Edward Lowassa; Nilikutabiria na Imekuwa Kweli!, Nitabiri Tena?

KAMBOTA

Senior Member
Mar 21, 2011
176
103
Kwako Komredi Lowassa ,
Sina imani kama unanifahamu kwa sura ila nafahamu fika huwa unasoma maandiko yangu ukipata wasaa, kama si wewe basi wafuasi wako. Napenda kukumbusha kuwa one month ago niliandika article yenye kichwa cha habari "The Fact; Lowassa Is About To Unfold It" ambayo ukiisoma kwa makini utabaini kuwa nilitabiri kile ambacho ulikifanya jana pale Monduli mbele ya waandishi wa habari na Dunia nzima.

Binafsi sikubaliani na hoja yako ya kuwa CCM itapita salama katika huu mtikisiko wa sasa hivi unaotokana na uzushi kama ulivyoeleza, naomba soma maandishi ukutani kisha nijibu huo "USALAMA" unaosema utatoka wapi? mimi naona hapa kuna mantiki iliyopinda au hujaeleweka vizuri, endelea kunisoma nikudadavulie.....watu ni chama na chama ni watu, CCM ni wanaccm na wanaccm ni CCM, usalama wa Wanaccm ni usalama wa CCM yenyewe, sasa na imani kuwa hata wewe na chama chako hamko salama, unajua kwanini? MALUMBANO YASIYO NA TIJA YAMETAWALA NDANI YA CCM, je ikiwa umepoteza zaidi ya nusu saa kujibu kile kinachoitwa kuchafuliwa kwa jina lako badala ya kujadili wanavyuo watapata wapi mikopo? huo usalama unaousema UTATOKA WAPI? au UKO WAPI? TUONYESHE HUO USALAMA. Komredi Lowassa utake usitake kuna kitu "WATANZANIA " wanataka kusikia lakini hujakisema, sasa kwa maneno nataka uniruhusu, JE NITABIRI TENA?
 
Anachokisisitiza ni kwamba yeye Jk hawakufahamiana barabarani. Sijui kama aliyapima haya maneno yake.
 
aliiasa serikali kuchukua maamuzi magumu kitu ambacho yeye anashindwa kukifanya.namshauri atulie na asubiri kuvuliwa gamba.

yaani Tanzania tunaongozwa na mbwa wanaobweka, meno wanayo lakini wanashindwa kuuma.
 
mkuu naomba copy ya hiyo tabiri yako nataka niipitie

"The Fact; Lowassa Is About To Unfold It!

By Nova Kambota,

“the time comes when truth shall be revealed, and look everyone shall see the fact”Probably I had predicted it correctly once I said that the time comes when Lowassa shall be compelled to talk and I think this is the right time.

Following “the burning Pius Msekwa scandal” and peoples’ views on the whole issue there is no doubt that Lowassa shall talk something, this is because everyone postulates that “Lowassa is behind formulation of “Msekwa scandal” so as to make CCM hesitate to accomplish its “Operation vua gamba”, these people argue that the whole picture has been drawn by Lowassa and his network so as to silence Msekwa who has been so aggressive to all people accused of impacting bad image to the ruling Chama Cha Mapinduzi CCM.

There are some columnists have already written on their journals that “Msekwa is also gamba he must be removed from CCM” , this shows that no one is complete clean in the CCM if at all even the veteran Msekwa is named after “ufisadi”.

I think its little time before Lowassa comes from his one man army and react on this situation, and here Lowassa shall say that “everyone should carry his own cross” yes everyone accused should step down without pointing to Lowassa or others.
Soon Lowassa shall unfold about this, he is going to tell his CCM leaders to stop loading every evil on his name , yes its just a matter of time before Lowassa speaks against his party, not too long , let’s wait and see!

Nova Kambota The Activist,
+255717 709618
novakambota@gmail.com
www.novakambota.com
Tanzania,
East Africa,Tuesday, 20[SUP]th[/SUP] September 2011."

Kwako Komredi Lowassa ,
Sina imani kama unanifahamu kwa sura ila nafahamu fika huwa unasoma maandiko yangu ukipata wasaa, kama si wewe basi wafuasi wako. Napenda kukumbusha kuwa one month ago niliandika article yenye kichwa cha habari "The Fact; Lowassa Is About To Unfold It" ambayo ukiisoma kwa makini utabaini kuwa nilitabiri kile ambacho ulikifanya jana pale Monduli mbele ya waandishi wa habari na Dunia nzima.

Binafsi sikubaliani na hoja yako ya kuwa CCM itapita salama katika huu mtikisiko wa sasa hivi unaotokana na uzushi kama ulivyoeleza, naomba soma maandishi ukutani kisha nijibu huo "USALAMA" unaosema utatoka wapi? mimi naona hapa kuna mantiki iliyopinda au hujaeleweka vizuri, endelea kunisoma nikudadavulie.....watu ni chama na chama ni watu, CCM ni wanaccm na wanaccm ni CCM, usalama wa Wanaccm ni usalama wa CCM yenyewe, sasa na imani kuwa hata wewe na chama chako hamko salama, unajua kwanini? MALUMBANO YASIYO NA TIJA YAMETAWALA NDANI YA CCM, je ikiwa umepoteza zaidi ya nusu saa kujibu kile kinachoitwa kuchafuliwa kwa jina lako badala ya kujadili wanavyuo watapata wapi mikopo? huo usalama unaousema UTATOKA WAPI? au UKO WAPI? TUONYESHE HUO USALAMA. Komredi Lowassa utake usitake kuna kitu "WATANZANIA " wanataka kusikia lakini hujakisema, sasa kwa maneno nataka uniruhusu, JE NITABIRI TENA?

