we subiri,dawa imeshachemka bado kuipuliwa tu.Kiburi chao hakifikii cha gaddafi lakini walishatumbukizwa humohumo
jamani mbavu zangu duhhhhhhh.....................hii kaliMimi nina list ya kuondoka nao,inalala kwenye mto kila siku ikisubiri siku ifike
Mkuu director1, sikio la kufa halisikii dawa! hapo unampigia mbuzi gitaa, hawezi kucheza. ni kama unamuonyesha sinema kipofu.Upuuzi wenu mnaotuletea watanzania una mwisho wake
mwisho wa gaddafi ndio huo
nyie ccm nawaambieni tunawasagia meno kwa hasira
tunasubiri siku wakati na saa
tutawakamata mmoja mmoja kwa mfano wa gaddafi
Ina maana unataka kuifananisha ccm na Gadaf!. Nasikitika kuwa kuna watanzania wenye akili finyu wanatamani yaliyotokea Libya yatokee Tanzania.
tena nikiwa mimi wa kwanza..btr tupoteze wote,nchi ianze kujengwa upya.
aise naomba tufahamishane isije ikatokea tukagombania siku hiyo maana hata mimi nina kalisti kangu ka watu wanneMimi nina list ya kuondoka nao,inalala kwenye mto kila siku ikisubiri siku ifike
Ila kweli huwezi kuifananisha ccm na gadaff kwa sababu gadaff alikuwa anawahudumia wananchi kwa kila kitu ispokuwa yeye wananchi wameshamchoka lakini ccm wameshindwa kuwahudumia wananchi hata kwa yale mahitaji ya msingiIna maana unataka kuifananisha ccm na Gadaf!. Nasikitika kuwa kuna watanzania wenye akili finyu wanatamani yaliyotokea Libya yatokee Tanzania.
Upuuzi wenu mnaotuletea watanzania una mwisho wake
mwisho wa gaddafi ndio huo
nyie ccm nawaambieni tunawasagia meno kwa hasira
tunasubiri siku wakati na saa
tutawakamata mmoja mmoja kwa mfano wa gaddafi
Mimi nina list ya kuondoka nao,inalala kwenye mto kila siku ikisubiri siku ifike