Hadi sasa tumeshuhudia utumiaji mkubwa wa nguvu kupita kiasi wa Polisi dhidi ya wananchi wa Tanzania. Ukweli ni kwamba Tanzania imefikia hatua ambayo inafadhaisha, inakera na inasikitisha sana...
The government has bowed to pressure from MPs and scrapped heavy plants and machinery from the list of used assets that the government can purchase.
This is contained in the amendments of various...
#48 Moyo 2011-11-15 09:42 "alikiri kwamba aliwazuia wajumbe wa kamati hiyo siyo tu kwenda mikoani kukusanya maoni ya wananchi, lakini hata wale waliotaka kwenda nje ya nchi kwa lengo la...
Hivi hawa watu ni nani anaitakia mema nchi hii? Ukizingatia kelele nyingi zinatupoteza
mara,
1.jukwaa la katiba
2. Mara wabunge upinzani,
3.mara wabunge sisiemu,
4.mara wanasheria uchwara...
Tarehe 8/09/2011 siku ya alhamisi , kamati ya siasa wilaya ya njombe ilikutana ktk ofisi za ccm wilaya kujadili mambo mbalimbali likiwemo suala la hali mbaya ya kisiasa kwa ccm baada ya...
Wakuu naomba mwongozo wenu. Leo hii kabla ya mjadala wa katiba kuanza nimeshangaa sana kuona spika bila aibu akiupigia kampeni kwa wabunge kupitisha muswada wa katiba. Hivi hili ni sahihi kwa mtu...
Kwa masikitiko makubwa nashangazwa na ukimya huu wa jumuiya ya kimataifa pamoja na washirika wake wakuu kama Marekani na Uingereza wakinyamazia vitendo vya kihuni vinavyofanywa na serikali ya CCM...
Nikisikiliza mazungumzo mengi ya watu kufuatia mjadala wa jana bungeni kuhusu Msuada wa Katiba nasikia wote wakisema Katiba siyo kitu cha kucheza.
Hata jana nilipowasikiza Mh Tundu Liso, Mh...
hawa waheshimiwa wabunge mh Machali na Mkosamali nawafahamu vizuri toka wakiwa SAUT walikuwa watu matata sana na ndiyo waliofungua matawi cdm chuoni,kinachonishangaza siku hizi Machali amebadilika...
Naomba nilete angle tofauti ambayo sijaona imeongelea hapa kuhusu ukatili wa polisi dhidi ya wanachadema Tanzania.
Habari ninazosikia ni kwamba, mheshimiwa raisi wa Tanzania Dr Dr Dr Dr...
Well, Mnyonge mnyongeni kwenye hili la kugomea Katiba ninawaunga mkono wabunge wa Chadema kwa 100%, I mean Serikali ya chama changu CCM tufike mahali tulijali taifa at large badala ya kujijali...
From the Parliament
From DAILY NEWS Reporters in DODOMA, 15th November 2011 @ 16:50, Total Comments: 0, Hits: 130
THE government has refuted claims that Kenya is distorting information by...
Wadau, zimebaki saa chache ambapo mbunge wa Arusha mjini Mh. Godbless Lema atoke kule lupango. Ikiwa Hakimu siku hiyo ameamka akiwa na "stress" akasema hakuna dhamana, kwamba arudi Kisongo au ipo...
Wadau katika hotuba ya waziri wa sheria na katiba jana alizungumzia kuwa katika mchakato wa kupata maoni ya wananchi wa Tanzania Bara itafanywa na NEC na watakao husika ni wale ambao wapo kwenye...
Uwoga au udhaifu wa kiutendaji wa mh JK ndo chanzo cha migogoro isiyoisha ndani ya chama,kwa nafasi yake ndani ya chama kama mwenyekiti alipaswa kuwaunganisha wana ccm wote kuwa kitu kimoja,badala...
Sikuelewa kilichotokea baada ya Mh Lema kupata dhamana. Pengine katika hali kama ile akili na macho vimeshazoea kuona polisi wakiwa na mabunduki yao. Hata hivyo pamoja na maandano yasiyo rasmi...
Kwanza nianze kwa kusema kuwa Watanzania wa leo sio wale wa miaka hiyo ambao walikuwa wanaitikia kila kitu kinachosemwa na viongozi wao, wakiamini kuwa kila neno litokalo kwa kiongozi ni sahihi na...
Hadi sasa tumeshuhudia utumiaji mkubwa wa nguvu kupita kiasi wa Polisi dhidi ya wananchi wa Tanzania. Ukweli ni kwamba Tanzania imefikia hatua ambayo inafadhaisha, inakera na inasikitisha sana...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.