Kikwete kama Mikhail Gorbachev | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kikwete kama Mikhail Gorbachev

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Lyceum, Oct 20, 2011.

 1. Lyceum

  Lyceum JF-Expert Member

  #1
  Oct 20, 2011
  Joined: Oct 1, 2009
  Messages: 915
  Likes Received: 265
  Trophy Points: 80
  Wanajf nimewaza sana na nimekumbuka Mikhail Gorbachev alivochangia kuumaliza ukomunist na kwa hali inavomwendea mkuu wa kaya jk nikaona dalili za yeye kuiua ccm aka magamba (which is good anyway). Sipendi kuwa shekhe Yahaya ila nashawishika kuamini hivo. Wanajamii mnaonaje hii hali? Ni maoni tu? Karibuni wandugu wapenda tz
   
 2. Daniel Anderson

  Daniel Anderson JF-Expert Member

  #2
  Oct 20, 2011
  Joined: Aug 7, 2011
  Messages: 879
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mkuu hili nililiona tangu 2005. Chama kinamfia huyu.
   
 3. samito

  samito JF-Expert Member

  #3
  Oct 20, 2011
  Joined: May 16, 2011
  Messages: 621
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Acha kimfie
   
Loading...