu kama zingekua safi kwa nini mil 25 akabidhiwe mtu cash? kama sio njia ya kuzisafisha sijui
 
Mupirocin

Mupirocin

JF-Expert Member
Joined
Jan 28, 2011
Messages
1,601
Likes
44
Points
145
Mupirocin

Mupirocin

JF-Expert Member
Joined Jan 28, 2011
1,601 44 145
Kama movie ya kinigeria wanapokabidhiana neira president bwana michosho
 
S

Sometimes

JF-Expert Member
Joined
Dec 28, 2010
Messages
4,563
Likes
370
Points
180
S

Sometimes

JF-Expert Member
Joined Dec 28, 2010
4,563 370 180
Kama movie ya kinigeria wanapokabidhiana neira president bwana michosho
Hivi mikoba kama hii imekaguliwa kweli? Alqaida\ shabab wanaweza kuchukuwa mwanya huo kwa kutumbukiza hata vimeta!
 
Raia Fulani

Raia Fulani

JF-Expert Member
Joined
Mar 12, 2009
Messages
10,217
Likes
107
Points
145
Raia Fulani

Raia Fulani

JF-Expert Member
Joined Mar 12, 2009
10,217 107 145
kuna kitu bila shaka
 
Msarendo

Msarendo

JF-Expert Member
Joined
Jan 29, 2011
Messages
9,493
Likes
3,750
Points
280
Msarendo

Msarendo

JF-Expert Member
Joined Jan 29, 2011
9,493 3,750 280
Mkwerè lazima Atakula pesa hizo., kama alivyokula pesa za epa na desi.
 
L

Laptani

Member
Joined
Sep 30, 2009
Messages
98
Likes
0
Points
13
L

Laptani

Member
Joined Sep 30, 2009
98 0 13
Kwani huo msaada mpaka upige piche na rais?
Wangepeleka kitengo cha maafa ofisi ya PM kunakohusika na majanga
 
Mulhat Mpunga

Mulhat Mpunga

JF-Expert Member
Joined
Oct 28, 2010
Messages
26,823
Likes
14,355
Points
280
Mulhat Mpunga

Mulhat Mpunga

JF-Expert Member
Joined Oct 28, 2010
26,823 14,355 280
Haaa jamani sasa picha zikuwa za nini wangepeana tu kimya kimya manake mpango wenyewe kama danganya toto vilee,anywayz time will tell tuone bro atakuja na mikakat gani kwa hao wahanga, ataibuka kama clouds na maboya au atanunua maharagwe na sembe!na akiendahuko pia asisahau kupiga picha
 
Mulhat Mpunga

Mulhat Mpunga

JF-Expert Member
Joined
Oct 28, 2010
Messages
26,823
Likes
14,355
Points
280
Mulhat Mpunga

Mulhat Mpunga

JF-Expert Member
Joined Oct 28, 2010
26,823 14,355 280
Haaa jamani sasa picha zikuwa za nini wangepeana tu kimya kimya manake mpango wenyewe kama danganya toto vilee,anywayz time will tell tuone bro atakuja na mikakat gani kwa hao wahanga, ataibuka kama clouds na maboya au atanunua maharagwe na sembe!na akiendahuko pia asisahau kupiga picha,,,'karibu ningesahau na huko pande ya pili watakubali misaada toka kanisani!! Teheheee kazi ipo
 

Forum statistics

Threads 1,235,344
Members 474,524
Posts 29,219,430