Mtego huu tokeni! CCM are controlling your mind! Shame | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mtego huu tokeni! CCM are controlling your mind! Shame

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Waberoya, Mar 16, 2011.

 1. Waberoya

  Waberoya Platinum Member

  #1
  Mar 16, 2011
  Joined: Aug 3, 2008
  Messages: 11,579
  Likes Received: 3,881
  Trophy Points: 280
  Lowassa ana uhuru kama mtanzania yeyote ile kugombea nafasi yeyote ile hapa nchini! wengi mmekuwa mkisema anagombea 2015 this is not news!! please mkimsema Lowassa epukeni ili ....maana ana uhuru wake ,mafisadi wote wanatakiwa wawe jela kama yuko nje ni mtu HURU! tupingane na wanaowaweka huru mafisadi! tukishindwa hapo kumsema Lowassa na and his 'guessed' future plan ni alama tosha ya udhaifu wetu...kuwa tumeshindwa kumdhibiti na sasa tunataka kuweka mawe barabarani asipite..kama ngumi za utotoni… basi tunakimbilia kuuma au mawe! take time to think about this , our strength is far than preventing Lowassa not to contest for presidential post!! I THINK IF OUR MIND IS FOCUSED IN LOWASSA THEN IS FOCUSED IN CCM TOO!IF WE DONT WANT LOWASA TO BE PRESIDENT FROM CCM THEN WHO WE THINK IS SUITABLE TO BE PRESIDENT IN CCM???

  EPUKENI NA MTEGO HUU, HATUTAKI CCM; this is our prime goal....LOWASSA KUGOMBEA AU KUTOGOMBEA kunatusaidia nini??? WENGI WASIOMTAKA LOWASSA KUGOMBEA URAIS NI WANA-CCM BASI , maana FOCUS YA wapenda mabadiliko ni kuiondoa CCM Madarakani..MKISEMA HAFAI?? NANI ANAFAA CCM? MKISEMA CCM HAIFAI, LOWASSA ANATOKEA WAPI?? HII TECHNIQUE NDOGO SANA NI YA HATARI NA WENGI MMEINGIA KWENYE MTEGO HUO.SIKU YA MWISHO CCM WAKISEMA WANAMSIMAMISHA MAGUFULI BASI WOOTE MTAFURAHI NA HIVYO KUVIUA KABISA VYAMA VINGINE!!!!! this is a piece of advice from bottom of my HEART kufuata mkumbo ni dhambi na ni utumwa…..


  Ikumbukwe pia hawa tunaowaita mafisadi......akina EL, RA,chenge ...name them.. wanatushushua vibaya sana maana kati ya hawa hakuna hata mbunge waliyeshindwa kwenye majimbo yao aliyesema hawa JAMAA WAMECHAKACHUA KURA, wanapendwa na wameshinda kihalali..for strategic soldiers' the problem is not these people but is those who installed them to be MPs...hapo ndipo penye kazi.LEO HII UKIENDA SERIKALINI, JESHINI, USALAMA WA TAIFA, TRA, name them wanampenda sana Lowassa na wanasema anatakiwa awepo serikalini.In short serikali INA-MMISS SANA LOWASSA LEO HII baada ya PINDA kuonekana kuwa KASUKU NA kusikiliza ushauir wa akina Ridhwani na January makamba!!! serious,

  Wengi wana JF wageni au wasiojua siasa field iko vipi, huwa wanadhani JF ina kila kitu, wenye access ya JF ni wachache sana kuliko mnavyodhani na kuna wengine hawataki hata kuisikia, tumeona kwa amcho yetu.

  Hata hivyo mtu halazimishwi kufuata au kuamini chochote kile! Ndio maana kuna dini nyingi, leo hii unaweza kwakuta vijana kabisa na wanaisifia CCM! You would want to slap them , but hey! They are free to follow and believe anything according to their will.

  Nachelea kusema KWA NGUVU TENA SANA, LET ME BE OPEN IN THIS, WANAOMPINGA LOWASSA WOOOTE KUWA ASIGOMBEE URAIS NI WANAFIKI NA NI WABAYA SANA, kwani hawajaangalia mzizi wa tatizo letu na vita vyao ni vya mkumbo! WANAOSEMA LOWASSA NO LOWASSA NO KESHO WATASEMA MAGUFULI YES MAGUFULI YES au Sita au Mwakyembe and all these are CCM believers! WHO IS GREATER? CCM yenye watu million NNE au Lowassa mtu mwenye mvi na mrefu kidogo anayetokea Arusha , very common man na juzi kudhihirisha hivyo kanywa kikombe cha babu?? Kuwabadili watu million NNE ni kazi na inahitaji moyo na kujitoa... MATUSI hayalipi hapa! LOWASSA SIO KAZI, OK watakaompitisha kugombea urais ni nani? atajipitisha?? this is war tactics!


