Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Wenyekujua vizuri katiba ya Tanzania ingawa ili ni swala law forum lakini niamua kuileta hapa. Ukisoma katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania utaona lugha ambayo imetumika ni kiume zaidi...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Iliwahi kusemwa humu jamvini kwamba matokeo yeyote [Kushiinda au kushindwa] katika uchaguzi wa Igunga ni ongezeko la migogoro ndani ya ccm. Hii inatokana na tabia ya wana ccm wa leo kutokubali...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
jana nimemuona Benno Malisa akishiriki kufunga matawi ya ccm Arusha , Lakini Tangia uchaguzi uishe wa BAVICHA sijawahi kumuona John Heche akishiriki kwenye shughuli yeyote ya ujenzi wa chama...
0 Reactions
26 Replies
4K Views
Kabwe Zuberi Zitto, Mb WaziriKivuli wa Fedha na Uchumi TAARIFA KWAVYOMBO VYA HABARI Waziri wa Fedha ndugu Mustafa Mkulo akae pembeni kupishauchunguzi dhidi yake kuhusu Shirika la...
26 Reactions
115 Replies
12K Views
Vyombo vya habari vimeripoti kwamba Waziri Kivuli wa Fedha na Uchumi na Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Hesabu za Mashirika ya Umma, Kabwe Zubei Zitto anataka Waziri wa Fedha na Uchumi...
0 Reactions
64 Replies
5K Views
Dk Slaa anena Dk Slaa amesema chama hicho kinatarajia kuchimba visima vya maji 11 katika Wilaya ya Igunga mkoani Tabora ikiwa ni wiki takriban mbili tangu kumalizika kwa uchaguzi mdogo wa jimbo...
2 Reactions
157 Replies
12K Views
Mtandao wa uangalizi wa uchaguzi mdogo wa ubunge katika Jimbo la Igunga mkoani Tabora, umetoa tathmini yao na kusema kuwa zoezi hilo liligubikwa na kasoro nyingi zikiwemo za wapiga kura kuhongwa...
1 Reactions
64 Replies
7K Views
Source: http://sautizetutz.blogspot.com/2011/10/nyerere-nakulilia.html NYERERE NAKULILIA! Nyerere unanisikia? Machozi nakulilia Nchi ulopigania Uhuru Kutuachia. Nchi ulopigania Ukajenga...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Baada ya kumalizika mdahalo wa uloandaliwa na Kigoda cha mwalimu Nyerere kuadhimisha kumbukumbu ya kifo cha Nyerere mh sendeka alipata nafasi ya kuongea na wanafunzi na wananchi mbalimbal, ambapo...
3 Reactions
29 Replies
4K Views
Kipindi cha Kipima Joto kipo hewani sasa hivi. Lwaitama ndani ya jengo. Anasema Nyerere hakutaka Butiama iwe mji lakini viongozi wanataka kukibadilisha hicho kijiji kuwa Makao Makuu ya Wilaya...
0 Reactions
22 Replies
3K Views
  • Closed
Katibu wa Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM (NEC), Itikadi na Uenezi Nape Nnauye akizungumza na waandishi wa habari leo katika ukumbi wa Sekretarieti, Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Lumumba...
1 Reactions
244 Replies
22K Views
Ukiwa Rais kiongozi Mkuu wa Watanzania baada ya Wawakilishi wetu (wabunge) nadhani umetusikia huku mtaani (kimenuka).Wambie hao wanaodai tozo kuwa Watanzania tumekataa.Hii ndio kauli ya mwisho...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Kila mtanzania anatambua wazi kinachoendelea katika nchi etu, vuguvugu kubwa la mageuzi zimeshika kasi na nadhani hakuna namna ya kuzuilika ili ni jambo jema kwani nchi isiyo na mabadiliko basi...
2 Reactions
48 Replies
5K Views
Wanajanvi angalieni tbc this day on perspective wapo akina prof. Baregu, dr. Mkumbo kitila, VC mstaafu udsm na mzumbe wanazungumzia mwl.
0 Reactions
3 Replies
1K Views
RAIS Jakaya Kikwete ameandaa chakula cha jioni kwa wahitimu wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM), pamoja na wadau wengine wa elimu kuchangisha shilingi bil. 17 kwa ajili ya mradi wa kujenga...
0 Reactions
16 Replies
2K Views
akichangia katika mdahalo wa leo mzee kingunge alisema mashujaa duniani kote hukumbukwa kwa siku zao kuzaliwa na sio kufa akatoa mifano kwa george washnton.karl max,lenin,na komrade mao.amesemema...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
leo majira ya Mchana maeneo ya December kata ya levolosi Diwani aliyesaliti akatimuliwa ameonja shoruba ya peoples power pale alipoenda mitaa hiyo maarufu kwa kuuza spea kutafuta spea na...
1 Reactions
50 Replies
6K Views
Katika hali isiyo ya kawaida Polisi mkoa Kilimanjaro imewakatalia CHADEMA kufanya mkutano wao katika eneo walilokusudia kufanya mkutano, taarifa ya kukataliwa kufanya mkutano katika eneo la...
1 Reactions
32 Replies
4K Views
Wanajamvi,mnaonaje tutembee kwa mguu toka DAR hadi ARUSHA tumuenzi Baba yetu? Nawasilisha.
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Hamisi Kigwangalla Badala ya kutoa mchango wa mawazo kwenye issues za kukijenga chama chetu ndani ya vikao halali ambavyo wenyewe ni wajumbe, wanatafuta umaarufu kwa kumtukana na kumchafua kijana...
0 Reactions
54 Replies
6K Views
Back
Top Bottom