Polisi yahujumu mkutano wa madiwani wa CHADEMA | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Polisi yahujumu mkutano wa madiwani wa CHADEMA

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by MARUMARU, Oct 14, 2011.

 1. MARUMARU

  MARUMARU JF-Expert Member

  #1
  Oct 14, 2011
  Joined: Oct 12, 2011
  Messages: 250
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 35
  Katika hali isiyo ya kawaida Polisi mkoa Kilimanjaro imewakatalia CHADEMA kufanya mkutano wao katika eneo walilokusudia kufanya mkutano, taarifa ya kukataliwa kufanya mkutano katika eneo la stendi imekuja saa chache kabla ya mkutano, hii iliwachanganya viongoziwa CHADEMA ili kwa busara waliamua kuhamishia mkutano huu Majengo. Ili cha kustaabisha polisi wamedai kwamba CHADEMA hawruhusiwa kufanya mkutano eneo kwa madai ni maegesho ya magari japo Nape aliruhusiwa kufanya mkutano wa hadhara eneo miezi michache iliyopita, swali je polisi ni jeshi la CCM?
   
 2. jouneGwalu

  jouneGwalu JF-Expert Member

  #2
  Oct 14, 2011
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 2,680
  Likes Received: 62
  Trophy Points: 145
  Absolom Mwakyoma kaanza kazi yake!
  Hawa jamaa wa kwetu sijui wana ndoa gani na MAGAMBA, ni kama Thoby Andengenye wa Arusha
   
 3. Filipo

  Filipo JF-Expert Member

  #3
  Oct 14, 2011
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 9,330
  Likes Received: 210
  Trophy Points: 160
  Nadhani ulichouliza ni jibu, sio swali! Sijui cdm wana mkakati gani wa kufanya mikutano kwenye kambi za polisi ili kuwapa elimu ya uraia maana mtazamo wangu ni kwamba UKOMBOZI WA NCHI YETU UTACHELEWESHWA SANA NA JESHI LA POLISI. Wasipopata elimu kwamba ukombozi tunaouzungumzia ni pamoja na wao kupata maisha mazuri basi safari yetu bado ni ndefu!
   
 4. Chakunyuma

  Chakunyuma JF-Expert Member

  #4
  Oct 14, 2011
  Joined: Apr 10, 2011
  Messages: 811
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Ukiona ukandamizaji wa wazi unafanyika basi jua ukombozi unakaribia.
   
 5. A

  Ados Senior Member

  #5
  Oct 14, 2011
  Joined: Feb 26, 2011
  Messages: 117
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  kumbe wewe hujui kuwa polisi ni jeshi hivi ndivyo ilivyo.
   
 6. Najijua

  Najijua JF-Expert Member

  #6
  Oct 14, 2011
  Joined: Nov 5, 2010
  Messages: 1,029
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  nyie waacheni 2015 watakimbia nchi bila kufukuzwa,hawatojua wapi pa kuweka sura zao!wakumbuke nyimbo ya Sarafina Freedom iz Coming Tomorrow
   
 7. M

  Makupa JF-Expert Member

  #7
  Oct 14, 2011
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 2,742
  Likes Received: 67
  Trophy Points: 145
  Kosa halihalalishi kurudia kosa
   
 8. BONGOLALA

  BONGOLALA JF-Expert Member

  #8
  Oct 14, 2011
  Joined: Sep 14, 2009
  Messages: 13,784
  Likes Received: 2,393
  Trophy Points: 280
  Polisi,bakwata ni jumuiya ndani ya ccm!hizi taasisi ndizo kikwazo kikubwa cha ukombozi wa tanzania
   
 9. Angel Msoffe

  Angel Msoffe JF-Expert Member

  #9
  Oct 14, 2011
  Joined: Jun 21, 2011
  Messages: 6,797
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
   
 10. C

  ChiefmTz JF-Expert Member

  #10
  Oct 14, 2011
  Joined: Apr 15, 2008
  Messages: 2,517
  Likes Received: 292
  Trophy Points: 180
   
 11. Mzee

  Mzee JF-Expert Member

  #11
  Oct 14, 2011
  Joined: Feb 2, 2011
  Messages: 12,971
  Likes Received: 2,965
  Trophy Points: 280
  Wamefanya jambo zuri sana. Mkutano unafanyika sehemu maalum si kila sehemu inafaa kwa mikutano.
   
 12. Filipo

  Filipo JF-Expert Member

  #12
  Oct 14, 2011
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 9,330
  Likes Received: 210
  Trophy Points: 160


  Kama kweli ccm walikosea kwanini mkutano wao haukuzuiliwa!? Unazi utakuponza! Soma vzur post zako maana kama unapost maelezo yanayokiri bwana'ako kakosea, malipo yakakuwa mashakani!
   
 13. Hakikwanza

  Hakikwanza JF-Expert Member

  #13
  Oct 14, 2011
  Joined: Dec 11, 2010
  Messages: 3,898
  Likes Received: 307
  Trophy Points: 180
  Sijaona polisi ya kijinga ktk dunia hii kama ya hapa,hawa jamaa hawana reasoning hata akitumwa akaue mkewe au mmewe yeye ni kufyatua tu risasi bila kujiuliza amekosa nini? Kazi tunayo
   
 14. Filipo

  Filipo JF-Expert Member

  #14
  Oct 14, 2011
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 9,330
  Likes Received: 210
  Trophy Points: 160


  Peleka upuuzi wako huko! Sehemu maalumu ni kwa cdm peke yao!? Mbona alipofanya nape hamkuyasema haya?
   
 15. Gwallo

  Gwallo JF-Expert Member

  #15
  Oct 14, 2011
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 2,321
  Likes Received: 842
  Trophy Points: 280
  Kadiri hawa magamba wanavyoongeza chuki kwa cdm kutumia polisi ndivyo nguvu ya cdm inavyoongezeka!!!!!!!!!!!
   
 16. Filipo

  Filipo JF-Expert Member

  #16
  Oct 14, 2011
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 9,330
  Likes Received: 210
  Trophy Points: 160
   
 17. Mzee

  Mzee JF-Expert Member

  #17
  Oct 14, 2011
  Joined: Feb 2, 2011
  Messages: 12,971
  Likes Received: 2,965
  Trophy Points: 280
  kosa la Nape halihalilishi cdm kufanya tena kosa.
   
 18. LiverpoolFC

  LiverpoolFC JF-Expert Member

  #18
  Oct 14, 2011
  Joined: Apr 12, 2011
  Messages: 11,001
  Likes Received: 153
  Trophy Points: 160
  Kamanda inaweza isifike 2015! Ni kwmb tumwombeni mwenyezi MUNGU sana kwani hawa vibaraka wa sisiem kwa kweli wanakera pasipo na vipimo. Ila wao wakae tu na siku nguvu ya UMMA wakichafukwa na mioyo hakika hata hizo bunduki wanazobebaga wataona ni mizigo.
   
 19. only83

  only83 JF-Expert Member

  #19
  Oct 14, 2011
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 5,252
  Likes Received: 445
  Trophy Points: 180
  Mkuu huitaji kuwa Profesa kujua kuwa jeshi letu hasa polisi ni vibaraka wakubwa wa CCM,ila siku zao za kutamba na kufanya ufirahuni zinahesabika kwasasa...tutaanza na kwenye katiba mpya.
   
 20. M

  Mthuya JF-Expert Member

  #20
  Oct 14, 2011
  Joined: Jun 9, 2011
  Messages: 1,415
  Likes Received: 65
  Trophy Points: 145
  Kilakitu kinamwisho na ukombozi unakuja soon
   
Loading...