Uchaguzi Igunga: Confirmation of Lowassa Supremacy...

Mdau

JF-Expert Member
Mar 29, 2008
1,790
469
Wadau, nimekua nikitafakari sana mwenendo mzima wa uchaguzi unaomalizika katika jimbo la Igunga, kwa kuhusianisha na suala zima la CCM kujivua magamba; kwa mtizamo wangu suala hili halitawezekana tena!!

1. CCM bila nguvu ya Lowassa katika ngazi za chama (simaanishi kwa wananchi au wanachama wake, ni ndani ya chama) haiwezi tena kusimama pamoja....

2. Uwezekano wa kumvua gamba Lowassa na kupelekea uchaguzi Monduli si jambo ambalo CCM italitaka kirahisi kwa sasa, shughuli waliyokutana nayo Igunga, ambapo CDM hawakua na mizizi ya kutosha ilikua si ya kawaida....kwa maana hiyo, hata Chenge gamba limeishia kiunoni kama alivyosema mwenyewe....

3. Lowassa is technically CCM contender for 2015 elections, failure for CCM to nominate this man, itakua ndio mwisho wa chama kama taasisi...2005 JK angeipasua CCM kama wasingempitisha kugombea urais, alikua na support kubwa ya huyuhuyu Lowassa, ambaye ni de facto chairman wa CCM....

4. Nape Nnauye Jr, katibu mwenezi wa CCM is politically dead, ni kama samaki ambaye yupo nchi kavu ambaye ni suala la muda tu kabla mauti hayajamkuta....

Nawasilisha.....
 
Ng'wanangwa

JF-Expert Member
Aug 28, 2010
10,829
4,164

today's crap!
 
king11

JF-Expert Member
Jun 7, 2010
327
74
hakuna muda wa kupoteza lowassa ndio CCM wengine watafute nafasi nyingine za kugombea waache nafasi ya urais kwani haiwahusu
 
0 Reactions
Reply
Top Bottom