Dhambi ya Pan Am Air Yampotes Qaddafi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Dhambi ya Pan Am Air Yampotes Qaddafi

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Ng'wanangwa, Oct 20, 2011.

 1. Ng'wanangwa

  Ng'wanangwa JF-Expert Member

  #1
  Oct 20, 2011
  Joined: Aug 28, 2010
  Messages: 10,180
  Likes Received: 895
  Trophy Points: 280
  Nilishawahi kuweka post hapa kipindi mende wa Libya walipoanzisha vuguvugu la ukombozi wakiongozwa na NATO.

  Nikasema kwa kufanikisha ufadhili wa kumtoa gerezani gaidi aliyeuwa zaidi ya watu 270 kwenye dege la PanAm Air ilikuwa ni dhambi kubwa ambayo hakika wananchi wa Marekani ambao wengi wao ni mayahudi hawakufurahia taarifa hizi. Hata pale ilipogundulika kuwa kuachiwa kwa Magrahi ulikuwa ni mpango wa Qaddafi na BP ya Scotland kunyonya mafuta ya bwerere, BP ilipatwa na mkasa mabao mayahudi pekee ndo wannaojua chanzo chake. Nafikiri sina haja ya kuzungumza kuhusu mkasa wa BP lakini sote tunakumbuka namna Ghuba ya Mexico ilivochafuliwa kutokana na kupasuka kwa bomba za mafuta ambazo wachambuzi wa mambo wanadai ni kwamba samaki wa kiyahudi walizama kwenda kuhujumu miudombinu ya mabomba kutoa funzo kwa ujinga wa Qaddafi na BP.

  Tukaambiwa gaidi magrahi angekufa baada ma miezi3. Mayahudi na dunia ya wapenda amani wakahesabu siku ya kwanza mpaka 90 zikatimia. mpaka kesho. magrahi yuko hai. hajafa.

  Wazungu wakanzisha fitna ambazo leo hii dunia inashuhudia kilichotokea. Alichokipata dikteta Qadaffi alistahili, tena alichelewa.


  Qaddafi huyuhuyu inasemekana aliukashifu Ukristo alipokuwa akifadhili ujenzi wa misikiti Uganda. MAlipo ni hapa hapa. Yametimia. Kama hajauwawa ajitikeze kama mwenzake Osama alivokuwa akifanya.


  Juzi hapa dunia imeshuhudia mwanajeshi mmoja wa Kiyahudi akiachiwa kwa kubadilishana na magaidi 1000+ ya Kipalastina. Kiongozi wa Hamas alichekelea sana. Bila kujua kama 99.99% ya media ya dunia inamilikiwa na Mayahudi, kiongozi aliye mafichoni wa Hamasi aliitisha mkutano na waandishi wa habari. CNN, BBC, Aljazeera, France24, na meshirika mengine mengi ya dunia yakasitisha program zao na kurusha pumba zake. Dunia ikasimama kumtizama na kumsikiliza. Akajiona dunia iko mabegani kwake. Akapigwa picha. Akarekodiwa kwenye video, tena nyengine za High Definition. Akajitapa alivojitapa. Akatangaza Uislamu kuushinda Uzayoni na Ukristo wake. Siku mbili baadaye (leo) dunia inashuhudia mmoja wa wafadhili wa ugaidi na ujenzi wa misikiti anauwawa kama mende. Hili ni funzo. Hamas hamjashinda lolote, na hamtakaa mshinde.

  Namaliza kwa kusema, kama nilivosema kwenye post yangu ambayo wengi walidai imejaa udini. Nilisema Qaddafi lazima ang'oke. Sasa ni historia.

  Aliulaani na kuukashifu ukiristo alipokuwa Uganda.

  Amlaaniye Israel Amelaaniwa.

  Pumzika kwa mateso Qadaffi.
   
 2. Safety last

  Safety last JF-Expert Member

  #2
  Oct 20, 2011
  Joined: Mar 24, 2011
  Messages: 4,224
  Likes Received: 164
  Trophy Points: 160
  Strong
   
 3. S

  Sabato masalia JF-Expert Member

  #3
  Oct 20, 2011
  Joined: Oct 16, 2011
  Messages: 206
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 35
  Jerusalem mbona unatoa hoja dhaifu mno kuliko hata utando wa buibui, jenga hoja za maana usiokoteze maneno ya kipuuzi.uyahudi na ukristo vitu viwili tofauti kwani mayahudi kila mara wanaukashifu ukristo nako tusemeje? hao waliomuuwa Ghadafi ni waislamu wenzanke na Libya itaongozwa na hao hao waislamu sisi wakristo tuchekelee nini?
   
 4. m

  m0h4mm4d Member

  #4
  Oct 21, 2011
  Joined: Jun 17, 2011
  Messages: 7
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  wewe inamaana we huto kufa u a hater thats the problem kama kufa na wewe utakufa tu .. Gaddafi alikua ni noma 1 of strongest leader he was .. Na mungu atawaonyesha nyie
   
 5. C

  ChiefmTz JF-Expert Member

  #5
  Oct 21, 2011
  Joined: Apr 15, 2008
  Messages: 2,517
  Likes Received: 292
  Trophy Points: 180
   
 6. ndetichia

  ndetichia JF-Expert Member

  #6
  Oct 21, 2011
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 27,641
  Likes Received: 236
  Trophy Points: 160
  inaonekana Jerusalem ni yahudi anaetetea mayahudi na kutokutulia kwa libya ni furaha kwake na sasa wameamishia nguvu zao kenya ngoja tuone mwisho wake..
   
