Kwetu Tabora, Mkoa Mkubwa pengine kuliko wote nchi hii ndiko kunakoweza kuwa na watu waliolala kuliko mkoa wowote Tanzania.
Mkoa uliokuwa na shule muhimu kabisa katika nchi hii lakini mkoa...
Hi every body, nilikuwa nikisikiliza kutangazwa kwa mshindi wa uchaguzi mdogo huko igunga, nikapigwa na butwaa pale msimamizi mkuu wa uchaguzi alipomtangaza kafumu kuwa kashinda na kisha akapiga...
Mananeo haya yamesemwa na Naibu Katibu mkuu CUF-Tanzania bara, ndugu Julius Mtatiro wakati akihojiwa na TBC1 kwenye viwanja vya halmashauri ya Igunga mara baada ya kutangazwa kwa matokeo ya...
Hongereni sana viongozi na wanachama wote mliojishughulisha kwenye uchaguzi mkuu katika jimbo la Igunga. CDM imepata kura nyingi (iwe zimechakachuliwa au la), CCM imepata ushindi mwembamba...
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI
TANZANIA na Uganda zimekubaliana kuharakisha ujenzi wa reli ya Tanga-Musoma-Uganda ili kuhitimisha ndoto ya miaka mingi ya Mwanzilishi wa Taifa la Tanzania Hayati...
Kwa kweli inaumiza sana kuona taifa, majimbo na kata vinaongozwa na watu ambao hawakuchaguliwa kihalali na wananchi bali wamechaguliwa na CCM inayodhani ina haki ya kumiliki taifa hili. Chaguzi...
Habar kutoka mtu wa karibu na Ikulu zinasema kwamba CCM sasa wataadhimisha miaka 34 ya WIZI ktk kilele cha maadhimisho ya miaka 50 ya uhuru dec. 9 mwaka huu. Kauli mbiu yao ni hii,according to...
Sasa mambo yako wazi kwamba CCM imeshinda Igunga baada ya upande wa pili yaani Chadema kukiri hivyo. Hayo yamesemwa na Zitto katika ukurasa wake wa Twitter ameandika hivi:
We have lost the...
Najua matokeo yatatangazwa hivi punde lakini kwa mtazamo wangu baada ya kusikia matokeo ya awali huu ni mtazamo wangu kwa vyama vitatu shindani katika uchaguzi huu;
CCM - Kama chama kisipoangalia...
Tumebakiwa na chama kimoja tu cha upinzani Tz, CDM tumaini la watanzania.
Vyama vingine wamekwama, viongozi wao wanatumiwa na chama tawala na serikali wakati wa kampeni.
Lakini watu wameshaanza...
Natumia neno upinzani nikimaanisha kuwa upinzani unatarajiwa au walau unapashwa kuwa na united front...after all wanapingana na timu moja-chama tawala.
Swali kuwa lini upinzani utajifunza...
Ingawaje niko nje ya nchi lakini nikiri wazi kuwa mimi nina asili ya Igunga, niliwahi kusema wazi kuwa wanaigunga hawampendi Rostam Azi wala CCM, nikabishiwa sana lakini sasa naona hata Mzee Mkapa...
Napata shida kidogo kuelewa kama chama cha mapinduzi katika kampeni zake hazikuwatumia hawa wabunge wawili kwenye kampeni zake na baadala yake wametumika kina Kina Magufuli na wengine, hao jamaa...
Kwa wanaoangalia ITV naona breaking nyuzi Mtangazaji Reinfred Masako akijielezea atakachofanya wakati wana CCM watakapompa ubunge wa ulanga magharibi.
================
Kwa niaba ya waandishi...
Insivible, Paw,
Pamoja na timu yenu nzima ya JF.
kutokana uchaguzi wa ubunge jimbo la Igunga kumalizika na matokeo yake kutanganzwa hali itakuwa sio nzuri jukwaa la siasa.
Mods: wanatakiwa kwa...
hakika viongozi na wanachama wa chadema mnaonyesha dhamira ya dhati ya kulikomboa taifa letu.
hii imedhihilika katika jimbo la Igunga ambapo chadema wamefanya kampeni chini ya mwezi mmoja na...
Cdm wana tabia za usimba na uyanga. Always hawakosi VISINGIZIO pale wanaposhindwa. Leo hii simba or yanga hata wakicheza na Barcelona wakifungwa utasikia oh kocha mbovu,mabeki waliongwa,waamuzi...
Nape Nnauye
Matokeo Igunga.(Jumla kuu ni CCM 26266. CHADEMA 22443)
Na haya ni kata kwa kata...
Mboto CCM 730- CHADEMA 302
Nguvu moja CCM 694 CHADEMA 284
Nkinga CCM1479. CHADEMA 1085
Itumba CCM1079...
Chadema washinda kwa Sumaye, Nagu
Bendera ya Chama cha Maendeleo (Chadema)
Waandishi Wetu
CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kimeshinda kiti cha udiwani katika Kata ya Endasak...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.