Wabunge wa CHADEMA waundiwa zengwe la kuwachafua na kuwadhalilisha

Henry Kilewo

JF-Expert Member
Feb 9, 2010
899
1,079
Ni Tundu Lissu, Godbless Lema & Freeman Mbowe (KUB).

Mkakati huo unafadhiliwa na watu wa usalama wa taifa na baadhi ya wahariri wa vyombo vya habari vinavyomilikiwa na umma, ambavyo hivi karibuni vimekuwa vikifanya kazi ya CCM.

Imetakiwa itumike kila njia kurudisha harakati za CHADEMA nyuma kabla ya 2013 na huku wakisema kwamba ni lazima waiangamize CHADEMA kwa kuangamiza wabunge wake machachari. (Kikao kimeka Girrafe Hotel Dar)
 

ndyoko

JF-Expert Member
Nov 2, 2010
4,975
1,639
ni uchafu gani wanaotaka kupakaziwa. magamba wajue wazi kuwa huwezi kutakata kwa kuoga maji taka
 

kichomiz

JF-Expert Member
Feb 28, 2011
18,520
11,269
Hapo watachemka tu tena vibaya sana,sana sana kama hawajui watakuwa wanaipa promo CHADEMA watu wamesha amka kwa sasa wanaona maovu yote yanayofanywa na CCM,kwani nani hajui hajui kwamba hao wana usalama wako kwa ajili ya CCM?
 

only83

JF-Expert Member
Oct 15, 2010
5,343
2,524
Ni Tundu Lissu , Godbless Lema , Freeman Mbowe ( KUB) mkakati huo unafadhiliwa na watu wa usalama wa taifa na baadhi y wahariri wa vyombo vya habari vinavyomilikiwa na umma , ambavyo hivi karibuni vimekuwa vikifanya kazi ya CCM , imetakiwa itumike kila njia kurudisha harakati za Chadema nyuma kabla ya 2013 na huku wakisema kwamba ni lazima waiangamize Chadema kwa kuangamiza wabunge wake machachari . ( kikao kimeka Girrafe Hotel Dar .

Mimi najishangaa kwasasa,maana imani yangu ni kuwa CDM haiwezi kuzimwa kwa lolote kwa sasa.....
 

CR wa PROB

Senior Member
Sep 21, 2011
170
29
Hwana uwezo wa kushindana na nguvu ya UMMA, Ila 2ombe amani iwepo hapo kwenye uchaguzi ujao na muda wa watanzania kuchagua cha ma huwa umekwishwa kwani tutachagua mtu mwenye uwezo wa kuongoza
 

Anko Sam

JF-Expert Member
Jun 30, 2010
3,202
812
CCM hivi sasa inajuwa wazi haikubaliki hata kwenye zilizokuwa ngome zake kama Igunga, hivyo wanataka kuanzisha machafuko nchini. VIJANA WENYE UCHUNGU NA NCHI NAWASHAURI MJIUNGE KWA WINGI CHADEMA, kwani mipango hii ya CCM si yakubeza hata kidogo.
 

mashikolomageni

JF-Expert Member
Jan 5, 2010
1,568
185
Hawa wanataka kuspeed up mageuzi ya uongozi siyo kwa box la kura ila kwa nguvu ya umma wajaribu halafu ndio watajua kuwa wamechokwa na watanzania
 

DSN

JF-Expert Member
Feb 2, 2011
2,837
1,667
Ni Tundu Lissu, Godbless Lema & Freeman Mbowe (KUB).

Mkakati huo unafadhiliwa na watu wa usalama wa taifa na baadhi ya wahariri wa vyombo vya habari vinavyomilikiwa na umma, ambavyo hivi karibuni vimekuwa vikifanya kazi ya CCM.

Imetakiwa itumike kila njia kurudisha harakati za CHADEMA nyuma kabla ya 2013 na huku wakisema kwamba ni lazima waiangamize CHADEMA kwa kuangamiza wabunge wake machachari. (Kikao kimeka Girrafe Hotel Dar)
Hatutegemei walinzi wa Nchi ndio wawe waangamizaji wa Raia,Hakika hizo ni mbinu za watu wa CCM, manake baadhi yaoi nao wamekuwa na tabia ya kupanga mipango ya na kisha nyuma yake kuonekana kuwa wanausalama wameshiriki kupanga hayo.

Sina hakika LAKINI CHADEMA wasikubali Propaganda kuwa USALAMA WA TAIFA WANA WAHUJUMU, wakitengeneza chuki hiyo na kuiamni kuwa ni kweli basi watajijengea UKUTA ambao wao pia wanaitaji KUJENGWA na KUHAKIKISHA KUWA WANA AMINI KUWA HAWANA NIA NAO MBAYA.

Wasikubali kujengewe mazingira ya kugeneralize watendaji wa vyombo vya dola kama [Police, na ofisi nyingine za Serikali] na hao wana usalama, kwa kuwa kwa hivi sasa jamii imeanza kuwakubali CDM kiasi kuwa uchaguzi wa IGUNGA kumekuwa na malalamiko toka CCM kuwa CDM wameingiza makomando toka uarabuni, kwa picha hiyo utaona kuwa ndio kusema CCM walitamka hayo na kuondoa picha kuwa TANZANIA INA USALAMA WA TAIFA ambao ndio wenye kujua na kutambua tukio lolote kubwa kama ilo la kuleta makomando. Hivyo ndio kusema kwa tukio hilo la CDM ni maana ya CCM kusema usalama wa Taifa walikuwa nyuma ya CDM na hivyo kelele za CCM ni kuwashitaki Usalama waa Tiafa kwa UMMA pasipo kuwataja kuwa CDM wameleta Makomandoo.

