Babati ina Mkuu wa Wilaya? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Babati ina Mkuu wa Wilaya?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Wambugani, Nov 16, 2011.

 1. Wambugani

  Wambugani JF-Expert Member

  #1
  Nov 16, 2011
  Joined: Dec 8, 2007
  Messages: 1,755
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 145
  Katika uteuzi wa Rais Jakaya Kikwete, Mkuu wa Wilaya Babati ni Dr. Ian Langiboli, lakini nikiangalia kwenye vyombo vya habari kuhusu matukio ya Wilaya Babati, huwa ninashindwa kuelewa kama Wilaya hiyo ina viongozi kama Mkuu wa Wilaya na Kamanda wa Polisi. Nimeona matukio kama:

  1. Vurugu na mauaji kutokana na mgogoro wa ardhi Bonde la Kiru
  2. Mauaji yaliyotokana uchemshaji wa gongo katika Kijiji cha Endamanang
  3. Vurugu za ardhi katika Eneo la Hifadhi ya Wanyamapori Burunge
  4. Ubadhirifu wa fedha katika Jumuiya ya Burunge na
  5. Jana niliona katika luninga ubadhirifu wa fedha Kijiji cha Vilima Vitatu.

  Inadhihirisha viongozi wa Wilaya ya Babati hawawajibiki ndio maana hali imekuwa hivi.

  A stitch at a time saves nine!
   
 2. 2

  21DEC2012 Senior Member

  #2
  Nov 16, 2011
  Joined: Oct 25, 2011
  Messages: 116
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  waliosababisha haya wangewajibishwa nadhani na wao wangewajibika.
  Viongozi wote wanaishi DSM yanayotokea Babata watayajuaje,walishasema hawafanyii kazi taarifa za vyombo vya habari kama magazeti,redio na tv
  1.Meremeta
  2.EPA
  3.Dowans/Richmond
  4.Rada
  5.Deep Green.
  viongozi wa Tanzania hawana falsafa ya kuwajibika.''Hawana cha kupoteza''
   
 3. ndyoko

  ndyoko JF-Expert Member

  #3
  Nov 16, 2011
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 4,974
  Likes Received: 279
  Trophy Points: 180
  Anaitwa Ian Langiboi, before kuja babati alitokea chamwino dodoma
   
 4. Wambugani

  Wambugani JF-Expert Member

  #4
  Nov 16, 2011
  Joined: Dec 8, 2007
  Messages: 1,755
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 145
  Yupo kiutendaji??
   
 5. d

  dotto JF-Expert Member

  #5
  Nov 16, 2011
  Joined: Sep 29, 2010
  Messages: 1,720
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  HAwa ndo wame-hire mbunge toka Tarime!
   
 6. M

  Mfwatiliaji JF-Expert Member

  #6
  Nov 16, 2011
  Joined: Oct 5, 2007
  Messages: 1,325
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Mkuu si umeshudia ya RC Arusha na hivi leo matamshi bungeni ya huyo mwanamama wa Rukwa..
  Sidhani kama wapo kwa sababu hiyo ya utendaji-- kwa maana halisi ya neno utendaji--
   
Loading...