Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Ndugu zangu Wana JF,ushahidi ulio wazi umethibitisha bila kuacha hata chembe ya Shaka kwamba JK aliruka kuingia Ikulu kwa Kutumia EPA Flight No.2005 iliyoongozwa na Rubani Rostam Abdulrasul Aziz...
1 Reactions
1 Replies
1K Views
Na Jacob Daffi - Imechapwa 12 October 2011 KAMATI ya baraza la madiwani iliyoundwa na Meya wa Jiji la Dar es Salaam, Dk. Didas Masaburi kuchunguza ubinafsishaji wa shirila la usafiri jijini...
1 Reactions
1 Replies
1K Views
Katika gazeti lka leo la Tanzania Daima... Kuna habari inayosema Sabodo kuibeba CHADEMA..... Ukurasa wa pili kwenye hii habari paragraph ya mwisho inasema........ SABODO NAYE ALISEMA ALIWAHI...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Mwalimu Nyerere anaenziwa kwa kuuana kwa sumu, Mafisadi papa wanaongoza serikali kama kampuni, Mtoto wa rais kumiliki vituo vya mafuta (big Bon - sinza) na kuna nyingine itajengwa pale gereji...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Tumeona yaliyotokea Igunga kwa matukio ya wananchi kuuwawa kwa kuwa wao eidha ni CDM AU ni maGAmba lakini lazima tukubaliane kwamba kabla ya mtu kuwa CDM Au maGAmba ni lazima kwanza awe Mtanzania...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Akirejea kauli za Mwalimu Nyerere, Nape amesema (namnukuu).......... "Wapo watu leo watahangaika sana lakini hawatafanikiwa kwa sababu tu Mwalimu (Nyerere) alisema HAPANA!"
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Asubuhi kwenye Jamabo tz naangalia mara mabinti wawili wanaojiita wanafuata nyayo za mzee wa Taifa hili wanatangaza mdahalo utakaofanyika chuo cha kumbukumbu ya mwalimu nyerere pale kigamboni...
1 Reactions
9 Replies
2K Views
Baba wa taifa aliacha maadui wakuu watatu, ujinga, mardhi na umasikini. Lakini sasa badala ya kupungua, wameongezeka wengine. Hebu tutaje hao waliongezeka.
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Nape tunangoja kwa hamu uamuzi wa vikao hivyo, lakini chonde chonde, tumeibiwa sana, tukadhurumiwa sana na hao mafisadi, sasa malizeni suala la kuachana nao, ili tuone na mengine yakifanyiwa kazi!!
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Wana JF salam, Katika kuadhimisha kumbukumbu ya kifo ha Baba wa Taifa Mwl Nyerere, kutakuwa na mdahalo kesho tarehe 14/10/2011 kuanzia saa (9:00am) 3:00 asubuhi kwenye ukumbu wa Utamaduni, mada...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Wasomi Kenya wanamfananisha Nyerere na malaika Thursday, 13 October 2011 21:04 Na Florence Majani Mwananchi TUNAPOFANYA kumbukumbu ya miaka 12 tangu Mwalimu Julius Kambarage...
1 Reactions
4 Replies
2K Views
Hivi jk leo yupo wapi? Na anajisikiaje leo na maadhimisho ya siku ya nyerere na tanzania yake ?
0 Reactions
0 Replies
1K Views
TANZIA YA KIFO KWENYE UCHAGUZI IGUNGA Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Wilaya ya Ubungo Mkoa wa Kichama wa Kinondoni Kanda Maalumu Dar es salaam kinasikitika kutangaza kifo cha...
0 Reactions
249 Replies
23K Views
Nijuavyo mimi kwa mujibu wa katiba ya jamuhuri ya mungano wa Tanzania,ni haki ya msingi ya MTANZANI ailefikisha miaka 18 kushiriki katika chaguzi za udiwani na ubunge,kugombea,kuchagua au...
1 Reactions
0 Replies
2K Views
Nimesikia promo Mlimani Tv vuvuzela wa JK atakuwa Mlimani TV leo saa mbili na nusu usiku kutangaza jinsi CCM watakavyoshiriki maandamano ya kupinga malipo ya Dowans..... Sio ya kukosa ni kwenye...
0 Reactions
95 Replies
7K Views
Wanazuoni kama prof. I.g. Shivji wanaonyesha wanamvyoenzi fikra za mwalimu kwa vitendo, dr. Bashiru ally na staili ya mashairi...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
CCM imeshindwa tuipe nafasi CHADEMA. Nashawishika kuamini kuwa kama Mwalimu angalikuwa hai leo angekipa kisogo chama hiki, CCM , alichokiasisi mwenyewe. Sababu ni moja tu. Kimekosa mwelekeo...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Asante sana Mungu wetu umesikia kilio cha watz, wakati leo tukiadhimisha kumbukumbu ya mwl. Nyerere na tukiendelea na maadhimisho ya miaka 50 ya uhuru wazee mbalimbali wamejitokeza hadharani na...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
*Aapa kamwe hatakubali serikali kuilipa Dowans *Asema iliirithi Richmond isiyotambuliwa kisheria *Wanaharakati watangaza siku 10 za maandamano *Yaelezwa TANESCO kukata rufaa changa la...
0 Reactions
22 Replies
3K Views
NEC inasema CUF wameshindwa kuwakilisha majina ya VITI MAALUM sio kwamba walikuwa wakisubiri upepo ili nao wafanye uozo wa kupeana na zamu hii wameambulia namba za viatu vya watoto. Ili haki SAWA...
0 Reactions
51 Replies
6K Views
Back
Top Bottom