Mwigulu Nchemba Balaaaaa

Mwigulu Nchemba Balaaaaa

Salimia

JF-Expert Member
Joined
Feb 14, 2011
Posts
665
Reaction score
104
Huyu jamaa ni hatari sana sana na ameivuruga CDM vibaya sana. Kbla hajaja hapa Igunga vijana wengi sana kama si wote walikuwa CDM,, sasa huyu alipokuja amewabadilisha mbaya na mpaka jana usiku ilidhihirika pale vijana walipokesha huko Isakamaliwa wakiimba nyimbo za CCM. Ikiwa CDM itashindwa, basi mtu aliyewaangamiza atakuwa Nchemba maana jamaa ana mvuto kwa vijana na anajua kuutumia mdomo wake. Ngoja tuangalie leo kitatokea nini, ila hali ndivyo ilivyo hapa kwenye dakika hizi za lala salama.
 
Unashangilia ama unadhihaki?
 
Nawewe kakutembelea??????? Mdomo wake anautumiaga kijinsia zaidi. hahahahaahaa
 
Huyu jamaa ni hatari sana sana na ameivuruga CDM vibaya sana. Kbla hajaja hapa Igunga vijana wengi sana kama si wote walikuwa CDM,, sasa huyu alipokuja amewabadilisha mbaya na mpaka jana usiku ilidhihirika pale vijana walipokesha huko Isakamaliwa wakiimba nyimbo za CCM. Ikiwa CDM itashindwa, basi mtu aliyewaangamiza atakuwa Nchemba maana jamaa ana mvuto kwa vijana na anajua kuutumia mdomo wake. Ngoja tuangalie leo kitatokea nini, ila hali ndivyo ilivyo hapa kwenye dakika hizi za lala salama.

CDM bye byeeeeee.
OTIS.

Otis=salimia=Achebe=N..... =
images
 
Kumbe yawezekana kuwa kweli hali ni ngumu kuliko wengi tunavyojipa moyo humu. mmmh!! nitaludi baadae
 
Huyu jamaa ni hatari sana sana na ameivuruga CDM vibaya sana. Kbla hajaja hapa Igunga vijana wengi sana kama si wote walikuwa CDM,, sasa huyu alipokuja amewabadilisha mbaya na mpaka jana usiku ilidhihirika pale vijana walipokesha huko Isakamaliwa wakiimba nyimbo za CCM. Ikiwa CDM itashindwa, basi mtu aliyewaangamiza atakuwa Nchemba maana jamaa ana mvuto kwa vijana na anajua kuutumia mdomo wake. Ngoja tuangalie leo kitatokea nini, ila hali ndivyo ilivyo hapa kwenye dakika hizi za lala salama.
Dada ushachukua nafasi ya yule kada aliyepata kipigo cha mumewe?
 
Mwisho wa kampeni ni saa 12 jioni na hiyo usiku ilikuwaje? Mgombea wa ccm afutwe!
 
Mabadiliko ya kweli yataletwa na vijana wachache na sio legelege na goigoi,never
 
vijana wa nape bwana yaaani mnatumia sana masaburi kufikiri
 
hata wakati wa ubunge Temeke watu wote walijua SISCO MTIRO TAMSHINDA MREMA LYATONGA LAKINI MWISHO WA SIKU WANANCHI NDIO WALIOKUWA WAAMUZI NA MATOKEO KILA ALIYAONA
 
Hilo kweli mwigulu ni noma.sijui alikuwa wapi siku zote hizo.nilimuona jana mlimani tv akimwaga hoja nzitonzito na kuwafunika mtatiro wa cuf na zitto wa chadema.
 
makada wa ccm kwa uwongo mnajua kupindisha maneno kwa maana hiyo wananchi wa igunga wanashangilia huu umaskini ambao uko hapa igunga na umesababishwa na ccm akiwepo kafumu kwenye sekta ya madini? salmia waeleze watu ukweli unaoendelea hapa igunga sio ushabiki tu.
 
Back
Top Bottom