UMAFIA wa CCM Mpaka lini?

QUALITY

JF-Expert Member
Sep 27, 2010
853
115
View attachment 39959Kwa wale wachache mlioweza kushuhudia mauaji yaliyoendeshwa na CCM kwa wakara wetu huko Iginga, hamwezi kuipa kura tena CCM katika maisha yenu. Picha ninazo (siyo nzuri kabisa) na kama wadau wa JF mkihitaji, nitaziweka hapa ili mtoe maoni yenu. Kwa hali hii, CCM inatakiwa kufutwa mara moja kutoka kwenye orodha ya vyama vya siasa. DSC05038.JPG
 
Kwa wale wachache mlioweza kushuhudia mauaji yaliyoendeshwa na CCM kwa wakara wetu huko Iginga, hamwezi kuipa kura tena CCM katika maisha yenu. Picha ninazo (siyo nzuri kabisa) na kama wadau wa JF mkihitaji, nitaziweka hapa ili mtoe maoni yenu. Kwa hali hii, CCM inatakiwa kufutwa mara moja kutoka kwenye orodha ya vyama vya siasa.

Watu ujua uzuri kupitia ubaya kama huna huo ubaya huna sababu ya kusema hayo unayoyaita mabaya.Onyesha huo ubaya watu watatambua kutafuta uzuri.
 
Hatutaki maneno maneno matupu hapa, hebu tumwagia picha hizo ili marehemu wetu wapate haki zao. Tunakusubiri sasa hivi tu.
 
Hebu zilete Picha hapa JF ni kisima cha ukweli na uwazi...achilia mbali hila za mode...Leta mambo kaka
 
Usituletee jazba zako za kikurya hapa. Badala ya kueleza kilichotokea kwa data na ushahidi unaibuka na tuhuma za hovyo kama kiswahili chako!
 
Usituletee jazba zako za kikurya hapa. Badala ya kueleza kilichotokea kwa data na ushahidi unaibuka na tuhuma za hovyo kama kiswahili chako!

Mbona unapanic, amesema ana picha na hili swala siyo jipya kila mtu analijua japo kisheria bado ni tuhuma.

Kama mtu anaweza kutoa ushaidi wa kilichotokea na kuweza kusaidia kuwatia hatiani watuhumiwa tatizo liko wapi?

Maisha ya wale watu waliokufa kamwe hayawezi kupotea hivihivi pasipo kujualikana ni nani aliyehusika na unyama huo. Hivyo hakuna kati yetu anayeweza kufumbia macho unyama huu kama kweli ni binadamu maana leo kwao kesho kwako au kwangu. Hivyo tabia za kinyama kama hizi hata kama aliyezifanya amefanya kwa manufaa ya aina gani hatufai.

Ni lazima tukubali kupokea tuhuma zote walizonazo watu ili kazi ya vyombo husika viweze kuchambua kupitia ushahidi na kupata taarifa za ukweli juu ya mauaji haya.

tuache watu wasema maana hakuna mauaji yanayoweza kufanyika sirini kiasi cha kutowajua wauaji. Mungu alivyoumba mwanadamu haitakaa itokee mtu uue halafu usijulikane.
 
Wewe Mbopo, unahusika??? Mbona umeumwa sana na comment ya Igunga??? Hakika, damu ya watu waliouawa isivyo HAKI, haiwezi kupotea bure. Penda usipende, za mwizi ni arobaini. Tutnamwomba mhusika azianike picha hizo. Au ikibidi awape watu wa CHADEMA ki siri siri kwa usalama wake. Nasi tunamwombea dua, awe salama, na Mungu HAKIKA ata mlinda salama. Nyie mnaofurahia uonevu huo, Mungu anawaona mpaka ndani KABISA ya mioyo yenu. Mtaipata fresh. Kibaya zaidi, Mungu hulipiza mpaka kizazi cha tano na cha sita cha waovu. Familia zenu zitateseka kwa muda MREEFUUUU, sababu yenu. Mshindwe kabisa. Tanzania ni nchi ya AAMANI, nyie mnataka kutuondolea amani tuliyoipata bila kumwaga damu. Akili zenu zimeganda uozo wa uovu. Badilikeni. La sivyo mtakiona cha moto. Mtatesa kwa muda tu, lakini mwisho wa siku, iwe hapa duniani au ahera, mnalo tu!!! Nawashauri MTUBU kwa Mungu wenu.
 
Kwa wale wachache mlioweza kushuhudia mauaji yaliyoendeshwa na CCM kwa wakara wetu huko Iginga, hamwezi kuipa kura tena CCM katika maisha yenu. Picha ninazo (siyo nzuri kabisa) na kama wadau wa JF mkihitaji, nitaziweka hapa ili mtoe maoni yenu. Kwa hali hii, CCM inatakiwa kufutwa mara moja kutoka kwenye orodha ya vyama vya siasa.
Ni mpaka pale Watanzania watakapokuwa wakiwazomea USALAMA WA TAIFA mahala popote watakapokuwa wanaonekana, kwasababu wao ndiyo wanapanga mauaji hayo kwa kushirikiana na GreenGuard.
 
QUALITY
...mimi na wewe tunaheshimiana sana ..........kwa heshima hiyo hiyo naomba uweke picha hapa maana zinahitajika sana katika kukamilisha baadhi ya mambo tuliyoyanzisha......

tafadhali bwana ....weka picha hapa
 
KWALITE, vipi wewe ndio kusema kwamba umesahau password yako au; zile picha sasa?

Kwa wale wachache mlioweza kushuhudia mauaji yaliyoendeshwa na CCM kwa wakara wetu huko Iginga, hamwezi kuipa kura tena CCM katika maisha yenu. Picha ninazo (siyo nzuri kabisa) na kama wadau wa JF mkihitaji, nitaziweka hapa ili mtoe maoni yenu. Kwa hali hii, CCM inatakiwa kufutwa mara moja kutoka kwenye orodha ya vyama vya siasa.
 
kwa wale wachache mlioweza kushuhudia mauaji yaliyoendeshwa na ccm kwa wakara wetu huko iginga, hamwezi kuipa kura tena ccm katika maisha yenu. Picha ninazo (siyo nzuri kabisa) na kama wadau wa jf mkihitaji, nitaziweka hapa ili mtoe maoni yenu. Kwa hali hii, ccm inatakiwa kufutwa mara moja kutoka kwenye orodha ya vyama vya siasa.

wazee wa tindikali bana hawana jipya
 
Back
Top Bottom