Arusha noma: Aliyekuwa diwani wa Kimandolu bwana Mallah aonja joto ya jiwe

Crashwise

JF-Expert Member
Oct 23, 2007
22,228
8,722
leo majira ya Mchana maeneo ya December kata ya levolosi Diwani aliyesaliti akatimuliwa ameonja shoruba ya peoples power pale alipoenda mitaa hiyo maarufu kwa kuuza spea kutafuta spea na kukabiliwa na wakati mgumu pale alipoambiwa kwamba hawawezi kumuuzia spea kwani yeye ni msaliti wa mabadilikoo ya Taifa hili , na ndipo alipoanza kuzomewa na wananchi na kutaka kupigwa ndipo akatoa bastola hili ajitetee . ilikuwa ni noooooma
 
Topical

JF-Expert Member
Dec 3, 2010
5,174
931

Arusha washamba sana
 
Daniel Anderson

JF-Expert Member
Aug 7, 2011
872
140
Wangemshikisha adabu kidogo mpuuzi huyo. Na angefyatua tu ka A.RAGE kake angetafunwa nyama yake mbichi.
 
Ng`wanakidiku

JF-Expert Member
Apr 18, 2009
1,195
232
..acha waumbuke, hakuna binaadamu anayeweza kuzuia mabadiliko, Gaddafi alijaribu akachemsha! USA walijaribu wakashindwa, Moi alijaribu akashindwa, n.k.
 
Ritz

JF-Expert Member
Jan 1, 2011
43,200
25,626
Mbona Arusha watu washamba sana kama mimi ndio ningekuwa huyo diwani ningevunja miguu hata wahuni wawili na bastola
 
Ritz

JF-Expert Member
Jan 1, 2011
43,200
25,626
Watu wanakaa vijiweni hawana kazi wanakunywa viroba tu.

Unadhani mtu kama yupo ofisini kwake hana muda wakuzomea mtu
 
apolycaripto

JF-Expert Member
Feb 11, 2011
644
225
Acheni siasa za maji taka na ushabiki wa kijinga wa vyama, kwake kufanya maamuzi aliyofanya na hatimaye kufukuzwa sio dhambi ya kumtendea hayo wala kumdhihaki kwa mambo ya kidunia(siasa za kupita).Chadema ama CCM pia CUF si dini kusema zipo na zitadumu milele,Tambua haki za binadamu katika katiba na usaidie kuwaelimisha hao wenzio ambao siasa wamegeuza ''uadui''.
 
Captain22

JF-Expert Member
Aug 25, 2011
623
266
Mbona Arusha watu washamba sana kama mimi ndio ningekuwa huyo diwani ningevunja miguu hata wahuni wawili na bastola

What do you mean by ' Arusha washamba sana' ? Ushamba wao ni kupenda mageuzi, au kutoshabikia mafisadi? I once questioned your thinking capacity. People like you should be castrated so as to eliminated such gene in the society.
 
Ritz

JF-Expert Member
Jan 1, 2011
43,200
25,626
What do you mean by ' Arusha washamba sana' ? Ushamba wao ni kupenda mageuzi, au kutoshabikia mafisadi? I once questioned your thinking capacity. People like you should be castrated so as to eliminated such gene in the society.

Giving advice but no one listens...ache ushamba nyie vijana wa Arusha!
 
mashikolomageni

JF-Expert Member
Jan 5, 2010
1,568
185
Safi sana dawa ya swasaliti ni hiyo tu kuwaonesha kuwa hatuwataki hii itasaidia siku nyingine hatutasalitiwa na vibaraka tuliowachagua
 
Mungi

JF Gold Member
Sep 23, 2010
16,980
9,547
Mahakama ilishatupilia mbali pingamizi lao, kwahiyo ruksa kuwazomea!
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

1 Reactions
Reply
Top Bottom