Yu wapi Waziri Mkuu Pinda?

Jakubumba

JF-Expert Member
Mar 5, 2011
1,624
500
Wana jf!

Napenda kujua nione wapi alipo waziri mkuu wa Tanzania mheshimiwa peter pinda. Tusilaumu kila siku shuguli za serikali hazitekelezeki huku anaetakiwa kuzishugulikia hayupo!

Yupo wapi na anafanya nini?
 
Wana jf! Napenda kujua nione wapi alipo waziri mkuu wa Tanzania mheshimiwa peter pinda. Tusilaumu kila siku shuguli za serikali hazitekelezeki huku anaetakiwa kuzishugulikia hayupo! Yupo wapi na anafanya nini?

shughuli gani haijatekelezeka?
 
Huyu Mkuu mara ya mwisho nilisikia yuko Brazil anatafuta Technology ya kuzalisha umeme wa kudumu haijulikani alisha rudi au bado

Ila sijawai sikia aliko Makamu wa Rais hata speech zake sijazikia, yupo nchini au naye yupo ughaibuni
 
Huyu mzee wamempoteza kabisa yeye alikuwa hajui wamempa hiyo post kwa malengo gani! wamefanikiwa kumtuliza kadadadeki asubiri kuweka jiwe la msingi na kukabidhi miradi kama ya kufuga sungura na kuku! CCM ni nomaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa!!!!
 
Huyu Mkuu mara ya mwisho nilisikia yuko Brazil anatafuta Technology ya kuzalisha umeme wa kudumu haijulikani alisha rudi au bado

Ila sijawai sikia aliko Makamu wa Rais hata speech zake sijazikia, yupo nchini au naye yupo ughaibuni

Du sasa hii kali! kumbe tusimlaumu jay kei maana hana wasaidizi wa kazi.
 
makamu wa rais siameshaanza kazi rasmi kwani hujuwi mwenge upo njiani unazunguka . Yeye anafuatilia ripoti yake kwisha habari yake huyu mtaalam wa manyuklia..
 
Mara ya mwisho Waziri Mkuu alionekana akiwa Marekani, Jimbo la Aiwo kama sikosei alipokwenda kuweka sahihi ya mkataba wa kuwauzia Wamarekani kipande cha ardhi mkoa wa Katavi. Makamu wa Rais alionekana akiwa Msumbiji pamoja na mmojwapo ya wake zake walipokwenda kushiriki kumbukumbu ya Komredi Samora. Kituko katika shughuli hizo ni pale Memsapu wa VP alipojipenyeza katikati ya mstari wa mbele wa Marais/makamu wa marais waliofika kushiriki kumbukumbu hiyo wakati wake/waume wengine wa wakuu hao walisimama nyuma za wenzi wao. Bongo ina vituko kweli kweli!!!
 
du hii Kali mwanangu!
 
IMG_6876.JPG Huyu apa jana alikuwa mbuga za wanyama katavi
 
Back
Top Bottom