Kifo cha Gadafi:Serikali ya JK kutuma pongezi au rambi rambi?

sem2708

JF-Expert Member
Nov 4, 2010
5,204
4,211
Wana Jf,kama mnakumbuka membe alikana kuitambua serikali ya waliokuwa waasi wa libya,kwa kuwa sasa Gadafi ameuwawa,je membe ataitambua rasmi serikali ya libya na kutuma pongezi ama ataendelea kutoitambua na badala yake kutuma salamu za rambi rambi kwa mabaki ya familia ya gadafi na wafuasi wake? I can see our govt in dilema.
 
Membe hashindi kutuma rambi rambi kwa muda huu ambao bado hawajaitambua NTC na atatuma tena pongezi pindi watakapoitambua NTC
 
na atume tu mana ndo walichokua wanasubiri ila wakumbuke ukiona mwenzio ananyolewa nawe tia maji
 
Most of African leaders are characterized by ambivalence and wishywashiness. They are kindof weathercocks and are easily shaken by the wind. Raila Odinga, who once condemned NATO bombing campaign on Libya, has already paid tribute to NTC fighters' bravery and wished Gaddafi to rest in 'pieces'. We should not expect nothing but similar statement from JK though was known to be in a list of Gaddafi's beneficiaries.
 
hata pongeza kwa haraka coz cunajua hawana msimamo na aliyeuawa ni mzee msimamo xo kama vile wamepumua though hawaxemi hadharani
 
Ushauri wa bure kwa Membe. Ili kufuta kauli yake ya awali, aende Tripoli kuwatambua waasi kwa Pick-up.
 
Acheni kumshambulia Membe kwa kesi ya Waasi wa Libya. Mimi nafikiri Afrika imepoteza kiongozi ambaye ni shujaa. kama Gadafi aliwatesa raia wake na kuwanyima haki, inakuwaje Libya ni nchi yenye maendeleo makubwa kwa wastani wa mtu mmoja mmoja katika Afrika? Mbona hao NATo na US hawakumwondoa Ben Ali na Mubarak kama kwa Gadafi? Scramble for Africa part 2.
 
Wana Jf,kama mnakumbuka membe alikana kuitambua serikali ya waliokuwa waasi wa libya,kwa kuwa sasa Gadafi ameuwawa,je membe ataitambua rasmi serikali ya libya na kutuma pongezi ama ataendelea kutoitambua na badala yake kutuma salamu za rambi rambi kwa mabaki ya familia ya gadafi na wafuasi wake? I can see our govt in dilema.

Membe na wenzake wanasubiri maelekezo toka kwa Zuma! Tanzania ilishapoteza mwelekeo siku nyingi sana kwenye ulingo wa kimataifa.
 
Rambi rambi na Michango Ipitie Kwangu nami Nitoke.

NTC nao hawawatambui vibaraka wa Gaddafi kina Membe na Mkw3re
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom