Raisi yoweli wa Uganda inasemekana amewasili nchini, kwa ziara ya kushitukiza. Jambo la kujiuliza inakuwaje anatia timu wakati huu ambapo Taifa liko kwenywe uchaguzi wa Ubunge na Madiwani, je...
Katika nchi hii kila kitu kinawezekana watu walifikiri
Rostam akiondoka ndo wananchi wanaichukian ccm
sasa hivi wananchi wanaipenda ccm igunga kama baba
na mtoto,
Huu mwaka ni wa neema kwa LOwasa...
Uchaguzi ni demokrasia mwanadamu anayoitumia kumchagua kiongozi anayempenda. Demokrasia hii imekuwepo tangia zama za kale. Pale pasipo na kuchagua kwa uhuru tunaita udikteta ambapo viongozi wote...
Binafsi sioni sbb yyt ya kuipongeza ccm kwa ushindi hk Igunga. 1.igunda ni ngome ya ccm tk nchi ipate uhuru lkn Wamepishana kura chache sn na chadema ambao wameanza na 0. 2. Ccm imetumia udini...
Taarifa ya habari ya ITV leo jioni imeonyesha ukatili mkubwa unaofanywa na polisi kwa raia pale walipowaonyesha askari wa kutuliza ghasia wakiwa zaidi ya wanane wakimdhibiti mwanamke aliyekuwa...
Jana nilikuwa namsikiliza huyu msimamizi wa uchaguzi kule Igunga akiongea kwa uashabiki mkubwa akiegemea CCM. Nikajaribu kujiuliza wajibu wa wadhifa huu kutoka nchi zingine nikagungua mapungufu...
Hivi Serikali ya Ccm inatumia kichwa kufikiri kweli?mimi ninawasiwasi kwani iweje watumie pesa nyingi za walipa kodi kujenga ofisi ya Spika wa Bunge Urambo.Je spika wa sasa anatumiaje Ofisi...
Ndugu wana JF,
Ni wakati muafaka kwa asasi zetu za kijamii kujitokeza hadharani na kuchukua jukumu la kuwahamasisha na kuwaelimisha wananchi umuhimu wa kujiandikisha na kujitokeza kupiga kura...
Wakuu,
Nimesikitishwa sana na kitendo cha serikali yetu kuisaidia CCM kuipa ushindi kwa kugawa mahindi ya chakula igunga kwa kisingizio eti inasadia watu, wote tunajua njaa ni adui wa haki na...
Ni lazima mtu akubali kushindwa na au akubali kushinda!
Ikiwa CHADEMA wanakubali kushindwa, zifuatazo ndio sababu?
1 Sera za CHADEMA hazieleweki?
2 Watanzania hawana uelewa wa kutosha wa mfumo...
Saturday, 01 October 2011 21:34
Claud Mshana na Fidelis Butahe
MPANGO wa kulivunja Jiji la Dar es Salaam na kuunda majiji matatu
(Metropolitan city), umeingia dosari baada ya kuibuka mvutano...
Wadau: Habari za ndani nilizopata sasa hivi ni kwamba mgogoro mkubwa unatokota ndani ya uongozi wa juu wa CUF.
Tatizo ni helikopta iliyoletwa mwanzoni mwa wiki iliyopita kutumika katika...
Ninajaribu kutafakari ushindi wa CCM jimbo la Igunga, na ningependa kuleta kwenu, kuona wana Jamvi mnatafsiri vp mwelekeo huu wa CCM!!
Tu assume kwamba uchaguzi ulikuwa wa huru na wa haki
Hivi...
Kwa jinsi ya pekee, uchaguzi mdogo wa Igunga umefichua mengi mno kuhusiana na matumizi ya pesa kwa ujumla katika kipindi cha uchaguzi! Kwa uhakika inashangaza kuona viongozi wakubwa wa nchi kwa...
1. Wakuu hii habari ya sukari kuvushwa kwenda Kenya inasababishwa na nini?
2. Upungufu au ukosefu wa sukari nchini Kenya ni temporary?
3. Kwa nini serikali yetu isihamasishe sekta binafsi...
Kwa mujibu wa matokeo ya Nape Nnauye CCM imepata kura 26266 na CDM kura 22443, hii ikiwa ni tofauti ya kura 3823. Kwa wachambuzi makini wa siasa(wasio na ushabiki), ushindi huu si dalili njema kwa...
Rushwa na Chaguzi za Tanzania,
Watanzania ni waaminifu sana.
Si jambo geni na wala siyo mtindo mpya kwa wapiga kura kupewa vijihela (Tshs 1,500 labda mpaka 10,000) ili wampgie kura mgobea fulani...
Sasa hivi wanakaribia kutangaza.
Kuna mgombea wa CCM tu.
Msimamizi wa uchaguzi amemtangaza rasmi Dr. Kafumu kuwa mshindi wa uchaguzi huu
WAPIGA KURA WALIOJIANDIKISHA WILAYA YA IGUNGA 171019...
Imekuwa ni kawaida kwa vijana wa CDM wanapondama kulamika udhalimu wa matatizo mbalimbali unaosababiswa na serikali kuonekana wanaleta vurugu,na wa kwanza kulalamika katika hili ni wazee eti...
Siku moja nilikuwa nahubiri injili ya nyumba kwa nyumba. Nikakutana na bwana mmoja ambaye baada ya kumweleza habari za yeye kumpokea Masihi, nika-m-alert kuwa kuna jehunum ya moto! Akashtuka...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.