Kwa nini nasema CCM itashinda Igunga | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kwa nini nasema CCM itashinda Igunga

Discussion in 'Chaguzi Ndogo' started by Nwaigwe, Sep 30, 2011.

 1. N

  Nwaigwe JF-Expert Member

  #1
  Sep 30, 2011
  Joined: Jul 9, 2009
  Messages: 789
  Likes Received: 472
  Trophy Points: 80
  Ushindi wa CCM Igunga ni obvious kutokana na sababu moja kuu, kwamba wapiga kura ni watu wenye uelewa mdogo sana kuliko mimi na ww, na wale wenye uelewa mkubwa tuseme wasomi ndiyo hao ambao mara nyingi huwa hawapigi kura.<br>Uelewa mdogo wa mambo yanayoendelea nchini unaweza kuulinganisha na elimu duni inayotolewa na serikali ya ccm, kwa kuhakikisha shule za kata zisizo na waalimu wa kutosha, maabara, maktaba n.k.<br>Mtu wa kawaida katika vijiji na kata za Igunga hajui kama tunailipa Dowans kwa uonevu kwa hali ya juu kutoka kwenye kodi zetu. Infact hajui hata hiyo kodi anailipa hata kwenye sabuni anayoitumia kuogea. Simply ni kwamba hana elimu. Vyombo vya habari kama magazeti husomwa na watu wachache mjini Igunga, wengi vijijini hawajui kusoma na hawana hela za kununulia magazeti. Hivyo hawana habari ya maovu ya ccm. CCM bado kwao ni ya mwalimu.Uislamu nao umeshika kasi yake Igunga. Tunapoongelea hili tunaongelea ufinyu wa elimu dunia kama tunavyoiita wenyewe.<br>
   
 2. Mwita25

  Mwita25 JF-Expert Member

  #2
  Sep 30, 2011
  Joined: Apr 15, 2011
  Messages: 3,840
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 0
  Sidhani kama uchambuzi wako unajitosheleza. Unaposema watu wa Igunga wana uelewa mdogo una maana gani? Kama ni hivyo hiyo ni hali ya nchi nzima tu wala sio Igunga peke yake. Isitoshe watu wanaangalia sera za chama ndizo wanapigia kura.
   
 3. Lunyungu

  Lunyungu JF-Expert Member

  #3
  Sep 30, 2011
  Joined: Aug 7, 2006
  Messages: 8,836
  Likes Received: 75
  Trophy Points: 145
  Mkuu kwa maongezi haya ulikuwa kweli na sababu ya msingi ya kufungua a new thread ? Hebu tuwe waelewa jamani haya yanesha sema humu na we unarudia au ni ugeni mkuu unakusumbua ? Mods unganishe hii na mambo ya Igunga.
   
 4. Ng'wanangwa

  Ng'wanangwa JF-Expert Member

  #4
  Sep 30, 2011
  Joined: Aug 28, 2010
  Messages: 10,180
  Likes Received: 897
  Trophy Points: 280
  Wa Jikoni alisoma shule ya msingi na aliishia darasa la sita (hakuhitimu elimu ya shule ya msingi), lakini anapigia Chadema. hao unaowasema wanauelewa mdogo wana kiwango gani cha elimu?
   
 5. Mzee

  Mzee JF-Expert Member

  #5
  Sep 30, 2011
  Joined: Feb 2, 2011
  Messages: 12,971
  Likes Received: 2,967
  Trophy Points: 280
  atakuwa amekaa mjini kidogo.
   
 6. Ng'wanangwa

  Ng'wanangwa JF-Expert Member

  #6
  Sep 30, 2011
  Joined: Aug 28, 2010
  Messages: 10,180
  Likes Received: 897
  Trophy Points: 280
  mkuu nenda kalale tu.
   
 7. kichomiz

  kichomiz JF-Expert Member

  #7
  Oct 1, 2011
  Joined: Feb 28, 2011
  Messages: 12,030
  Likes Received: 2,677
  Trophy Points: 280
  Wewe ni kama mbunye tu huna lolote.
   
 8. p

  politiki JF-Expert Member

  #8
  Oct 1, 2011
  Joined: Sep 2, 2010
  Messages: 2,356
  Likes Received: 154
  Trophy Points: 160
  MKUU, Kwenye demokrasia hakuna kitu kinachoitwa obvious victory.
   