  Please Stop low thinking! Our move and hard task is to REMOVE CCM FROM POWER, WHEN WE TALK CCM WE MEAN MANY…lots of people the TASK IS DIFFICULT Than THIS EASY THAT HELPS CCM to decide who is best candidate, MNAPOSEMA LOWASSA HAFAI SI MNAISAIDIA CCM?? LET ccm decide whether Lowassa au membe au magufuli anafaa ,Certainly not! this is not our goal not our assignment!! OUR ASSIGNMENT IS TO SAY CCM go away mnaowaona wasafi wangekuwa siku nyingi wameshahama CCM. Hakuna msafi ccm woote ni wachafu na wako after matumbo yao


  Mtego huu ambao wengi tukitaka kueleza kivingine wengi huwa hawauoni na wengine wanafikiria wakisema RA au EL ni mafisadi then inatosha! Najua wengi huwa tunasema kwa hasira sawa, ni jukumu la kila mmoja kuwa-convice hawa waliokinyume chetu kwa hoja murua, ili muda wetu na wakati wetu humu JF usipotee bure au kuwa kama VIJIWE vya mitaani, here we need points and points alone, and I believe you as great thinker you have capacity and ability to rethink your potentials here in JF

  Till then!
   
 2. K

  Kaka deo Member

  #2
  Mar 16, 2011
  Joined: Jan 15, 2011
  Messages: 35
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  I buy ua point "CCM out" either person enters in contesting should be flashed
   
 3. L

  LAT JF-Expert Member

  #3
  Mar 16, 2011
  Joined: Nov 20, 2010
  Messages: 4,523
  Likes Received: 86
  Trophy Points: 0
  huu ni unafiki tuu ....!
   
 4. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #4
  Mar 16, 2011
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  problem ya kutaka kusikia unachotaka........

  Wabs has a good point asee

  Mnyonge mnyongeni haki yahke mpeni

  kama tunajua CCM is out mwaka wa 2015, why are we worried/concerned about EL kujisafisha kwake?

  we have entangled ourselves in a web that is blinding us daily
   
 5. kweleakwelea

  kweleakwelea JF-Expert Member

  #5
  Mar 16, 2011
  Joined: Nov 29, 2010
  Messages: 2,421
  Likes Received: 435
  Trophy Points: 180
  Thank you Waberoya! it doesnt matter how good the candidate CCM will nominate! what matters is kuwapa CCM likizo wakajivue gamba vyema!
   
 6. Ng'wanangwa

  Ng'wanangwa JF-Expert Member

  #6
  Mar 16, 2011
  Joined: Aug 28, 2010
  Messages: 10,180
  Likes Received: 895
  Trophy Points: 280
  naunga mkono hoja.

  kuna mtu alikuja na uzi wake hapa alioambatanisha na picha ya pombe akiwa anakunywa kitu kilichokuwa kwenye kikombe (sijui ni kikombe cha babu?); jamaa akasema ati "pombe anajifanya kwao masikini ili awe rais 2015".

  haya ni mawazo ya kipuuzi.

  kwamba anayegombea urais ccm ndo atakuwa rais!?

  watanzania bwana! ndo maana mnakwenda kwa babu.
   
 7. Ng'wanangwa

  Ng'wanangwa JF-Expert Member

  #7
  Mar 16, 2011
  Joined: Aug 28, 2010
  Messages: 10,180
  Likes Received: 895
  Trophy Points: 280
  leo chaja imetumia umeme wa jenereta.
   
 8. Waberoya

  Waberoya Platinum Member

  #8
  Mar 17, 2011
  Joined: Aug 3, 2008
  Messages: 11,579
  Likes Received: 3,881
  Trophy Points: 280
  Hard talk, many do not like this!
   
 9. Mujumba

  Mujumba JF-Expert Member

  #9
  Mar 17, 2011
  Joined: Jan 20, 2011
  Messages: 854
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  mkuu umeongea hoja za msingi sana,ila hapo ulipomalizia ndio pamenigusa sana,people should bring out points na sio matusi,la sivyo jf itakuwa kama vijiwe vya mitaani! Labda point of correction is that hata ndani ya ccm wapo watu wazuri sio woote ni wabaya na ndio maana slaa katika mikutano yake amekuwa akipokea wanachama mbalimbali kutoka ccm wanaojiunga cdm
   
 10. Raia Fulani

  Raia Fulani JF-Expert Member

  #10
  Mar 17, 2011
  Joined: Mar 12, 2009
  Messages: 10,220
  Likes Received: 83
  Trophy Points: 145
  hivi inawezekana kabisa kuwa lowasa hajui kuwa yeye ni fisadi?
   
