Libya kuwa koloni la nchi za magharibi.......................?

harakat

JF-Expert Member
Jul 4, 2011
2,888
1,347
Baada ya kifo cha Gadaff sasa nafikiri waliomuondoa na kumuua ni Marekanai pamoja na nchi za ulaya
wakiwatumia zaidi vibaraka wao kwa hiyo wao hasa watapata nini kama sio kutaka kuifanya Nchi hiyo kuwa
koloni lao katika wizi wa mafuta pamoja na rasilimali nyinginezo
za nchi hiyo...............
nawasilisha....
 
Back
Top Bottom