Aliyekataliwa Igunga iweje atumike kwenye kampeni ya mrithi wake?

luckman

JF-Expert Member
Oct 11, 2010
1,211
371
Jamani hivi sisi akili zetu zikoje? Mtu anayeoneka haramu tumeshuhudia akimnadi mrith wake ndani ya chama chenye siasa uchwara kwa mujib wake! Hii imekaaje? Na hiyo maana yake ni nini!???
 

luckman

JF-Expert Member
Oct 11, 2010
1,211
371
Najaribu kufanya majumuisho ya hizi sarakasi bado naona karata yangu inanionesha mchezo mchafu! Hivi haramu anazaa halali!richmond haramu ila dowans halali?? Ndo siasa za tanzania si ndio!hivi wanaigunga wanaambiwa kwa nini mbunge wao alikataliwa na sasa wanamtumia kumpata mrith wake?? Miaka 17 ya ubunge bado watu wana matatizo ya msingi kwa maisha ya watu??hivi unatumia nini au masaburi!!!!!!!!!!!!!!!!
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

0 Reactions
Reply
Top Bottom