Angalia tbc sasa, this day in perspective

ngurati

JF-Expert Member
Feb 14, 2011
221
240
Wanajanvi angalieni tbc this day on perspective wapo akina prof. Baregu, dr. Mkumbo kitila, VC mstaafu udsm na mzumbe wanazungumzia mwl.
 

Mwita25

JF-Expert Member
Apr 15, 2011
3,836
1,164
Hicho kipindi si kinatangazwa kiingereza? Humu ndani wengi ni vilaza wa hiyo lugha.
 

Chakunyuma

JF-Expert Member
Apr 10, 2011
810
151
alikuwepo pia Ayoub Rioba, Prof. Baregu anasema alikuwa china na alishuhudia jinsi nchi ilivyokuwa kwenye pilikapilika lakini alipo rudi bongo alisononeka moyoni alipokuta watu wapo vijiweni wanapiga soga. Kitila MKUMBO yeye kasema viongozi wetu wa leo si kama zama za mwalimu kwani unaweza kukuta kiongozi amekaa madarakani miaka 15 hajawahi kuandika article hata moja kiasi kwamba wananchi wanashindwa kujua misimamo yao.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

0 Reactions
Reply
Top Bottom