Abrahaman Babu ni nani? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Abrahaman Babu ni nani?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by kholo, Oct 21, 2011.

 1. kholo

  kholo JF-Expert Member

  #1
  Oct 21, 2011
  Joined: Jul 1, 2011
  Messages: 411
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 35
  Habari zenu ndugu wana jamvi! Naomba mwenye kumfahamu vizur Abrahaman Babu hasa katika politics atmosphere maana nimesoma kipeperushi chenye diolojia inayomuhusu yeye kati ya mwandi na mwanafunzi wa-kimarekan nikatamani kumfahamu zaidi so tafadhali naomba aliye habari kamili anihabarishe. Natanguliza shukuran
   
Loading...