 7. Gamba la Nyoka

  Gamba la Nyoka JF-Expert Member

  #7
  Oct 21, 2011
  Joined: May 1, 2007
  Messages: 6,594
  Likes Received: 6,755
  Trophy Points: 280
  Laiti mleta mada huyu angefahamu jinsi Wayahudi wanavyouchukulia Ukiristo wala asingesema, KWA TAARIFA YAKO WAYAHUDI WANAWAONA WAKIRISTO KAMA WATU WANAOABUDU MIUNGU WENGI(KUTOKANA NA UTATU), KWAO YESU NI MASIHA WA UWONGO!. NA KWA TAARIFA YAKO, KUTOKANA NA STRICT MONOTHEISM , KUNA MAFUNDISHO KATIKA DINI YA WAYAHUDI KWAMBA IWAPO MYAHUDI ATAKUWA MAHALI NA HAKUNA SINAGOGI LA KIYAHUDI BALI KUNA MSIKITI WA WAISLAMU BASI ANAWEZA KUSALI HUMO SALA YA KIYAHUDI, LAKINI KAMWE ASITHUBUTU KUINGIA KANISANI(kama unabisha unaweza kugoogle hii info) KUTOKANA NA ISHU ZA MAMBO YA UTATU. ALLIANCE YA NCHI ZA MAGHARIBI NA WAYAHUDI NI ALLIANCE KWA AJILI YA POWER TU BASI NA SI KATIKA SPIRIT YA DINI, SOON LIKIIBUKA TAIFA LENYE NGUVU ZAIDI UTAONA WAYAHUDI WATAKAVYOSHIFT ALLIANCE!. ANYWAY SIJUI UNAZUNGUMZIA ADHABU GANI: KUNA WATU WANAITWA "MARTYRS", HAWA NAO HUWA WANAULIWA LAKINI HAIMAANISHI KUFA KWAO NI ADHABU, WATU KAMA PATRICE LUMUMBA, THOMAS SANKALA, MALCOLM X, MARTIN LUTHER KING JUNIOR!. KUNA MIJITU INAFANYA UHARIBIFU KATIKA ARDHI, NA INAKAA MIAKA MINGI WALA HAIULIWI, WATU KAMA GEORGE BUSH(WATU ZAIDI YA MILLION), TONY BLAIR(WATU ZAIDI YA MILIONI), BARAKA OBAMA(MAELFU KUPITIA DRONES ATTACKS), HENRY KISSINGER NA MWENZAKE RICHARD NIXON PAMOJA LYNDON JOHNSON( WATU ZAIDI YA MILLION TATU VIETNAM).
   
 8. Gamba la Nyoka

  Gamba la Nyoka JF-Expert Member

  #8
  Oct 21, 2011
  Joined: May 1, 2007
  Messages: 6,594
  Likes Received: 6,755
  Trophy Points: 280
  Laiti mleta mada huyu angefahamu jinsi Wayahudi wanavyouchukulia Ukiristo wala asingesema, KWA TAARIFA YAKO WAYAHUDI WANAWAONA WAKIRISTO KAMA WATU WANAOABUDU MIUNGU WENGI(KUTOKANA NA UTATU), KWAO YESU NI MASIHA WA UWONGO!. NA KWA TAARIFA YAKO, KUTOKANA NA STRICT MONOTHEISM , KUNA MAFUNDISHO KATIKA DINI YA WAYAHUDI KWAMBA IWAPO MYAHUDI ATAKUWA MAHALI NA HAKUNA SINAGOGI LA KIYAHUDI BALI KUNA MSIKITI WA WAISLAMU BASI ANAWEZA KUSALI HUMO SALA YA KIYAHUDI, LAKINI KAMWE ASITHUBUTU KUINGIA KANISANI(kama unabisha unaweza kugoogle hii info) KUTOKANA NA ISHU ZA MAMBO YA UTATU. ALLIANCE YA NCHI ZA MAGHARIBI NA WAYAHUDI NI ALLIANCE KWA AJILI YA POWER TU BASI NA SI KATIKA SPIRIT YA DINI, SOON LIKIIBUKA TAIFA LENYE NGUVU ZAIDI UTAONA WAYAHUDI WATAKAVYOSHIFT ALLIANCE!. ANYWAY SIJUI UNAZUNGUMZIA ADHABU GANI: KUNA WATU WANAITWA "MARTYRS", HAWA NAO HUWA WANAULIWA LAKINI HAIMAANISHI KUFA KWAO NI ADHABU, WATU KAMA PATRICE LUMUMBA, THOMAS SANKALA, MALCOLM X, MARTIN LUTHER KING JUNIOR!.
   
Loading...