Mungu tupe maisha marefu tuone mwisho wa CCM

rosemarie

JF-Expert Member
Mar 22, 2011
6,887
3,412
Kiburi cha CCM na maneno ya kashfa yanayotamkwa bungeni juu wa Wabunge na chama cha Chadema yamenifanya nimwombe Mungu kwa nguvu zote atupe maisha marefu tuone jinsi mwisho wa CCM utakavyokuwa.

Wakuu nimeangalia kipindi cha Bunge jana sikuamini masikio yangu jins wabunge wa Cuf na ccm walivyotoa madharau kwa Chadema.

Kama kweli hii ni Katiba ya Watanzania kwa nini yote hayo yatokee?

Mungu atujalie maisha marefu tuone huo mwisho wao utakuwaje. Je, itakuwa kama Gaddafi kuchomekwa majiti au itakuwa kama Syiria?
 
Katika dhiaka kubwa hata pasipo kutambua kwamba watanzania ni watu wa Mungu!wabunge hawa wanadhiaki mpaka wanapitiliza,mbunge mmoja anafikia kusema kwamba watanzania waliochagua wabunge wa Chadema walifanya makosa makubwa,hii ni dhiaka ya hali ya juu!!!Mungu huyu atawaongoza na kuiona kweli huku nyuso zao au roho zao kokote zitakapokuwa either ahela au duniani zikijutia dhiaka hii!!!!!!!!
 
wanashindwa hata kujifunza kutoka zambia jinsi MMD walivyoonyesha madharau kwa PF lakini angalia jinsi wazambia walivyofanya kweli
 
Mungu wao tutamuona jamani, mimi nasema wote wale hizo kauli zao zitakuja kurudiwa na watasikilizishwa.
 
wamejaza matumbo yao wamesahau kilichowapeleka bungeni! hakika watakuja jutia maneno yao! chadema msife moyo hakika mtashinda,watanzania tupo nyuma yenu!
 
Namuomba mungu anijalie niweze kuona kifo cha CHADEMA.

Najua si muda mrefu hiki chama kitapotea, wameamua kuanzisha siasa za vurugu,ni chama cha kichaga, kimejaa makandikando kibao.

Badala ya kwenda bungeni kufanya kazi waliyotumwa na wananchi wao,wameenda kuatafut umaarufu bungeni. Kuonyesha nani ni maarufu kwa kupinga.

Hiki ni chama cha MSIMU, Namuomba Mungu anijaalie ni uonemwisho wa msimu wake.

CCM SOLDARITY FOREVER
 
kwahiyo myie mmewatuma wabunge wenu wa CHADEMA ili watoke nje ya ukumbi.

Kama wamechoka na uwakilishi wajiuzulu.

CCM SOLDARTY FOREVER
 
kwenye nyekundu hiyo ni kauli ya mwenyekiti wa ccm na tulishasema "kelele za mlango......................................... KI UKWELI SAIZI HATULALI!
 
kwahiyo myie mmewatuma wabunge wenu wa CHADEMA ili watoke nje ya ukumbi.

Kama wamechoka na uwakilishi wajiuzulu.

CCM SOLDARTY FOREVER
EXACTLY
hatupendi wagonge meza kwenye kila jambo! hata kama ni pumba!
 
Kiburi cha CCM na maneno ya kashfa yanayotamkwa bungeni juu wa Wabunge na chama cha Chadema yamenifanya nimwombe Mungu kwa nguvu zote atupe maisha marefu tuone jinsi mwisho wa CCM utakavyokuwa.

Wakuu nimeangalia kipindi cha Bunge jana sikuamini masikio yangu jins wabunge wa Cuf na ccm walivyotoa madharau kwa Chadema.

Kama kweli hii ni Katiba ya Watanzania kwa nini yote hayo yatokee?

Mungu atujalie maisha marefu tuone huo mwisho wao utakuwaje. Je, itakuwa kama Gaddafi kuchomekwa majiti au itakuwa kama Syiria?
Sisi watanzania ni kama mabomu tuli. Tume anzakuwa activated kwa kuwa na uelewa mpana zaidi. Mifano midogo midogo tunaiona kama jamaa (KJ) kuzomewa hadharani pale MLIMANI mwezi uliopita. Hii maanayake mwisho wao hauko mbali. CCM wamezoea kufanya mambo kwa hisia ndio maana hayo yote. MUNGU najua atatujalia tuone mwisho wao (CCM).
 
kwahiyo myie mmewatuma wabunge wenu wa CHADEMA ili watoke nje ya ukumbi.

Kama wamechoka na uwakilishi wajiuzulu.

CCM SOLDARTY FOREVER
vitu wanavyovifanya CCM vingi ni vya kipumbavu. kwanini waendelee kukaa wakati wanajua CCM wanatoa hoja kwa hisia hata kama ikiwa mbaya wanaipitisha kisa ya CCM
 
Back
Top Bottom