Wabunge wa chadema kutoka bungeni si sawa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wabunge wa chadema kutoka bungeni si sawa

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Najijua, Nov 16, 2011.

 1. Najijua

  Najijua JF-Expert Member

  #1
  Nov 16, 2011
  Joined: Nov 5, 2010
  Messages: 1,029
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  Wadau naomba kuweka hoja jamvini, tutafakari pamoja tukiwa huru kimtazamo tusifungwe na itikadi za vyama wala ushabiki
  Kwanini wabunge wa CHADEMA wasingebaki bungeni wakajenga hoja nasi wa Tanzania tukaona kweli wamefanya wajibu wao na wangeona CCM wanapitisha kiubabe au kiitikadi hapo ndio watoke, wakishatoka ndio wanapata cha kutueleza jamani eeeh tumepambana lakini jamaa wametumia wingi wao bungeni tunahitaji nguvu ya umma sasa kuliko sasa wametishiwa nyau wamekimbia.... Ni mtazamo tuuu

  Najua mbunge mahali pake pakusema ni bungeni kama anatoka nje na kulalamika wakati ndani hajasema imekaaje?wangefanya kama walivyofanya katika bajeti mnaweka mawazo na mitazamo yenu mwisho wasiku wakikataa ndio mnatoka, sasa leo wametoka wanalalamika nje mambo ambayo kimsingi walitakiwa kuyasemea bungeni kwa kuwa kuwa wao ndio mahali pao pa kusemea
   
 2. W

  WATANABE JF-Expert Member

  #2
  Nov 16, 2011
  Joined: Apr 13, 2011
  Messages: 1,091
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 135
  Nafikiri untambua nini maana ya kuwekwa utaratibu wa Kamati ya muduku ya bunge na kisha msemaji wa kambi ya upinzani kuchangia kabal ya majdala kuanza. katika hoja zilizomo katika hotuba ya msemaji wa kambi ya upinzani Spika amabye anatazamiwa kuwa refa anatuhumiwa kuibeba serikali katika muswada huo tangu mapema wakati muswada huo unajdiliwa kwa mara ya pili. Aidha katika hotuba hiyo lilikuwepo pendekezo kutoka kambi ya upinzani ya kuahirishwa kwa mjadala huo, ambalo Spika hakutaka hata kutoa nafasi ya pendekezo hilo kujadiliwa. Vile vile aliwanyima haki wabunge wa upinzani kutumia haki walizonazo chini ya kanuni kuomba mwongozo na ufafanuzi ya utaratibu uliokuwa ukitumika.

  Ni katika mazingira haya ya Spika ambaye pia ni mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM kutumia madaraka yake vibaya ndiko kulikopelekea wabunge wa upinzani kuonyesha dhamira zao kwa kutoka nje ya ukumbi, Tafadhali soma maoni ya chama cha majaji wastaafu kuhus muswada huo kuwekewa tarehe ya kuanza kutumika yaani 01 Desemba 2011 hata kabal ya kusomwa na kujadiliwa bungeni. Wamesema hatua hiyo ni kieleelzo kuwa Serikali (inayoleta muswada ilikuwa na uhakika 100% kuwa utapitishwa na kuwa sheria ndio maan ikaweka kabisa tarehe ya kuanza kutumika. Kwa maneno mengine kitendo hiki cha serikali ni kulifanya bunge kugeuka mhuri wa kupitisha mambo ovy ovyo kama ilivyotokea.
   
 3. D

  Dr.Mbura Senior Member

  #3
  Nov 16, 2011
  Joined: Jun 30, 2009
  Messages: 135
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33

  Asante kwa jibu lako zuri, keep it up,
   
 4. M

  Mr. Teacher JF-Expert Member

  #4
  Nov 16, 2011
  Joined: Jan 15, 2011
  Messages: 330
  Likes Received: 48
  Trophy Points: 45
  I think njia zote ni sawa: Chadema wangeweza kubaki na kuchangia kwanza regardless kuwa spika aliwapuuza tokea mwanzo, vivo hivo ni sawa pia walivoamua kutoka na kutoshiriki mjadala. All of those ni democratic method ktk kuelezea unachokiamini
  In aadition; si kutakuwa na upigaj kura za maoni zen ndo katiba ipitishwe? Zen why ppl wanapanic now? or u don believe matokeo yatakayotangazwa?
   
 5. J

  Jobo JF-Expert Member

  #5
  Nov 16, 2011
  Joined: May 15, 2008
  Messages: 588
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Bruker, futa usemi wako! Mada yako iko biased sana....but let me tell you! Walichofanya ni sahihi zaid kwani kimefanya hata mjadala kugeuka sura na kuwa mjadala wa kujadili elimu, taaluma na uwezo wa Tundu Lissu and coy! Hakuna kitu kimetesa CCM kama kitendo cha CHADEMA na NCCR kususia mjadala huu. Hoja zao ziko sahihi kwa asilimia zote but the meseji behind their action, is even higher than the act itself.
   
 6. Feedback

  Feedback JF-Expert Member

  #6
  Nov 16, 2011
  Joined: Mar 14, 2011
  Messages: 7,944
  Likes Received: 358
  Trophy Points: 180
  Wabaki bungeni wafanye nini juzi Mnyika kaomba mwongozo ili achangie kanyimwa, Kafulila kaomba mwongozo achangie kanyimwa sasa unataka wabaki kuwa wasikilizaji bungeni? si bora basi wawe wanakaa kwenye viti vya wageni wakiwasikiliza CCM wanaopendwa na spika?
   
 7. PROF. ENG

  PROF. ENG Senior Member

  #7
  Nov 16, 2011
  Joined: Nov 15, 2011
  Messages: 123
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hayo ni mawazo yako. Lakini wazoefu wanaelewa dalili za mvua zikoje..............
   
 8. S

  SEAL Team 6 JF-Expert Member

  #8
  Nov 16, 2011
  Joined: Jun 10, 2011
  Messages: 655
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Heri mimi Mbunge wangu hajachangia huu mswada legelege wa Katiba. Yeye mwenyewe anajua kabisa jinsi wapigakura wake tusivyolea ujinga, ilikuwa tunamwita kisha kinaota palepale, akikaidi tunamfanya kama yule wa Arumeru, mwaka mzima hakanyagi bungeni na akifanya mchezo Ibilisi anavuna wajawake! te te te te te te .................................... kisha tunakwenda kwenye uchaguzi mdogo. te te te te te ........................
   
 9. Gagurito

  Gagurito JF-Expert Member

  #9
  Nov 16, 2011
  Joined: Feb 11, 2011
  Messages: 5,610
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 135
  Hata wangebaki wasinge sikilizwa, mswaada ungepitishwa kwa nguvu then wangekua ni sehemu ya maamuzi. Bora wametoka wame'rise tension kwa wananchi! Hapo walipo ccm wanajadili bt wengi wao stress zimewazidi.
   
Loading...