Singida goigoi kiuchumi, ila hoi zaidi kielimu zaidi!

Isango

R I P
Jul 23, 2008
295
450
Hii ndiyo hali ya Singida kwa miaka 5, tumefanya tathimini kuelekea miaka hamsini ya Uhuru, tumethubutu, tumeweza na tunasonga mbele kwenye ujinga zaidi
HIVI NI VIWANGO VYA UFAULU KATIKA ELIMU KIMKOA
Mwaka 2007 = 73%
Mwaka 2008 = 51%
Mwaka 2009 = 45%
Mwaka 2010 = 36%
Mwaka 2011 ===== Hatujui itakuwaje. Ila kwa Mtiririko huo Mkoa huu unaelekea kule ambapo si rahisi sana mimi kutaja. Utendaji wa Serikali katika hili ukoje? tunaweza kuzungumzia kupungua kwa umasikini na ujinga katika takwimu hizi?
 
2015 watachagua the same MP kwa sababu wanapenda pilau sahani moja kwa mateso ya miaka mitano View attachment 41358
 
Hii ndiyo hali ya Singida kwa miaka 5, tumefanya tathimini kuelekea miaka hamsini ya Uhuru, tumethubutu, tumeweza na tunasonga mbele kwenye ujinga zaidi
HIVI NI VIWANGO VYA UFAULU KATIKA ELIMU KIMKOA
Mwaka 2007 = 73%
Mwaka 2008 = 51%
Mwaka 2009 = 45%
Mwaka 2010 = 36%
Mwaka 2011 ===== Hatujui itakuwaje. Ila kwa Mtiririko huo Mkoa huu unaelekea kule ambapo si rahisi sana mimi kutaja. Utendaji wa Serikali katika hili ukoje? tunaweza kuzungumzia kupungua kwa umasikini na ujinga katika takwimu hizi?

sababu kubwa ni ongezeko la idadi ya wanafunzi! hata hivyo no. inayokwenda higher learning imekuwa ikiongezeka kila mwaka!
 
...mkuu wa mkoa yupo anahangaika na miradi yake na JK, na wawekezaji wa kizungu... na hivi wamegundua mafuta no wonder kamuacha huko huko tena..! Juzi juzi nae kagawiwa Phd za sokoni huko USA...!!
 
ni mbaya! Halafu hapo juu si pilau, ni muchere. Ni kwetu nakupenda lakini bado tuko nyuma kimuamko.

Do MkuuTzPride kweli umeipatia kwelikweli,Ndivyo tunavyoita hapo kwetu,ama kweli ujinga ni mbaya sana na MO anatuchezea kama watoto,,mufurhu".
 
miongoni mwa sehemu zinazohitaji mabadiliko makubwa nchini ni hili, ndio maana kila mara fikra huja kichwani mwangu kwamba sgd wananihitaji 2015 nikawaletee maendeleo hayo. Nimesoma kwa tabu kweli huku wazee na vijana wa waliokuwa karibu yangu wakinitia moyo na kunipa baraka zao nami nafikiri nitakuwa ni mchoyo wa shukurani kama nitaikimbia sgd kama ambavyo wamefanya wasomi weng kutokana na ugumu wa maisha na kukimbilia maeneo mbali mbali yenye neema. Ninawaahidi wazee na wananch wenzangu wa jimbo la sgd tutakuwa wote bega kwa bega ktk harakati za kuing'oa ccm hata kama litakuja baa la njaa sitapakimbia! Na kwa pamoja tutashinda.
 
...mkuu wa mkoa yupo anahangaika na miradi yake na JK, na wawekezaji wa kizungu... na hivi wamegundua mafuta no wonder kamuacha huko huko tena..! Juzi juzi nae kagawiwa Phd za sokoni huko USA...!!

Ndugu tuelimishane, mafuta gani wamegundua? au ndo ya alizeti?
 
WanaSINGIDA tuliomo humu, tufanye jambo kwa ajili ya kuleta muamko hapo mkoani....mimi na wanaSINGIDA MASHARIKI tuliamua kumfanyia kampeni bwana Lissu ili kuondoa adha ya CCM, tukafanikiwa....tutaweza kufanya hilo hata SINGIDA MJINI tukamuondoa yule kijana mdhalilishaji..Mo. Muchere hata bila nyama, kwa jaili ya mateso ya miaka 5!
Tafadhali ni PM kama unataka tuanzishe movement hiyo.

Nawakilisha.
 
Bw. Isango tafadhali takwimu hizi tungeziweka kiwilaya na kulinganisha idadi ya wanafunzi wanaingia either darasa la kwanza ama kidato cha kwanza kila mwaka!! Hata hivyo takwimu zako hazioneshi kuwa ni SHULE ZA MISINGI ama SEKONDARI!! pengine ungefanya utafiti kwa kukusanya takwimu zaidi pamoja na kufanya comparison na mikoa ya wenzetu!!! Hata hivyo tatizo la Isango hubundika uzi na kuondoka kurudi Kisasida.
 
Back
Top Bottom