Kipindi cha Kipima Joto kipo hewani sasa hivi. Lwaitama ndani ya jengo. Anasema Nyerere hakutaka Butiama iwe mji lakini viongozi wanataka kukibadilisha hicho kijiji kuwa Makao Makuu ya Wilaya kinyume na matakwa ya Mwalimu.
Kuna kajamaa kanachangia kanasema ati mwalimu nyerere ameenziwa zaidi kwenye hii serikali ya wamu ya nne!! Kanasema ati kuna vitu vingi vimepewa majina ya mwalimu na pia kuna sanamu nyingi za mwalimu!! Hivi kumuenzi mwalimu ni kwa sanamu na majina au kwa matendo?
nadhani sasa umemuelewa alichomaanisha, hata mm alipoanza nilishtuka kidogo.Kuna kajamaa kanachangia kanasema ati mwalimu nyerere ameenziwa zaidi kwenye hii serikali ya wamu ya nne!! Kanasema ati kuna vitu vingi vimepewa majina ya mwalimu na pia kuna sanamu nyingi za mwalimu!! Hivi kumuenzi mwalimu ni kwa sanamu na majina au kwa matendo?
Hawa jamaa nawakubali sana, nashangaa viongozi wetu wanashindwa kujichukulia maushauri ya bure toka kwa hawa jamaa.Dr. Lwaitama na Prof. Shivji ni kati ya watanzania wachache wenye free-will kwenye chambuzi zao
hapana,ni wendawazimu hao!Kuna kajamaa kanachangia kanasema ati mwalimu nyerere ameenziwa zaidi kwenye hii serikali ya wamu ya nne!! Kanasema ati kuna vitu vingi vimepewa majina ya mwalimu na pia kuna sanamu nyingi za mwalimu!! Hivi kumuenzi mwalimu ni kwa sanamu na majina au kwa matendo?
Hawa jamaa nawakubali sana, nashangaa viongozi wetu wanashindwa kujichukulia maushauri ya bure toka kwa hawa jamaa.
nadhani sasa umemuelewa alichomaanisha, hata mm alipoanza nilishtuka kidogo.
Sabato amepinga hata kuzipa sehemu jina la mwalimu 'hovyo hovyo', na pia amafafanua kuwa ktk awamu ya nn wananch ndio wamejitahidi kumuenzi mwalimu na serikali....
Hawa wanafalsafa bwana huwa wanaanzia nyuma wanenda mbele!!
Anaitwa Sabato ni mwanafunzi wa udsm!Mkuu siyo Mzee Mbawala ni kijana mmoja hivi amekaa karibu na Mzee Mbawala
Mkuu siyo Mzee Mbawala ni kijana mmoja hivi amekaa karibu na Mzee Mbawala
mkuu nilitaka kujua tu vile uko muoga.
Hayawezi kulingana na ya Kikwete!Hivi Mwalimu Nyerere alikuwa hana makosa?
Na hakuna pahala it has ever been claimed kuwa hana makosa, hata yeye mwalimu alijisemea kuwa yeye si malaika! Nadhani la muhimu tunalopaswa kufuata ni ile misingi ya yale mazuri.Hayawezi kulingana na ya Kikwete!
Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...
Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us