Kigamboni kuna mbunge?anajua kigamboni imeuzwa? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kigamboni kuna mbunge?anajua kigamboni imeuzwa?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by kimboka one, Nov 16, 2011.

 1. k

  kimboka one JF-Expert Member

  #1
  Nov 16, 2011
  Joined: Jan 23, 2010
  Messages: 734
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 33
  wadau nashindwa kumwelea Dr faustine ndungulile kama vile hayupo? Hasemi kakaa tu anaendelea na ujenzi kwa mama ndungulile pale wkt wananchi wengine wanakatazwa kujenga.huu mradi wa mji mpya walisema mwezi wa saba mpk sasa kiamia,pale kimbiji amani gomvu watu wameporwa aridhi mbunge kimia pamoja na kupewa taarifa na kudai hajui wakati yeye ana mashamba humo ndani au wameshamlipa nini?
   
Loading...