Si siri tena kwamba Lowassa ana mkakati mkubwa wa kugombea urais kwa tiketi ya CCM. Na wale Thomases wajue kwamba hakuna atakayeweza kumzuia Lowassa kwa sasa. Malecela alikuwa na mikakati kama hii...
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Uwekezaji na Uwezeshaji), Dk. Mary Nagu
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Uwekezaji na Uwezeshaji), Dk. Mary Nagu, amewataka Watanzania kuacha tabia ya...
Mkazi mmoja wa kijiji cha Mgungira Sengeke Gadala akichota maji kwenye kidimbwi jirani na eneo la shule ya sekondari Wembere kutokana na kukosekana kwa upatikanaji wa huduma ya maji katika kijiji...
Pamoja na kuwa mimi ni mpinzani na tokea nimepata fahamu zangu nimekuwa upinzani na sikuwahi hata siku moja kukishabikia CCM ktk maisha yangu kwa mengi walotufanyia na nimekua ktk harakati za...
SERIKALI imesema inachukua hatua mbalimbali za kukuza uwekezaji wa ndani kwa lengo la kuongeza nafasi za ajira kwa vijana.
Naibu Waziri wa Kazi na Ajira, Dk. Milton Mahanga aliyasema hayo Dar es...
WanaJF nimeikuta hii kule Wanabidii,
Naona Mbunge Kigwangalla sasa ameanza kufanya kweli, Resolute nao wakae sawa sasa!
Wananchi wa Kijiji cha Mwabangu ambao wamedhulumiwa haki ya kumiliki...
Jana nimemshuhudia Edward Lowassa akiirejea kauli yake ya miaka miwili iliyopita akidai kwamba yeye na Rais Kikwete hawakukutana barabarani, akimaanisha kwamba urafiki wao huo ambao unadaiwa...
Imeandikwa na Veronica Mheta, Arusha; Tarehe: 21st October 2011
KESI ya kufanya maandamano bila kibali inayowakabili viongozi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) pamoja na wafuasi wao...
THURSDAY, 20 OCTOBER 2011 19:27 NEWSROOM
* Awakana CHADEMA, awaonya Watanzania
MFANYABIASHARA maarufu nchini, Jaffer Sabodo, amesema hajahama na wala hana mpango wa kukihama Chama Cha...
Mfanyabiashara maarufu wa nchini, Mustapha Sabodo, ameahidi kumuunga mkono mgombea urais atakayependekezwa na Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) katika uchaguzi mkuu ujao.
Sabodo...
Tanzania imezidi kufanya vibaya katika mizania ya rushwa katika nchi tano za ukanda wa Afrika Mashariki, baada ya kupanda kutoka nafasi ya nne iliyokuwa ikiishikilia mwaka jana hadi ya tatu mwaka...
Kadiri siku zinavyopita ndivyo migogoro ya kati ya wananchi na wawezekezaji inavyozidi kuongezeka. Kwa maoni yangu, chanzo cha matatizo ni serikali ya CCM, ambayo imeshindwa kusimamia vizuri...
African Barrick Gold, the London-listed miner, saw its shares hit by fears the Tanzanian government is angling for higher royalties, even as the company reported record profits.
Everyone wants...
Na Saed Kubenea - Imechapwa 19 October 2011
RAIS Jakaya Kikwete amebakiwa na njia mbili tu kulinda nafasi yake katika Chama cha Mapinduzi (CCM).
Ama aachane na mpango wake wa kufukuza...
Kwa huu mfumo wa Serikali yetu kuwapa Wageni kumiliki ardhi nadhani tunaitafuta Zimbabwe mpya kwani kuna siku wananchi sanasana wanafunzi wanaomaliza vyuo na kukosa kazi watakuja kuwatimu hao...
.......wakati Kamati Kuu ilipomwomba Rostamu kusaidia kampeni za Igunga ili CCM ishinde, NAPE alipigwa marufuku asikanyage Igunga, asijihusishe kwenye shughuli za kumnadi mgombea wa ubunge kwa...
Ni ishu ya katiba na rasilimali.
Kuna Dr. Mvungi, mtu wa magamba, mtu wa Kafu, mtu wa TLP.
Hakuna Chadema.
Sijajua kama CDM walialikwa wakasusa.
Live kutoka ITV.
Katika hali isiyo ya kawaida waziri wa nchi uratibu na bunge William Lukuvi jana alikwepa kutoa msaada kwa majeruhi wawili waliojeruhiwa vibaya katika ajali ya gari na pikipiki eneo la coco beach...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.