Dr Kigwangalla Amponda Benno, Amtetea Riziwan, Anatafuta Uwaziri? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Dr Kigwangalla Amponda Benno, Amtetea Riziwan, Anatafuta Uwaziri?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by ibange, Oct 13, 2011.

 1. i

  ibange JF-Expert Member

  #1
  Oct 13, 2011
  Joined: Dec 31, 2010
  Messages: 1,545
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  [​IMG]

  [h=6]Hamisi Kigwangalla
  Badala ya kutoa mchango wa mawazo kwenye issues za kukijenga chama chetu ndani ya vikao halali ambavyo wenyewe ni wajumbe, wanatafuta umaarufu kwa kumtukana na kumchafua kijana wa Mwenyekiti wa Chama! Bahati ya kuzaliwa mtoto wa Rais ni devine right ya aliyeipata na wala siyo dhambi...sidhani kama ni sahihi kumshambulia kwa sababu tu amezaliwa na kuwa mtoto wa Rais. Hata kama unamchukia kiasi gani, utamnyang'anya kila kitu lakini siyo haki ya kuwa mtoto wa Rais! Waambieni waache wivu, wafanye kazi.LikeUnlike · · Share · about an hour ago · Shared with: Public
  [/h]
   
 2. ndetichia

  ndetichia JF-Expert Member

  #2
  Oct 13, 2011
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 27,641
  Likes Received: 236
  Trophy Points: 160
  anashambuliwa mambo yake ya kujifanya mtoto wa mkuu wa kaya halafu sisi ni vikaragosi..
   
 3. Chakaza

  Chakaza JF-Expert Member

  #3
  Oct 13, 2011
  Joined: Mar 10, 2007
  Messages: 23,651
  Likes Received: 21,866
  Trophy Points: 280
  Ridhiwam anatoa uwaziri siku hizi?
   
 4. Ngongo

  Ngongo JF-Expert Member

  #4
  Oct 13, 2011
  Joined: Sep 20, 2008
  Messages: 12,155
  Likes Received: 3,632
  Trophy Points: 280

  Hizi nafasi za mikoa mipya zitawatoa roho wanasiasa uchwara.
   
 5. F

  FUSO JF-Expert Member

  #5
  Oct 13, 2011
  Joined: Nov 19, 2010
  Messages: 11,856
  Likes Received: 2,332
  Trophy Points: 280
  yatimie tu hiri ri merikebu rao rizame iri sisi watanganyika tusio na hatia hatimaye tupate haki zetu tulizokwisha porwa na hawa jamaa.
   
 6. M

  Marytina JF-Expert Member

  #6
  Oct 13, 2011
  Joined: Jan 20, 2011
  Messages: 7,037
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 145
  HK ni fisadi wa elimu tunajua ni mama salma anayekulinda ndio maana anaogopa kutumia akili zake anabaki kushikiliwa
   
 7. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #7
  Oct 13, 2011
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  pasco alishamaliza khabari ya Bagaile zamani sana....
   
 8. ZionTZ

  ZionTZ JF-Expert Member

  #8
  Oct 13, 2011
  Joined: Oct 6, 2009
  Messages: 1,276
  Likes Received: 241
  Trophy Points: 160
  hivi ni kwamba maraisi wote waliopita hawakuwahi kuwa na watoto??? kama watoto wanaostahili kujivunia kazi nzuri ya baba yao ni watoto wa JKN na si wengine....ulishawasikia wakiropokaropoka hovyo??? tena wako humble kwa kila mtu na wanaheshima hata kwa watu wasiowajua
  lakini sio huyu bw mdogo, mimi pia namchukia namchukuia namchukia.....
   
 9. B

  Bajabiri JF-Expert Member

  #9
  Oct 13, 2011
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 9,755
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  Wasodhambi
   
 10. DOUGLAS SALLU

  DOUGLAS SALLU JF-Expert Member

  #10
  Oct 13, 2011
  Joined: Nov 13, 2009
  Messages: 11,591
  Likes Received: 4,702
  Trophy Points: 280
  Wera weraaaaaaaa, magamba wanaruka na kukanyagana, safi saaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaana
   
 11. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #11
  Oct 13, 2011
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,324
  Likes Received: 19,492
  Trophy Points: 280
  kigwangwala hajafika tu bado kwenye thread yake
   
 12. o

  oldonyo JF-Expert Member

  #12
  Oct 13, 2011
  Joined: Aug 11, 2011
  Messages: 554
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Ivi maraisi wengine hawakuzaa?
   
 13. Geza Ulole

  Geza Ulole JF-Expert Member

  #13
  Oct 13, 2011
  Joined: Oct 31, 2009
  Messages: 11,057
  Likes Received: 3,984
  Trophy Points: 280
  Unarudisha fadhila sio kwa mke wa Rais kukupigania kupata ubunge sio? Hebu jaribu kujiuliza huyo mtoto wa rais katiba inamtambua vp? na inakuwaje anahusika katika maamuzi ya chama? btw naskia ulinunua vyeti
   
 14. kanyasu

  kanyasu JF-Expert Member

  #14
  Oct 13, 2011
  Joined: Feb 9, 2009
  Messages: 235
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  huo u afadhali wa Ridhiwan na ubaya wa Beno ukoje ili tuanze kuwapima.
   
 15. kichomiz

  kichomiz JF-Expert Member

  #15
  Oct 13, 2011
  Joined: Feb 28, 2011
  Messages: 11,996
  Likes Received: 2,651
  Trophy Points: 280
  Hakuna kitu kibaya duniani kama kubebwa,yaani kupewa nyazifa nk bure bila kutoa jasho,maana utakuwa mtumwa wa aliyekubeba,hata kama akijinyea na wewe ukaona kabisa utakanusha tu ili kulinda ugali, wanatia aibu sana watu wa namna hiyo.
   
 16. Mzee wa Rula

  Mzee wa Rula JF-Expert Member

  #16
  Oct 13, 2011
  Joined: Oct 6, 2010
  Messages: 8,177
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  Labda mashabiki wake ni wale wafuasi wa maisha ya kimjini mjini. Wanaotegemea fitna zaidi kuliko utendaji kazi.
   
 17. nyotanjema

  nyotanjema Senior Member

  #17
  Oct 13, 2011
  Joined: Sep 24, 2011
  Messages: 135
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Vita vya panzi furaha ya ......... Bado tutaona na kusikia mengi
   
 18. N

  Ngonini JF-Expert Member

  #18
  Oct 13, 2011
  Joined: Sep 1, 2010
  Messages: 2,024
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  Tutegemee nini toka kwa huyu house boy ?
  All in all hakuna cha maana toka kwa gamba wala mtoto wa gamba wote kiduku tu!
   
 19. B

  Buto JF-Expert Member

  #19
  Oct 13, 2011
  Joined: Sep 23, 2011
  Messages: 249
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Inavyo onekana hawakuzaa na aliyezaa ni Jk peke yake.
   
 20. E

  Entare3 Member

  #20
  Oct 13, 2011
  Joined: Aug 4, 2011
  Messages: 30
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  If you argue with a fool,people may not notice the difference.HK is suppose to be ignored...a borer due to unethical issues like certs forgery.
   
Loading...