 11. Mazee

  Mazee Senior Member

  #11
  Mar 17, 2011
  Joined: Dec 6, 2007
  Messages: 128
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  I see well thought well narrated Thank you very Much comrade.Guys the message here is threads za ajabu ajabu tuzipotezee tusizipe uzito usiokuwa na msingi
  Nafikiri hiki ni kidogo umeamua kushirikisha basi usichoke kutushirikisha na vingine vingi Big up...
   
 12. mbogo31

  mbogo31 JF-Expert Member

  #12
  Mar 17, 2011
  Joined: Nov 28, 2008
  Messages: 687
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 35
  Aise leo umeongea mkuu, nafikiri umewafungua wengi, Hoja ya Msingi ni CCM kuwa Kando hata kama wamchague nani kuwa mgombea na Hivi ndivyo watanganyika wanatakiwa kufahamu, anaweza akachaguliwa mtu safi ambaye yupo CCM lakini kumbuka hao ni bilionea's Club atalazimika kufuata misingi yao, hataweza kwenda kinyume na wenzake. so cha msingi ni kwa wale wasafi toka CCM na Kujiunga na Chadema kuongeza nguvu.

  Aksante kwa mtazamo huu Chanya.
   
 13. Mabel

  Mabel JF-Expert Member

  #13
  Mar 17, 2011
  Joined: Sep 1, 2010
  Messages: 1,018
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 135
  Waberoya,una poniti hapa.
  Ni kweli kinachoendelea sasa kuna watu wanadhani kuna mtu/watu CCM wanafaa kugombea urais 2015.
  Ndugu zangu, CCM ni mfumo na si mtu mmoja mmoja.
  Say no to CCM na vizazi vyake vyote pasipo kujali nani atatokea 2015.
   
 14. Kitila Mkumbo

  Kitila Mkumbo Verified User

  #14
  Mar 17, 2011
  Joined: Feb 25, 2006
  Messages: 3,347
  Likes Received: 78
  Trophy Points: 145
  That is great analysis Waberoya, ubarikiwe!
   
 15. Lu-ma-ga

  Lu-ma-ga JF-Expert Member

  #15
  Mar 17, 2011
  Joined: Sep 21, 2010
  Messages: 2,840
  Likes Received: 471
  Trophy Points: 180
  Ninakubaliana na wewe, tumetekwa sana akili zetu kwa kudhani kutogombea Lowassa ndiyo CCM itakuwa safi, La hasha tunatakiwa kuikataa CCM in wholesale not in part of a set.
  Ni muda muafaka sasa kwa JF ku-reject baadhi ya threads at earliest stage kabla haziajaanza kujadiliwa ili kuondoa slack na kuaacha hoja za mashiko
   
 16. Iza

  Iza JF-Expert Member

  #16
  Mar 17, 2011
  Joined: Jan 8, 2009
  Messages: 1,848
  Likes Received: 120
  Trophy Points: 160
  Thanx Mkuu kwa kutukumbusha hilo.,adui ni mmoja tu ni ccm kwa ujumla wake haijalishi Mwakyembe,Sitta,Magufuli,EL,RA..,!
   
 17. Uliza_Bei

  Uliza_Bei JF-Expert Member

  #17
  Mar 17, 2011
  Joined: Feb 17, 2011
  Messages: 3,109
  Likes Received: 428
  Trophy Points: 180
  Nakupongeza kwa kusema vyema lakini pia naomba usitukataze kumsema Lowassa, hata uchafu ktk CCM unatofautiana hawa wengine wa aina ya Lowassa na Rostan imepindukia lazima tuseme kwanza wao hawatufai halafu baadaye tuishie pia kusema CCM haitufai. Tujiandae kupiga kura ya kuitoa CCM 2015 maana mnaogopa maandamano ya kuing'oa 2011.
   
 18. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #18
  Mar 17, 2011
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  kinachoendelea sasa ni marketing ya product/brand... we need to be careful na kugundua kwamba si lazima next president atoke CCM

  we can only do that if we stop caring what Lowassa is doing kwenye kujisafisha
   
 19. Mwalimu

  Mwalimu JF-Expert Member

  #19
  Mar 17, 2011
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 1,475
  Likes Received: 227
  Trophy Points: 160


  U r very right mkuu....

  Lakini hii kasi ya watu kuingia humu jamvini na kuanza kupiga kampeni hardly one year after the election ndio inatisha zaidi!!!
   
 20. Nyunyu

  Nyunyu JF-Expert Member

  #20
  Mar 17, 2011
  Joined: Mar 9, 2009
  Messages: 4,370
  Likes Received: 130
  Trophy Points: 160
  Mkuu na zimekuwa nyingi sikuhizi!!
   
Loading...