Katiba na Jinsia

Alexism

JF-Expert Member
Aug 14, 2011
3,423
2,039
Wenyekujua vizuri katiba ya Tanzania ingawa ili ni swala law forum lakini niamua kuileta hapa.
Ukisoma katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania utaona lugha ambayo imetumika ni kiume zaidi wale wenye katiba ya kiingireza inatumia he,his and him na hamna her au she.Kama kuna mtu mwenyekujua ili ninaomba kunijuza.
Katika muundo wa excutive na cabinet Act.15 of 1984 and act.4 of 1992. Inasema There shall be a cabinet the members of which shall be the Vice-President,the Prime Minister the President of Zanzibar and all the ministers.
Hapo inakuwaje raisi wa Zanzibar kuwa tena member wa cabinet?Tujurishane.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

0 Reactions
Reply
Top Bottom