Kikwete wambie Dowans hatuwalipi ng'o

apolycaripto

JF-Expert Member
Feb 11, 2011
644
225
Ukiwa Rais kiongozi Mkuu wa Watanzania baada ya Wawakilishi wetu (wabunge) nadhani
umetusikia huku mtaani (kimenuka).Wambie hao wanaodai tozo kuwa Watanzania tumekataa.Hii ndio kauli ya mwisho kwani ''sheria'' haitotunasua hivyo tusing'ang'anie huko na kupoteza hela zetu kwa ''rufaa''.

Talk straight badala ya kupoteza pesa zetu katika Mahakama ya Afrika.Ni dhahiri majibu yatakuwa yale yale ya ''kutotengua/pinga maamuzi ya Mahakama ya Kimataifa''.Sasa sisi tunasema hatulipi ''illegal''.Wataifishe mali zetu huko ili tuseme nao vizuri.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

0 Reactions
Reply
Top Bottom