Amani inaletwa na sisi wenyewe tukubali mfumo tulio nao hivyo tupunguze jazba!

KakaKiiza

JF-Expert Member
Feb 16, 2010
11,575
8,595
Misingi ya amani nikuzingatia nakuheshimu haki za binadamu zikitekelezwa na kutambua hii ni nchi ya vyama vingi navipo kisheria na kikatiba kwa maana hiyo navyenyewe vinahitaji kunadi sera zao,kwa maana hiyo inatakiwa kutambua sasa tupo kwenye ushindani wa sera za kisiasa hivyo kunahitajika uvumilivu kwa pande zote mbili baina ya chama tawala na wapinzani,Pia na kupunguza nguvu zisizo za lazima hasa kwakutumia vyombo vya dola kuzuia maandamano yaliyopo kikatiba kwakisingizio cha habari za kiinterejensia!Kama hatuwezi kutekeleza haya basi amani itatoweka taratibu mwisho wasiku tunajikuta hatuna amani wakati tumeisababisha sisi kwakukandamiza haki zamsingi za na kikatiba.Hata nchi tunazoziona sasa hazina Amani zilianza hivyo hivyo!Nawaombeni Busara zitawale.
 
Back
Top Bottom