Zitto FEKI avamia mitandao ya Internet juu ya IGUNGA!!

Status
Not open for further replies.

Yericko Nyerere

JF-Expert Member
Dec 22, 2010
16,963
20,105
Nimefanya uchunguzi sahihi na nimejiridhisha vya kutosha kuwa aliyepost kule twitter na hapa jf si Zitto Zuberi Kabwe (MB) kigoma kaskazini!
Ametumia vibaya jukwaa hili na ameudanganya umma wa watanzania!

Hizo ndo post zake!!

By Zitto:
Ndugu zangu, tuwe wakweli tu, tumepoteza Igunga. Tumepoteza kwa sababu moja kubwa- shahada za wapiga zimenunuliwa sana. Kata zote ambazo chadema imeshunda, turn out ilikuwa kubwa. Kata zote ambazo ccm imeshinda turn out ni ndogo sana sana. Hii tabia ya kununua shahada inayofanywa na ccm inaharibu kabisa maana ya uchaguzi. Kuna haja kufikiria kama itabidi tuwe na compulsory voting.
Toka jana usiku saa tano sisi tulishahitimisha kuwa kwa figures za matokeo toka vituoni hatuwezi kutangazwa washindi.
Ni muhimu kwenda mahakamani ili mahakama iweze kuamua masuala fulani fulani kwa mfano Mawaziri kushiriki katika kampeni na kutoa ahadi za kiserikali. Pili, tume kukataza watu ambao majina yao yamo kwenye daftari lakini hawana shahada, kupiga kura.
Suala la Kafumu kukataa kusaini, nadhani tuache masuala haya ambayo ndani ya dakika chache yatagundulika ni uwongo. Toka tunahesabu mpaka tunamaliza hatukuona 'margin' kubwa. Kata ya Igunga mjini ndio imechangia sana matokeo mabaya.
Bitter but truth
 
sikatai wala sikubali....ila kama kweli kuanzia jana saa tano usiku ccm walielekea kushinda, basi ungekuta matokeo yametangazwa saa 12 asb
 
Status
Not open for further replies.
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom