Viongozi na Wanachama wa chama Cha Demokrasia na Maendeleo leo saa saba watapanda kizimbani mkoa ni Arusha, kujibu mashitaka ya kukataa kutii amri ya RPC wa mkoa wa Arusha iliyowataka kutokufanya...
Kwako Komredi Lowassa ,
Sina imani kama unanifahamu kwa sura ila nafahamu fika huwa unasoma maandiko yangu ukipata wasaa, kama si wewe basi wafuasi wako. Napenda kukumbusha kuwa one month ago...
Habari zenu ndugu wana jamvi! Naomba mwenye kumfahamu vizur Abrahaman Babu hasa katika politics atmosphere maana nimesoma kipeperushi chenye diolojia inayomuhusu yeye kati ya mwandi na mwanafunzi...
Mpaka muda huu sijafahamu haswa mantiki ya kuitisha mkutano na waandishi wa habari, halafu asizungumze kuhusu Richmond, Dowans na mustakabali wa nchi yetu haswa katika kipindi hiki kigumu cha...
Wana jf!
Napenda kujua nione wapi alipo waziri mkuu wa Tanzania mheshimiwa peter pinda. Tusilaumu kila siku shuguli za serikali hazitekelezeki huku anaetakiwa kuzishugulikia hayupo!
Yupo...
Na Livinus Feruzi, Bukoba
ASKOFU Mkuu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Dkt. Alex Malasusa amesema suala la tatizo la umeme linaloendelea kuikabili nchi halitakiwi kujadiliwa...
Baada ya kifo cha Gadaff sasa nafikiri waliomuondoa na kumuua ni Marekanai pamoja na nchi za ulaya
wakiwatumia zaidi vibaraka wao kwa hiyo wao hasa watapata nini kama sio kutaka kuifanya Nchi...
Baada ya Zitto kumbana Mkulo ktk sakata la CHC, taarifa zinasema kwamba kwa sasa kiasi kikubwa cha fedha kimetengwa kuwanunua wabunge ili wamrudi Zitto na kumuondoa katika kamati yake ya POAC...
Kwa wale wachache mlioweza kushuhudia mauaji yaliyoendeshwa na CCM kwa wakara wetu huko Iginga, hamwezi kuipa kura tena CCM katika maisha yenu. Picha ninazo (siyo nzuri kabisa) na kama wadau wa JF...
Katika moja ya makosa makubwa yaliyofanywa na serikali inayoongozwa na ccm ni pamoja na kuuza nchi yetu kwa matapeli wanotumia kivuli kiitwacho WAWEKEZAJI nitazungumzia maeneo mawili muhimu tu...
Nilishawahi kuweka post hapa kipindi mende wa Libya walipoanzisha vuguvugu la ukombozi wakiongozwa na NATO.
Nikasema kwa kufanikisha ufadhili wa kumtoa gerezani gaidi aliyeuwa zaidi ya watu 270...
Profile of Hon. Jakaya Mrisho Kikwete
Born on 7th October 1950 at Msoga, Bagamoyo District, Coast Region, sixth born in the family of nine children. He is married to Mama...
Nimekuwa nikifatilia makala zako Bw Mohamed Said, nimegundua kitu kimoja "WEWE NI MTETEZI MZURI WA WAISLAMU" vema, pia nimefatilia makala za Bw Mwanakijiji "WEWE NI MTETEZI MKUBWA WA NYERERE"...
Ni Tundu Lissu, Godbless Lema & Freeman Mbowe (KUB).
Mkakati huo unafadhiliwa na watu wa usalama wa taifa na baadhi ya wahariri wa vyombo vya habari vinavyomilikiwa na umma, ambavyo hivi karibuni...
Wana Jf,kama mnakumbuka membe alikana kuitambua serikali ya waliokuwa waasi wa libya,kwa kuwa sasa Gadafi ameuwawa,je membe ataitambua rasmi serikali ya libya na kutuma pongezi ama ataendelea...
Wasalaam, Sasa imethibitika wazi kwa dunia nzima kuwa watawala wababe na vichwa ngumu ambao wamekuwa wakifikiri kuwa nguvu ya risasi na mabomu vitawatisha wananchi wenye kiu ya mabadiliko na haki...
Huyu jamaa ni hatari sana sana na ameivuruga CDM vibaya sana. Kbla hajaja hapa Igunga vijana wengi sana kama si wote walikuwa CDM,, sasa huyu alipokuja amewabadilisha mbaya na mpaka jana usiku...
Upuuzi wenu mnaotuletea watanzania una mwisho wake
mwisho wa gaddafi ndio huo
nyie ccm nawaambieni tunawasagia meno kwa hasira
tunasubiri siku wakati na saa
tutawakamata mmoja mmoja kwa mfano wa...
Wanajf nimewaza sana na nimekumbuka Mikhail Gorbachev alivochangia kuumaliza ukomunist na kwa hali inavomwendea mkuu wa kaya jk nikaona dalili za yeye kuiua ccm aka magamba (which is good anyway)...
Fidelis Butahe
MWANASIASA mkongwe nchini, Sir George Kahama ameishauri CCM kutambua kuwa ili nchi itawalike lazima pawepo demokrasia ya kweli kinyume na hapo, umma utachoka na hatimaye...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.