Boksi la Kura na njama za CCM | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Boksi la Kura na njama za CCM

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Giddy Mangi, Oct 3, 2011.

 1. G

  Giddy Mangi JF-Expert Member

  #1
  Oct 3, 2011
  Joined: Feb 14, 2011
  Messages: 833
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Matukio yanayopelekea Ccm kushinda siyo Sera na Imani ya Wananchi kwa Chama bali nguvu kubwa inayotumiwa na Serikali dhidi ya Upinzani,Mfano Magari yaliyotumika kwenye Chaguzi zote mengi ni mali ya Serikali allowance za Serikali/mpaka imepelekea Uchaguzi wa Igunga kufanya Mishahara ya wafanyakazi wa Serikali kucheleweshewa malipo hadi leo.Iwapo Chadema watapata zaidi ya kura 25000 inamaana Ccm wamefanya hujma.Imefikia mahali Ccm kihalali hawezi shindana hata na jiwe.
   
 2. share

  share JF-Expert Member

  #2
  Oct 3, 2011
  Joined: Nov 22, 2008
  Messages: 2,293
  Likes Received: 2,277
  Trophy Points: 280
  Hivyo ulitafakari kabla ya kuiandika thread hii? Mbona hueleweki? Kichwa cha habari na maudhui ni vitu tofauti. Tuambie juu ya Boksi la kura na uhusika wa CCM kwenye hilo, mkuu. This is a home for great thinkers!
   
 3. O

  Omr JF-Expert Member

  #3
  Oct 3, 2011
  Joined: Nov 18, 2008
  Messages: 1,160
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Matokeo hayaja toka lakini povu limeshaanza kukutoka, naona unachanganya maneno sasa. hiyo topic na maelezo yako ni tofauti kabisa. Mi naona bora uandike kichaga
   
 4. F

  FUSO JF-Expert Member

  #4
  Oct 3, 2011
  Joined: Nov 19, 2010
  Messages: 11,833
  Likes Received: 2,304
  Trophy Points: 280
  Elimu duni ya uraia na umaskini wa wapiga kura hasa wale wa maeneo ya vijijini ni mtaji mkubwa sana wa CCM.
   
 5. tanga kwetu

  tanga kwetu JF-Expert Member

  #5
  Oct 3, 2011
  Joined: May 12, 2010
  Messages: 2,163
  Likes Received: 1,122
  Trophy Points: 280
  matatizo ya kufaulu kwa madesa(UDSM or Mzumbe) au Simbi (SUA)...mbona heading ipo sawa na contents??? mnataka pointi ziwe peupeee!!! ndio nyinyi mnaokariri 2+3=5 ila swali likigeuzwa 3+2 mnakosa. Fikiri kwa kichwa na si kwa masaburi
   
 6. Vin Diesel

  Vin Diesel JF Gold Member

  #6
  Oct 3, 2011
  Joined: Mar 1, 2011
  Messages: 8,402
  Likes Received: 736
  Trophy Points: 280
  Kichapo kimewapa kichaa watu....hebu tuliza kichwa...
   
 7. Mzee

  Mzee JF-Expert Member

  #7
  Oct 3, 2011
  Joined: Feb 2, 2011
  Messages: 12,969
  Likes Received: 2,963
  Trophy Points: 280
  Ccm wanatumia ujinga wa wananchi kama mtaji wao.
   
 8. akilimtindi

  akilimtindi JF-Expert Member

  #8
  Oct 3, 2011
  Joined: Jun 30, 2008
  Messages: 423
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  CUF ni Mdudu mbaya anayeishi kwenye nguo zetu, tulishaikataa CCM lakini baadhi yetu tunaivaa CUF. Hawa ndio hao hao wanaonyonya damu zetu na kuwapelekea CCM. Ni jambo la kusikitisha kwamba wamekubali kuwa kupe wasiofaidi damu wanayoinyonya wenyewe, mwelekeo ni kwamba hii ya Igunga haiwezekani CUF wakawa na kura chache kiasi hicho kulingana na ushindani ulivyokuwa. Kinachoonekana hapa CCM waliwatumia sana CUF ili kura zitakazoenda CUF zihamishiwe CCM baadaye, na ndicho kilichofanyika hapo Igunga. Mh. Mahona anapendwa sana tangu hata alipopambana na Rostam, CUF wametumia sana Chopa na haiwezekani vituo vingi CUF wapate kura 1, au 5, au 3... haileti picha. Hii inaonyesha pia Mahona wa CUF siku ya mwisho alipigana kwa kuelekezwa, na atakuwa ameahidiwa jambo ambalo tutaliona matokeo yake sio siku nyingi.

  CUF ni Mdudu anayeishi kwenye nguo zetu na kutunyonya damu anayowapa CCM tuliowakataa, CUF ni shetani anayeishi kwenye nyumba zetu anayeiba mali zetu na kuwapelekea CCM tuliowakataa. Sio kificho tena kwamba CUF = CCM, it's official now. Tumkatate huyu Mdudu ama Shetani anayeishi kwenye nyumba zetu kama ndugu yetu kumbe anatunyonya kwa siri.
   
Loading...