Watanzania hawana haja na CCM au CHADEMA wanataka maisha mazuri

HISIA KALI

JF-Expert Member
Oct 26, 2010
694
108
Wanasiasa wa Tanzania wanatakiwa kujua kuwa kwa sasa watanzania hawajali ni chama gani kinashinda uchaguzi. Wao wanataka kuwa na maisha mazuri. Hivyo basi chama kitakachoonyesha kuwa kitawaletea nafuu ya maisha ya kila siku ndicho kitashinda uchaguzi.
 
Kachanchabuseta

JF-Expert Member
Mar 8, 2010
7,271
669
ig3.jpg
 
DASA

JF-Expert Member
Jan 6, 2011
1,031
301

Mbona nikiwaangalia hawa ni kama sura zao zinawasuta kwa huo ushindi! kuna kitu! labda tuwapongeze kwa style yao ya uchakachuaji this time. lakini wajue tu siku za mwizi ni......
 
Massenberg

JF-Expert Member
Jun 4, 2011
1,173
1,370
Wanasiasa wa Tanzania wanatakiwa kujua kuwa kwa sasa watanzania hawajali ni chama gani kinashinda uchaguzi. Wao wanataka kuwa na maisha mazuri. Hivyo basi chama kitakachoonyesha kuwa kitawaletea nafuu ya maisha ya kila siku ndicho kitashinda uchaguzi.
Tume ya uchaguzi inajua hilo?
 
Makindi N

JF-Expert Member
Mar 14, 2008
1,067
173
Wanasiasa wa Tanzania wanatakiwa kujua kuwa kwa sasa watanzania hawajali ni chama gani kinashinda uchaguzi. Wao wanataka kuwa na maisha mazuri. Hivyo basi chama kitakachoonyesha kuwa kitawaletea nafuu ya maisha ya kila siku ndicho kitashinda uchaguzi.

Kabisa na CCM anashikwa koo kila pembe ni kwa sababu for 50 years hakuna maendeleo yanayoonekana........
 
Mbalinga

JF-Expert Member
Apr 9, 2010
1,711
1,365
Wanasiasa wa Tanzania wanatakiwa kujua kuwa kwa sasa watanzania hawajali ni chama gani kinashinda uchaguzi. Wao wanataka kuwa na maisha mazuri. Hivyo basi chama kitakachoonyesha kuwa kitawaletea nafuu ya maisha ya kila siku ndicho kitashinda uchaguzi.

Mkuu mbona unajichanganya, huku unasema 'watanzania hawana hawajali chama gani kimeshinda', kisha unasema '... chama kitakachoonyesha kuwa kitawaletea nafuu ya maisha ya kila siku ndicho kitakachoshinda'. Kwa maoni yangu hujui unataka kusema nini. Chama gani kichaguliwe ni muhimu kama watanzania wanataka maisha bora. Chama chenye sera zisozotekelezeka kwa miongo mitano inapaswa kipumzishwe. Ama nikuulizu kama unadhani maendeleo ya Tz kwa miaka 50 yanaendana na raslimali tulizonazo nchini. Kama ni mkweli jibu litakuwa hapana, na kama ni hapana CCM ya nini tena? kwa nini nchi wasikabidhiwe watanzania wengine wanaoweza kutukwamua katika huu mkwamo ambao kwa kiasi kikubwa kumeletelezwa na mfumo wa ccm uliojosokota ndani ya ufisadi wa kutisha?

Sema mkuu. CCM imeoza na kuisha ndiyo maana kinafurumishwa mijini na muda si mrefu hata hao wanavijiji wataamka tu, na kuwatimua sasa sijui watakimbilia milimani?
 
matungusha

JF-Expert Member
Dec 29, 2010
594
125
wanasiasa wa tanzania wanatakiwa kujua kuwa kwa sasa watanzania hawajali ni chama gani kinashinda uchaguzi. Wao wanataka kuwa na maisha mazuri. Hivyo basi chama kitakachoonyesha kuwa kitawaletea nafuu ya maisha ya kila siku ndicho kitashinda uchaguzi.

mkuu naomba uelewe mambo yafuatayo
1.bila kuwepo kwa chama cha siasa katiba hairusu mgombea binafsi hivyo ni lazima vyama vya siasa viwepo
2.mgombea mmoja hawezi leta maendeleo kama chama chake hakina dhamira ya dhati kuleta maendeleo kwa watz
3.chama pekee kilicho onesha dhamira ya dhati kuleta maendeleo ya watz ni chadema tuuu.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

0 Reactions
Reply
Top Bottom