 9. Rejao

  Rejao JF-Expert Member

  #9
  Oct 1, 2011
  Joined: May 4, 2010
  Messages: 9,239
  Likes Received: 245
  Trophy Points: 160
  Umetumia muda wako wote kuandika huu upupu?
  CCM itashinda kutokana na sera nzuri zinazomnufaisha mwnanchi. That's all
   
 10. p

  politiki JF-Expert Member

  #10
  Oct 1, 2011
  Joined: Sep 2, 2010
  Messages: 2,356
  Likes Received: 154
  Trophy Points: 160
  mkuu fafanua jinsi sera za CCM zilivyomnufaisha mtanzania wa igunga for your info. asilimia 80 ya wakazi wa igunga hawana maji safi
  wala salama, wakazi wa igunga wenye umeme ni aslimia 11 tena usio wa uhakika. na hii ni asilimia kubwa ya Tanzania ukiondoa maeneo ya mijini hiko kama igunga.
  kuhusu ushindi wa ccm mambo siyo rahisi kama watu wengi mnavyofikiria kama ingekuwa ushindi wa CCM ni obvious basi usingeona nusu
  ya baraza la mawaziri na almost serikali nzima imeamia Igunga wanafanya hivyo kwa sababu hali ni ngumu sana angalia mwenyewe jinsi
  mikutano ya chadema inavyokusanya watu na watu hao wanakumbushwa facts tu maana wenyewe hali ngumu ya maisha wanaiona.
   
 11. tindo

  tindo JF-Expert Member

  #11
  Oct 1, 2011
  Joined: Sep 28, 2011
  Messages: 10,179
  Likes Received: 10,371
  Trophy Points: 280
  CCM wanaweza kushinda kweli japo itabidi wacheze faru sana. Ila sasa wamefahamu kwamba watu si wajinga kama zamani kwa kuwaambia upinzani ni vita. Nafsini wanajua 2015 hali ni ngumu.
   
 12. N

  Ninaweza JF-Expert Member

  #12
  Oct 1, 2011
  Joined: Dec 14, 2010
  Messages: 7,187
  Likes Received: 1,188
  Trophy Points: 280
  Wacheze rafu mara ngapi?
   
 13. Duble Chris

  Duble Chris JF-Expert Member

  #13
  Oct 1, 2011
  Joined: May 28, 2011
  Messages: 3,487
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  hapana, sababu uliyo itoa si kweliila sema wapiga kura ni walewale wa 2010 na hawajabadilisha mawazo from CUF na CCM
   
 14. J

  Joachim Morgan Member

  #14
  Oct 1, 2011
  Joined: Sep 21, 2011
  Messages: 58
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Siasa ni mabadiliko hivyo tegemea lolote alafu mwaka 2005 Musoma Mjini CCM 22000, CUF 17000 LAKINI MWAKA 2010 CDM 17000 CCM 12000 CUF 248 je unaweza kuona matokeo yalivyobadika na uliza watu wanasema wanajuta kwanini walikuwa hawajachagua UPINZANI MIAKA YOTE.
   
 15. Mwita25

  Mwita25 JF-Expert Member

  #15
  Oct 1, 2011
  Joined: Apr 15, 2011
  Messages: 3,840
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 0
  Hata wananchi wa jimbo la Karatu hawana maji safi ingawa wanaongozwa na Magwanda
   
 16. S

  STIDE JF-Expert Member

  #16
  Oct 1, 2011
  Joined: Sep 1, 2011
  Messages: 999
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  Mwita a.k.a GAY! Kweli umejaza tope kwenye tikti maji lako!
   
 17. Shine

  Shine JF-Expert Member

  #17
  Oct 1, 2011
  Joined: Feb 5, 2011
  Messages: 11,514
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  mkuu wanaoangalia sera ni wachache wengi wanaangali historia kuwa walikua wanaongozwa na chama gani na ndo maana mwaka 2010 ccm ilishinda zaidi vijijini hasa vile ambavyo ni masikini sana ambao hawajawa na uwezo wa kuwapeleka watoto wao shule na cdm wameshinda shm zile kwa kweli maendeleo yalikuwepo na yapo nikimaanisha waliosoma na wenye uwezo wa kuwapeleka watoto wao shule ndo wanakoishi
   
 18. Ozzie

  Ozzie JF-Expert Member

  #18
  Oct 1, 2011
  Joined: Oct 9, 2007
  Messages: 3,234
  Likes Received: 38
  Trophy Points: 135
  Wengi wetu huku JF si wapiga kura wa Igunga, tunakaa nje ya Igunga na hatujawahi fika Igunga. Sasa tambo za nini wakati twasubiria kujuvya kwa kupitia magazeti na redio? Tusubiri wana Igunga waseme, ila mhesabu kura asiwachagulie mbunge wana Igunga.
   
 19. K

  Kachest Senior Member

  #19
  Oct 1, 2011
  Joined: Nov 6, 2010
  Messages: 192
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mwaigwe ww haupo igunga, kama umeoa kalale na mkeo wanaigunga tuachie wenyewe
   
 20. R

  Rweyemam Member

  #20
  Oct 1, 2011
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 55
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Hapa umenena kweli mkuu, tusisemee mioyo ya watu wa Igunga, tusubiri tu matokeo rasmi, angalizo tu ni kwamba vyama vyote vilivyoshirki kugombea kiti cha Ubunge Igunda vikubali matokeo rasmi yatakayotangazwa na Tume ya Taifa ya Uchaguzi
   
Loading...