Hivyo hizi kelele za kuwa USALAMA WA TAIFA wanakusudia kuwachakachua baadhi ya Wabunge wa CDM ni vyema yakatamkwa kuwa WANA USALAMA WA CCM WANATAKA KUWAHUJUMU WABUNGE WA CDM. Kukomaa kisiasa ni vyema kulijua hilo mapema kutofautisha kati ya USALAMA WA TAIFA NA WANAUSALAMA WA CCM. USALAMA WA TAIFA WAKO kwa ajili ya TAIFA, Lakini USALAMA WA CCM wako kwa ajili ya ULINZI WA CCM.

Matumizi ya kauli dhidi ya vyombo vyetu vya ulinzi yatasaidia kujenga na kuanza kuondoa baadhi ya vyama kujikuta vinajisikia kuwa ni sehemu ya VYOMBO VYA ULINZI WA TAIFA.
 

Mzee

JF-Expert Member
Feb 2, 2011
13,536
5,642
Ina maana hao 3 ndio wabunge machachari ndani ya Chadema?
 

Kimilidzo

JF-Expert Member
Jan 3, 2011
1,346
594
Wanataka kumpiga teke chura hao...

Nguvu ya UMMA ni kitu nyingine bana...

Wanawaweza wadhaifu kama Mrema na Cheyo lakini CDM imeonyesha njia, haitabiriki. You will never know their next move. Nchi hii kama hauna njaa CCM hawakukamati, na kati ya hao hakuna mwenye njaa. Ila angekuwepo Shibuda katika list ningeogopa kwa kuwa ana njaa katoka nazo magamba
 

Rweye

JF-Expert Member
Mar 16, 2011
16,711
7,151
Mkuu thread yako inakosa baadhi ya mambo mfano

yalisemwa lini,leo,jana?kikao kiliwahusisha nani na nani na labda uzushi unaoandaliwa ni katika mambo yapi?

kimsingi nimependa alert yako hiyo ila tupe na mengine hapo juu
 

Mwita Maranya

JF-Expert Member
Jul 1, 2008
10,565
7,938
Na bahati mbaya sana kwa hao watu wa usalama wa ccm wanaotumika vibaya mipango yao imefahamika in adavance.

Hawatafanikiwa hata siku moja wataishia kujaribu hapa na pale lakini ccm ishaelekea kibla imebaki kukata shingo tu.
 

Crashwise

JF-Expert Member
Oct 23, 2007
22,228
8,722
hivi chadema itachukua miezi mingapi kuandaa vijana maana wao wanatuua na bado wanapanga kuwababikia viongozi wetu kesi za ajabu mbaya zaidi ni hawa wanao jiita eti usalama wa taifa..wameshi kuia wanyama kutorosho wamebaki kumfata fata lema, tuna wafahamu siku wakifanikiwa tutamfata lema huko gerezani msifikilie hatuwajui mnajidai kujichanganya na sisi kwenye mikutano iko siku tutawatoboa na bisibisi mbwa nyie
 

THINKINGBEING

JF-Expert Member
Aug 9, 2010
2,778
1,303
Muamko unaotokea nchini hauletwi na watu,unaletwa nawakati.Wakiwanyamazisha hao mawe yataongea.
KILL ONE FLY THE REST COMES TO ATTEND THE FUNERAL.
 

Ciril

JF-Expert Member
Jan 10, 2011
8,563
7,141
Kama hawaijui nguvu ya uma wafanye wanavyoona waone moto wake,Kama hatutaitia Tanzania kiberiti sijui!!.Wanatubeza wanatunyanyasa wanatuibia,kwa sasa hivi hapana.
 

Crashwise

JF-Expert Member
Oct 23, 2007
22,228
8,722
hivi chadema itachukua miezi mingapi kuandaa vijana maana wao wanatuua na bado wanapanga kuwababikia viongozi wetu kesi za ajabu mbaya zaidi ni hawa wanao jiita eti usalama wa taifa..wameshi kuia wanyama kutoroshwa, wamebaki kumfatafata lema, tuna wafahamu siku wakifanikiwa tutamfata lema huko gerezani msifikilie hatuwajui mnajidai kujichanganya na sisi kwenye mikutano iko siku tutawatoboa na bisibisi mbwa nyie
 

Mzee wa Rula

JF-Expert Member
Oct 6, 2010
8,177
3,326
hivi chadema itachukua miezi mingapi kuandaa vijana maana wao wanatuua na bado wanapanga kuwababikia viongozi wetu kesi za ajabu mbaya zaidi ni hawa wanao jiita eti usalama wa taifa..wameshi kuia wanyama kutorosho wamebaki kumfata fata lema, tuna wafahamu siku wakifanikiwa tutamfata lema huko gerezani msifikilie hatuwajui mnajidai kujichanganya na sisi kwenye mikutano iko siku tutawatoboa na bisibisi mbwa nyie
Mkuu hawa jamaa huwafahamu vizuri, sipendi kuwaongelea humu jukwaani lakini elewa wana mbinu chafu sana hata kulishwa sumu kali ili ufe inawezekana. Jihadhari nao sana kama unawafahamu hao wachache
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

2 Reactions
Reply
Top Bottom