Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Baba wa Taifa Mwalimu Julius Nyerere alitoa hotuba hii huko Kingston, Jamaika katika maadhimisho ya miaka 50 ya chama People's National Party (PNP) ambacho kilikuwa ndicho chama cha kwanza cha...
3 Reactions
21 Replies
4K Views
Kitendo cha Nape kusema hatakubali viongozi waliyofilisi mashirika ya umma,hatakubali wagombee uongozi ndani ya ccm ni upuuzi. Ina maana akiwazuia,anawafahamu fika badala ya kuwazuia anapaswa...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Wakuu, Wote tunamjua Mzee Butiku, yaani kila nikifikiria hii statement yake aliyotoa wakati wa majumuisho ya kumuenzi baba wa taifa kweli mimi nabaki hoi bin taabani. Kweli mambo yamefikia...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Ndugu wadau, Tumekuwa tukisikia habari tofauti tofauti kuhusu Jumuia ya Africa Mashariki, lakini habari hizi mara nyingi hutegemea jitihada za mwananchi mwenyewe katika kuzitafuta maana hakuna...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Katibu mwenezi wa CCM Nape Nnauye ameibuka na madai mazito akiwa kwenye mikutano ya chama chake kanda ya ziwa kwa kusema kuwa kuna watu wanataka kumuua kwasababu ya msimamo wake aliouita thabiti...
4 Reactions
80 Replies
8K Views
Ownership and management of Government interests in private companies As stated earlier, the government has interests in a number of private companies. It owns 50% of BP (T) limited, 40% of Airtel...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Mwanasiasa machachari na mbunge wa viti maalumu wa CHAMA CHA DEMOKRASIA NA MAENDELEO-CHADEMA ametuwakilisha vyema kwenye mkutano wa kimataifa wa kuzia matumizi ya nyuklia kwa ustadi mkubwa na...
0 Reactions
65 Replies
9K Views
Unafikiri tunaweza kuelezea hali ya kisiasa nchini kuwa ni "ukoloni wa ufisadi"? Yaani tukitofautisha na kutawaliwa na wageni?Ukoloni wa ufisadi (colonialism of corruption) naweza kuelezea kuwa ni...
5 Reactions
12 Replies
2K Views
Kama sera za CHADEMA zingekuwa nyoofu, Watanzania wangeshafahamu ni wapi chama kinatupeleka. Lakini mpaka leo hii hakuna hata mtanzania mmoja anaweza kuthubutu kusema anaelewa ajenda za CHADEMA...
0 Reactions
84 Replies
6K Views
Nani atupe ukweli wamambo?
0 Reactions
16 Replies
3K Views
Kesho Rais JK anategemea kwenda kwenye maadhimisho ya miaka 50 ya Uhuru, Je JK amekwenda kwaajili ya Rais Mseven wa Uganda? Ni wazi kuwa amekuwa akikwepa sana kukutana na Wasomi wa Chuo Kikuu cha...
0 Reactions
20 Replies
3K Views
hivi mkosamali anataka nini? au naye amashakuwa kama kafulila?.wadau tupata ata muda wa kuwajadili hawa watu isije ikawa ni wasani wa kawaida tu na wanataka kumchafua mbatia
0 Reactions
43 Replies
5K Views
Uchaguzi mkuu wa mwaka 2005 ulitoa matokeo yaliyokupa weweushindi wa kimbunga wa asilimia 80 na ushee. Waliokupigia kura zilizokuwezesha kuingiaIkulu ni watanzania waliokuamini na kukupa dhamana...
2 Reactions
32 Replies
3K Views
Wana Jf nimefatilia leo Usiku kuanzia saa mbili usiku mpaka saa tatu umeme ulikatika sehemu kubwa ya Tanzania,Iringa,Dodoma,Mwanza,Kigoma,Lindi,Mtwara haya ni maeneo ambayo nina uhakika kwa...
1 Reactions
6 Replies
1K Views
Habari ndugu Zangu wana JF, Ninawiwa kufahamu hali ya Mh. Mwakyembe huko India! Please mwenye lolote kuhusu hali yake hebu atujuze hapa Jamvini.
0 Reactions
43 Replies
6K Views
Ajari ya kugongwa kwa Mtoto Mdogo Nchini China ni moja ya dalili ya kuanguka kwa Ujamaa wa china ambao uliwafanya kuishi kama jamii moaja.Mtoto huyo Mdogo aliyegongwa na Magari Mawili na kupitwa...
1 Reactions
10 Replies
2K Views
Wanajf habari zenu? Leo nimerudi toka kwenye mishughuliko tangu saa11jioni, ninashangazwa hasa na kinachofanywa na shirika la umeme, linakata umeme na kurudisha ghafla hii ni mara ya sita! Nipo...
0 Reactions
17 Replies
1K Views
Hivi karibuni tutaadhimisha miaka 50 tangu taifa la Tz lianzishwe, binafsi naunga mkono muungano kwani kidole kimoja hakivunji chawa. Ktk muungano huu tulionao mimi binafsi umekuwa ukinipa shida...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Nimesoma katika gazeti la Tanzania Daima na kukutana na hii kali ya mwaka, Eti Nape Hawajui Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) na Katibu wake, Dk. Willbrod Slaa katika duru...
1 Reactions
41 Replies
4K Views
By ABDULWAKIL SAIBOKO, 18th October 2011 Daily News THE World Bank has called for introduction of cash transfer to people as poverty is on rise among individuals in Tanzania despite general...
0 Reactions
44 Replies
4K Views
Back
Top Bottom