Mimi ni Mwanazuoni niliyekomaa tena nina elimu ya Falsafa, napenda kukujulisha kwamba siko upande wa ccm, wako, ama EL. Ona hii mkuu, mchambuzi na mwanasiasa makini daima ana uwezo wa kubashiri 20% ya mambo yajayo yaani huona mbali. Usijisifu, kama ambavyo katikati ya mistari yako unamaanisha, kwa mambo usoyajua. Kama wewe ni mzalendo daima toa maoni na sio ku 'blackmail' vitu usivyovijua. Hivi wewe unajua vizuri EL?, Hivi wewe unajua anafikiri nini?, hivi wewe unajua kwa nini aliitisha mkutano wa mapaparazi! Jitahidi kuwa professional utaheshimika ila acha kujikweza. Nimekujibu ili nikupe elimu na simaanishi niko mbali na 'U-Shekhe Yahaya wako'.
 
huyu jamaa kweli jasir, mwenzake A. C kala bat manake anajua akiongea 2 imekula kwake.
 
Lowasa naye analeta mjadala hapa tena ?Mie mnanichosha sana .Yeye anajua watanzania wanataka nini kama CCM wanabisha basi wamweke kuwa mgombea ndiyo watajua joto .Lakini kikubwa Katiba iwe wazi na Tume ya Uchaguzi iwe ya wote hapo mwisho wa CCM
 
Mkuu naomba unitabirie na mimi kama naweza kuwa mbunge siku za mbeleni. Tafadhali nitabirie na nipo tayari kukulipa hata mshahara wangu wote.
 
Mimi ni Mwanazuoni niliyekomaa tena nina elimu ya Falsafa, napenda kukujulisha kwamba siko upande wa ccm, wako, ama EL. Ona hii mkuu, mchambuzi na mwanasiasa makini daima ana uwezo wa kubashiri 20% ya mambo yajayo yaani huona mbali. Usijisifu, kama ambavyo katikati ya mistari yako unamaanisha, kwa mambo usoyajua. Kama wewe ni mzalendo daima toa maoni na sio ku 'blackmail' vitu usivyovijua. Hivi wewe unajua vizuri EL?, Hivi wewe unajua anafikiri nini?, hivi wewe unajua kwa nini aliitisha mkutano wa mapaparazi! Jitahidi kuwa professional utaheshimika ila acha kujikweza. Nimekujibu ili nikupe elimu na simaanishi niko mbali na 'U-Shekhe Yahaya wako'.

umenena vyema ndugu yangu hongera sana, Mungu akuzidishie uzidi kubobea kwenye elimu ya Falsafa, hakika wewe ni Mwanazuoni Gwiji! R.I.P kwako!
 
Mkuu naomba unitabirie na mimi kama naweza kuwa mbunge siku za mbeleni. Tafadhali nitabirie na nipo tayari kukulipa hata mshahara wangu wote.

mbunge wa jimbo gani ndugu yangu? au viti maalumu? aisee mi nakerwa na hivi viti maalumu, kwanini visifutwe jamani? watu wakaenda kupambana majimboni?
 
mbunge wa jimbo gani ndugu yangu? au viti maalumu? aisee mi nakerwa na hivi viti maalumu, kwanini visifutwe jamani? watu wakaenda kupambana majimboni?

Mkuu, nitabirie ubunge wa kuchaguliwa Jimbo la Rorya.
 
Mkuu, nitabirie ubunge wa kuchaguliwa Jimbo la Rorya.
teh teh ndugu yangu Mwita 25 acha mzaha mkuu, duuh! ulipotaja jimbo la Rorya umenikumbusha Mabere Nyaucho Marando, enzi zile za NCCR-MAGEUZI, mmh jaribu kumwona Marando yeye anafahamu siri nyingi za Rorya
 
Mtake msitake Lowassa ndiye rais wa tano wa TZ mnakumbuka alichofanyiwa Zuma hakuna wa kumzuia
 
This man, fear him, hakurupuki, hawezi kuongelea Dowans wkt bado hawajalipwa/so halijaisha, anajipanga, Mzee 6 keshapoteza uelekeo, huku EL mara Maembe anaovertake inabidi ashtuke, wakati anajipanga EL ndo anachomoka and not necessarly him anaweza kuwa swahiba wake, Maembe knows for sure kwamba this man is a threat. Subirini ngoma inogile inakuja. Nasisi watanzania tuache kuandika na kusoma habari kama misahafu.
 
Back
Top Bottom